Search results

  1. Kaiza

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    Naomba kupata jibu kwa changamoto hii. Nguo inauzwa Sh. 10,000/= na wewe huna pesa ya kununulia nguo hiyo. Ukaamua kukopa pesa kutoka kwa dada yako Sh. 5,000/= na kutoka kwa kaka yako Sh. 5,000/=. Hivyo jumla umekopa Sh. 10,000/=. Ukaenda ukapatana na kuuziwa nguo kwa Sh. 9,700/= na ukarudishiwa...
  2. Kaiza

    Kitam Tam cha mwili kinavyofadhahisha watu

    Inaonekana inajengewa mazingira mazuri ya kuhitajika, ze utamu!!!!!! kazi kwelikweli
  3. Kaiza

    Kitam Tam cha mwili kinavyofadhahisha watu

    Mbona inapingana na hoja ya kwamba ukifanya sex mara moja unapunguza calories nyingi kwa mwanaume? kama kutembea km 70 what is the cooments wana JF.
  4. Kaiza

    Mkanganyiko: Dr.mponda na lukuvi kuhusu babu wa loliondo

    Hii ni aibu, ni kuutangazia UMMA kuwa Mawaziri wetu hawajui mipaka ya kila mmoja na hawajipangi!!!! anaweza kuagiza. Lakini Wizara za akina Lukuvi, Tyson ziangaliwe sana hazina specific mipaka ya kazi zao.
  5. Kaiza

    Mke na pombe, wanaume mnashauri nini????

    Sio heshima kusema Mwanamke huyu MLEVI itaonekana ana kasoro kidogo! Ila kwa mwanaume kusemwa ni mlevi sio issue, Utasikia wanasema "Mwanaume hasifiwi kula ni kulewa na wanawake.........." ambanyo vikisemwa kwa Mwanamke vinaleta tafsiri MBAYA. Hivyo kulewa kwa Mwanamke ni tabia mbaya sana katika...
  6. Kaiza

    Elections 2010 Tume ya uchaguzi na mtandao wa matokeo

    Kwani Mtandao huu wa kutoa matokeo walibambikiwa au ndio ugeni wa teknolojia?
  7. Kaiza

    Elections 2010 Waangalizi washinikiza kutangazwa Mnyika na Mdee

    Je habari hii ni ya kweli, Kama hivyo mambo mazuri bungeni.
Back
Top Bottom