Mwigulu anasema kila akipita anaona magari mengi yenye namba za “E” , kwake hiyo ni ishara ya maendeleo ya nchi!! Hajui kuwa fedha hizo wanazonunulia magari zinatokana na wizi kwenye mabenki na sio kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji!
Nadhani amewatuma chawa wake wapime upepo! Ndio maana alijichomeka kwenye delegation iliyokwenda kwenye mazishi Namibia ili apate wasaa wa kuonana na viongozi wa Sadc!!
Jerry Slaa anajitahidi kujaribu kutatua haya matatizo ya ardhi lakini peke yake hawezi kwani watendaji wa hiyo wizara wamelelewa kudai rushwa.!!
Hata hivyo kitendo cha kuvunja nyumba huko wilaya ya Kinondoni ni kitendo cha haki ambacho kinataliwa kiendelezwe kuwa fundisho kwa wale wenye fedha...
Unataka tuwaombee viongozi wanaozunguka dunia huku wanatuacha na njaa halafu wanataka kuongeza TOZO ili wanunue ndege nyingine wakati mwendokasi iko hoi!
You nics whose interests are you serving in parliament?
Hawa wabunge wapo hapo kuwakisha shida za wananchi au Mano wanayotaka wao?
Ununuzi wa ndege kwa matumizi yao je ni kipaumbele wakati wananchi wanalia na ugumu wa maisha?
He is naive, he cannot read the politics of Kyela. Let him spend his ill gotten loot ; it will be a curse for Kyela people to allow a spent force to be their MP when there are many young men/ women who can do a better job than Mwakyembe!
Mwakyembe alitumiwa na marehemu Samuel Sitta kumuangusha Lowassa! Sijui nae Mwakyembe kapatwa na laana gani! Toka comedy yake ya wasenge izimike amepotea kwenye radar.
Futeni ruzuku kwa vyama vya siasa badala yake vigharamiwe na wanachama wao!! Hivi sasa mzigo huu unabebwa na kila mlipa kodi hata wasio na vyama.
Mtindo huu unakipa nguvu chama tawala at the expense of other political parties na kuwa unfair to many citizens. Haufai.
Kwenye hii miradi mikubwa wananchi tumeumizwa sana!! Wamekwenda kukopa fedha nje, wametuongezea tozo hapa nchini na bado wanaomba misaada lakini hakuna matokeo Chanya!
Kwa haya mnayowafanyia wananchi hamtobaki salama.
Kuna jambo la msingi halijatolewa ufafanuzi hapa ; mazingira gani magumu yaliyo fanya waziri ajiuzulu? Kuna maneno mengi yanasemwa kuhusu Rais Mwinyi kuhusishwa na biashara ya pombe/vilevi akishirikiana na mtoto wa marehemu Babu Ladwa!! Sasa wanasema huko Zenj toka zamanı kuna utaratibu wa...
Umeme usipokatika, watauza wapi majenereta yao? Hawakosi sababu za kutuongopea!
Hiyo SGR wametuongopea wee kuwa watafanya majaribio toka mwaka 2021 mpaka hivi leo hii wanasema train haiwezi kufanya majaribiao kwasababu mvua imeharibu miundombinu!! Hawa wezi hawakosi sababu.
Zuma alipokuwa Rais alihusishwa na kashfa kubwa ya kifisadi iliyohujumu vibaya sana uchumi wa nchi ; akishirikiana na wafanyabiashara wakina Gupta!! Hii kashfa ilisababisha
Zuma afunguliwe mashtaka. Hicho ndicho kinachomfanya amchukie Ramaphosa!
Wakati huo akiwa Rais , rafiki mkubwa wa Zuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.