Search results

  1. B

    Ukweli mchungu: Lowassa ameshatoswa na CCM

    hawa maaskofu na wachungaji ndo wezi wa jasho la wananchi makanisani halafu wanajifanya kumponda lowasa mbona wachungaji waliopiga fedha za escrow hawawaxemi,huo ushoga mkileta huku zenji wallah mtafirwa
  2. B

    Mineral Resources Institute

    iman hata mimi natafuta hayo matokeo ni mwanafunz wa huko kama una mtu unayemfahamu yupo dodoma mpe reg no yako akutazamie
  3. B

    uombaji papuchi kwa baadhi ya makabila

    Jaman wana jf ninashida ya laptop ni sh laki tatu iwe na ram atleast gb 2 hhd atleast 300.0716552733
  4. B

    Nini amekosa AY?

    mapenz yanarun dunia,jamaa anaimba style isiyouza
  5. B

    Njemba yafumwa ikila uroda na mwanamke mwendawazimu...!

    ukistaajabu ya mussa utaona ya firauni
  6. B

    Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

    msilete hoja za maisha binafsi katika siasa mafala nyie,lete hoja zinazoeleweka kama ni maisha ya mtoto na mamake wakayamalize kifamilia.
  7. B

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    mimi sitaki kuamini kuwa serikali inashindwa kudhibiti hwa watoto sababu kama ni kundi halijaanza jana wala leo kwann vyombo vya usalama vinalifumbia macho swala hili.
  8. B

    Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    achen porojo,msilete udini hapa kwan ikulu hakuna wakristo huo ni uchonganishi
  9. B

    Kuna tatizo kambi ya Lowassa hata haliwekwi wazi!

    msiwe wageni wa siasa za bongo,hao wamejitoa kwa muda ili kuwapumbaza wapinzan wa lowasa baadae wote watajifanya kuachana na kugömbea na kumuunga mkono white hair.mtakuja niambia
  10. B

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    mi napita tu,kwa c aje na msala muda wa kusali ukifika anaendeleza ibada jaman!
  11. B

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    dah,bongo wanatisha kwa sarakasi!
  12. B

    Zamaradi acha makelele, hamuwezi ku-control kila kitu

    dah,masikini bongo move kushnei
  13. B

    Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji

    haya bhana,wenye nchi wanapofanya yao,mjazanchi ukae kimya!!
  14. B

    Swali: Je shemeji akimfukuza dada yako na wewe utaondoka?

    Ukae kufanya nini wakati mdhamin wako kaxepa au akugeuzie wewe kibao
  15. B

    Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

    Hongera yako,haya wewe umefanya nini mwenzetu kabla ya hyo miaka hamsini hyo!!
  16. B

    Sina imani na UKAWA

    Acha umbea,una uhakika gani kama walikwenda nchi wahisani kuzuia misaada? Acha kudanganya umma kwa hilo mi napinga
  17. B

    Lipumba, Dr Slaa na Lowassa hapana, Makamba na Mwigulu ?

    Dah,ndugu hapa umechemka kama umetumwa basi umechemka maana siasa ya bongo ni kizungumkuti. Huyo unayemuona anafaa leo akishakaa madarakan utamuona hafai tena.co unapøchangia ujiulize kuwa kwann kikwete leo anaonekana dhaifa wakati ndo aliyesemekana jembe! Acha kutumika na watu wachache kwa...
  18. B

    Mfahamu Amou Hadji, Binadamu mchafu zaidi Duniani

    Mi nahic huyo mzee ni zombi co bule
  19. B

    Ajirusha kutoka ghorofani akitazamwa na umati na kufariki

    au na yeye amekula pesa za escrow xaxa anaogopa rungu la jk
  20. B

    Ungekuwa ni ticha, unamsaidiaje huyu mwanafunzi?

    ningemwagiza atafute vithoda
Back
Top Bottom