Search results

  1. STEIN

    Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Vyama vingine ni Mawakala wa CCM, Remote control zao Ipo Lumumba, wanasubiri mambo malaini kama vikao vya msajili na taskforce. Hii ya kutishiwa mara uhaini na uchochezi hawawezi.
  2. STEIN

    Kikatiba Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa, kwanini afutwe kazi kwa mambo ya CCM?

    Erythrocyte acha watu wazike watu wao... Watumbuane sijui Nini sisi tuhangaike na Bandari yetu, Misitu yetu na Maliasili zetu
  3. STEIN

    Kikatiba Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa, kwanini afutwe kazi kwa mambo ya CCM?

    Erythrocyte acha watu wazike watu wao... Watumbuane sijui Nini sisi tuhangaike na Bandari yetu, Misitu yetu na Maliasili zetu
  4. STEIN

    Siku ya Vijana Duniani kufanyika Jijini Mwanza. Freeman Mbowe kuhutubia Dunia Viwanja vya Furahisha

    Twende Bavicha, UVCCM wapo kwenye mipango ya kudalalia nchi, hawatumii Tena Akili Kila kitu kimewashinda hivyo tuna kazi ya kumwondoa huyu mkoloni mwesu CCM.
  5. STEIN

    Freeman Mbowe: CHADEMA itaboresha maisha ya walimu

    Akili ya MaCCM ni matope kweli, Kwani Mbowe alikiwa anakusanya Kodi? Mbowe alisemea sana haya mambo Ili maCCM yanayokusanya Kodi hayasikii ni ufisadi na kuuza Mali za imma. Uzeni na mlima Kilimanjaro mkimaliza bandari.
  6. STEIN

    Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

    Ukonga hakina Mbunge anayeitwa Chacha Waitara... Pili Mbunge hakusanyi kodi ya Ukonga, kama wanaokusanya kodi ndani ya mwaka Mmoja tu 1.5T hazionekani na huenda zimenywewa Pombe na watu wa aina yako unategemea kitu gani? Pili wabunge upinzani hawafanyi kazi zao kwa kelele za MaCCM kwani tangu...
  7. STEIN

    Bomoabomoa Pugu kajiungeni jirani na ofisi za mbunge wa Ukonga.

    Tunajua hizi ni hujuma dhidi ya UKAWA, walibomoa nyumba Zaidi ya 700 Kata ya Kivule Sasa wanabomoa Pugu kwahiyo ni mambo yaleyale ya mkwajuni, na maeneo mengine yaliyobomolewa na serikali ya CCM Mbunge hana mamlaka ya kunomoa viwanda vya watu, ni wale tu wenye jeshi la polisi
  8. STEIN

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Tuko pamoja makamanda wa Chaso leo wanaweka Historia,
  9. STEIN

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya kupinga ushindi wa mbunge wa Ukonga, Waitara Mwita

    Jerry ana kazi, watu hawamtaki UKONGA anajilazimisha tu.
  10. STEIN

    Mbunge wa Ukonga Waitara ameutatua mgogoro kati ya Wafanyakazi na Uongozi wa Kiwanda cha NAMERA

    Hongera sana Kamanda Waitara, Umevunja rekodi ya Wabunge wa Dar es Salaam, Ndani na Wiki moja umeweza kukutana na Wananchi wenye migogoro ya Ardhi ndani ya jimbo la Ukonga. Mfano ni ule Mgogoro wa Mpaka wa Kazimzumbwi ulioathiri wananchi wa Kata tatu za Chanika, Zingiziwa na Buyuni.... Mgogoro...
  11. STEIN

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    pole sana Familia ya Kamanda Mtoi
  12. STEIN

    Mbunge James Lembeli arudisha kadi ya CCM, kuhamia CHADEMA

    tuataheshimiana mwaka huu...
  13. STEIN

    Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    Tunashukuru sana Tumaini Makene, Watu wameacha kazi zao na wanafuatilia Kutangazwa kwa Mgombea wa Ukawa...
  14. STEIN

    Rais Kikwete aenda Uholanzi kupokea tuzo bora ya Rais mwenye ushawishi Duniani

    Mambo magumu halafu rais ni mguu na njia... hizi safari zisizo na tija zipigwe chini.
  15. STEIN

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Mbivu na mbichi tutajua baada ya kuitoa ccm madarakani.
  16. STEIN

    Kwa hili, Wabunge wa CHADEMA ni aibu

    Mambo y kitaifa siyo siri weka humu sisi wananchi wa kawaida tutayafanyia kazi. Nyinyi ni watu hatari sana
  17. STEIN

    JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    Dr W P Slaa ndiyo anafa
  18. STEIN

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Nyinyi kuku kabisa. Rada mlibisha. Richmond mlikataa. EPA mlikataa. IPTL mlikataa. yote haya baada ya muda mkakubali bado mnaendelea kubisha nyinyi ni wanyama wakubwa
Back
Top Bottom