Search results

  1. M

    Nhif tunahitaji msaada chadema

    Wafanyakazi wa nhif tumechoka na manyanyaso ya mkurugenzi mkuu. Tunaomba chadema wapigania haki mtusaidie.
  2. M

    Mkurugenzi mkuu bima ya afya amfwate Nyoni

    kabisaa ni dikteta vibaya ameirubuni mpaka bodi ya mfuko haimpingi kitu serikali inatizama wapi haioni viongozi uozo.
  3. M

    Mkurugenzi mkuu bima ya afya amfwate Nyoni

    mdau uliyecomment hapo juu umehongwa na nhif, maana wanasifika kwakutoa rushwa kwa waandishi ili waandike habari nzuri kuhusu mfuko. Dawa yake iko jikoni watu wanakusanya ushahidi.
  4. M

    Mkurugenzi mkuu bima ya afya amfwate Nyoni

    Mkurugenzi mkuu bima ya afya naye amfwate nyoni, Amesababisha kushuka kwa morali ya utumishi kwa Wafanyakazi wa Mfuko wa bima ya afya kwa kuwatengenezea nidhamu za woga kwasababu akikosolewa anawaadhibu kwa kuhamisha wafanyakazi kutoka vituo vyao. Kwa mfano alimuamisha aliyekuwa mkurugenzi wa...
  5. M

    NHIF uonevu umezidi

    Tunaandika tukitambua kwa kufanya hivi tunahatarisha ajira zetu, lakini tunasukuma tukiamini kuwa ustawi wa taifa unatangulia mbele ya ajiri zetu. Sisi ni wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(National Health Insurance Fund-NHIF) tunachukua hatua hii baada ya kuwa tumepoteza imani na watendaji...
  6. M

    NHIF ni wizi mtupu

    Waungwana mmefuatlia kuhusu wizi na ufisadi unaofanyika nhif.
  7. M

    Mkurugenzi mkuu mfuko wa taifa wa bima ya afya ni mnyanyasaji na muonevu

    Tumesikia malalamiko mengi kuhusu mfuko wa taifa wa bima ya afya unavyotumia vibaya pesa za wanyonge lakini watu wanasahau kuwa hata ndani ya ofisi ile kunamalalamiko mengi ya wafanyakazi na manyanyaso mengi ambayo wafanyakazi wanafanyiwa na yule fisadi mkurugenzi mkuu wao. Anaroho mbaya na...
  8. M

    Mfuko wa taifa wa bima ya afya

    Wakereketwa wenzangu vipi kuhusu lile swala la mfuko wa taifa wa bima ya afya? Huu ndio wakati muafaka wa kufichua uzembe , ulaji wa pesa za wafanyakazi wenye kipato kidogo na unyanyasaji unaondelea pale ndani na nje ya ofisi. Tumepata baadhi ya nyaraka za kusapoti malalamishi yetu kwa rais...
Back
Top Bottom