Search results

  1. B

    Je, mmewahi kujiuliza hili?

    Mambo sasa yanabadirika. Si umeona city wameanza. Watawanunua mastaa kibao hata makocha na wataipiku la liga kwa ushindani.
  2. B

    Je, mmewahi kujiuliza hili?

    Lakini unakumbuka kikosi unachokiita kikali cha barcelona cha 2011 ndo kilichopigwa na chelsea nusu fainali UEFA 2011/2012? Mbele ya messi?
  3. B

    Je, mmewahi kujiuliza hili?

    Kwanini hao matajiri wasiende kuwekeza huko la liga? Au kwa nn hzo promo zisipigwe huko laliga?
  4. B

    Rais wa TLS: Rais Magufuli atengue uteuzi wa Makonda kabla hajazidi kuchafua taswira ya Serikali

    Una uhakika TL ndo kaongea hayo mpaka kusema kuwa hana uhakika?
  5. B

    Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

    We sasa unaleta utani..teh teh teh...ila umeonesha kipaji..kuelimisha na ku entertain kwa joke kidogo.
  6. B

    Msumbiji inafahamu Tanzania ina Wasumbiji haramu wangapi?

    Unadhani[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ....ukitaka kujua hilo ifanyike operation.
  7. B

    Kingo za garden zinatandikwa jiji lote la Dar, hongera jiji!

    Duh...hapo umekuwa mkali sana akamtandike mzazi tena? Bora ungesema atandikwe yeye kwanza.[emoji4] [emoji4]
  8. B

    Sheria ya kumpa mimba mwanafunzi wa chuo!

    Kamharibia au kamtengenezea maisha? Watu wanatafuta mimba mpaka kwa waganga wa kienyeji hapo mzazi anatakiwa atoe pongeza na zawadi.
  9. B

    Taarifa kwa umma kuhusiana na upotoshaji wa elimu mshindi wa miss Tanzania

    Ungemtafuta alofaulu form 4 ili akashiriki miss tz
  10. B

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Sijawahi kusikia CRDB ikiwa na operations Rwanda na kimsingi hazipo. Ungefanya utafiti kidogo.
  11. B

    Miss Tanzania 2016 live updates

    Mahindi kweli atakuwa msukuma mkokoteni.
  12. B

    Nataka kununua NISSAN EXTRAILL

    Nimetumia Rav4 kilitime na xtrail rav 4 inakula zaidi ya xtrail...xtrail ni ngumu kuliko rav 4..offcourse ni ngumu kuuza pia nissan ila yangu nimeuza karibuni..lakini huo ni ushauri tu anaweza kuupima kisha aamue.
  13. B

    Sera ya J. Makamba inalenga kuyageuza maeneo ya shule kuwa misitu??

    Sasa kama unasoma temeke ukapande mbagala itautunzaje huo mti ili ukimaliza darasa la saba upate cheti chako?
  14. B

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Hivi mm nikichukua jina la mtu inamzuia yeye kuendelea kuitwa jina hilo? Nionavyo mm na kuisoma hyo story kuna tofauti ya kuchukua jina la mtu na kuchukua nafasi ya mtu..kwa mfano mtu kachukua jina la nesi anayefanya kazi haimzuii yule nesi kuendelea kutumia hilo jina. Kuna wangapi walichukua...
  15. B

    Nataka kununua NISSAN EXTRAILL

    Itamtesa na kitu gani? Mweleze ajue...mafuta vipuri au nn?
Back
Top Bottom