Search results

  1. Dada Makini

    Tujuane ambao bado hatujaacha Forex

    Kwa ambao wanataka kutrade forex mtumieni huyu broker yupo vizuri sana. Fuata link hii https://dashboard.templerfx.com/main?rid=139350
  2. Dada Makini

    Dar: Waziri Lukuvi aagiza uchunguzi mipaka Msimbazi Center na kituo cha mafuta cha Victoria

    Hivi kampuni ya mafuta ya Shell wakisikia Tanzania vituo vyote vya mafuta vinaitwa kwa jina lao si wanaweza kutushtaki?
  3. Dada Makini

    House4Sale Jamani nimebanwa sana. Nauza nyumba yangu.

    Pole sana kwa matatizo unatopitia hadi kuamua kuuza nyumba. Hata hivyo ninatofautiana na wewe kuhusu kuweka bei. Kumbuka dalali kukupigia simu ili ajue bei yako then aitangaze ili apate cha juu hashindwi kwani ndio ajira yake hiyo. Hivyo huwezi kumkwepa dalali kwa njia hiyo. Pili ukiweka bei...
  4. Dada Makini

    Shinikizo la damu ladaiwa kusababisha kifo cha askari aliyefumania

    Hivi wanasheria, kosa la Angela hapo ni lipi?
  5. Dada Makini

    Tambua Mambo sita kuhusu Halloween

    Bora umenitajia tarehe mwaka huu na mimi nifanye.
  6. Dada Makini

    Turnboy "Tandiboi"

    Suka anasuka usukani.
  7. Dada Makini

    Mkataba wa pikipiki

    Ndio mkuu. Kuna option ya kupunguza gharama mf bima, GPS tracker na model ya pikipiki. Hope umenipata.
  8. Dada Makini

    Mkataba wa pikipiki

    Pikipiki = 2,350k Bima comprehensive = 180k Ownership transfer = 60k GPS tracker ~ 100k Jumla ~ 2.7M Mapato 300k x 12 = 3.6M Faida 3.6 - 2.7 = 900k Hapo kama kila kitu kimeenda sawa.
  9. Dada Makini

    Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

    Mkuu wanunuzi wa haya magari huwa hawaulizi hilo swali.
  10. Dada Makini

    Nahitaji mzani wa dukani.

    Ilikuwa tarehe 3/7 mkuu. Ulikuwa ule wa bati sio wa dongo.
  11. Dada Makini

    Nahitaji mzani wa dukani.

    Sokoni mkuu.
  12. Dada Makini

    Nahitaji mzani wa dukani.

    Uko sahihi kasoro hapo tu kwenye bei. Bei zipo hata chini ya hapo kama mzani si wa digital.
  13. Dada Makini

    "No one care about you" ukiwa huna kitu

    Mkuu nakusalimu kama bado upo kwenye nafasi ya juu. Kama umeshushwa tena cheo potezea salamu yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Dada Makini

    Nahitaji mzani wa dukani.

    Fursa ya biashara kwa mwenye mzani jamani.
  15. Dada Makini

    Nahitaji mzani wa dukani.

    Dukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo.
Back
Top Bottom