Be positive, hata kama walamba viatu vya JK kazi ni kazi bora mkono uende kinywani...jibu kama unajua..hujui bora kukaa kimya sio vema kukejeli kazi za watu
Kwani walikuwa busy walikuwa wanafanya kazi peke yao?
Maana ya kuwa na kampuni ni kwamba unatakiwa na watenda kazi, huwezi fanya kazi zote peke yako na ndio maana anakuwa busy manake anataka kazi zote afenye mwenyewe......That is not an excuse, a serious Manager who ever is anatakiwa kujua...
Mtanzania mwenye mtazamo wa maendeleo, asiyetetea rushwa, anayetumia akili za kuzaliwa na sio akili za kushikia na binadamu wengine, anayeweza tofautisha nchi yake na za wenzie kila mara anapoingia nchini kwakwe kutoka nchi endelevu,,,,asiyetetea uzembe wa watenda kazi wake........na nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.