Search results

  1. Ligogoma

    RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

    Noo!! Hebu sikiliza alivyoongea na alichokileta muanzisha uzi, vitu viwili tofauti!! WaTZ tumekuwa watu wa ajabu sana miaka, hawajaona cha kujadili katika sentensi nzima aliyosema "...sitaki mivutano ya sheria wala viingereza, nataka kuona namna gani utageuza elimu yako kuleta maendeleo!!"...
  2. Ligogoma

    Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

    Huko google nako ni watu wameweka, si ajabu kwa lugha za wageni! Wacha ijadiliwe huku nako ili ikae kwenye archive ya vizazi na vizazi wajifunze kupitia forums zetu! Ulichopaswa ni kujazia nondo unachojua ili wasiojua nao wajue badala ya kumwambia asiyejua ni uvivu! Pia google zipo shallow...
  3. Ligogoma

    Nimeshindwa kulifungua begi la marehemu Mama yangu

    Inauma sana kumpoteza mzazi lakini punguza attachment, unachopaswa kufanya sasa ni kumuombea alalesalama. Pili: Ondoa comparison na ndugu zako, kila mtu ana namna ya kutatua changamoto za feelings / emotional zinapomkuta!! Kwako wewe ni kulia sana kwa mwenzio inaweza kuwa vingine! Ukitaka...
  4. Ligogoma

    Je, pesa zilizofungwa vizuri kwenye nailoni ndani ya ndoona kufukiwa chini ya ardhi, zinaweza kuliwa na mchwa?

    Zinaoza sababu ya joto mtu wangu!! Kuna mzee wangu alifanya hivyo, alifunga kwenye nailoni akatia keenye ndoo akafukia chini chumbani kwake then akapiga floor! Baada ya miaka kadhaa kafukua azitoe kakuta zimeoza, nilimpeleka mpaka bank kuu kujaribu kumsaidia ila ilishindikana!! Takriban...
  5. Ligogoma

    Kwa hali ilivyo sasa UKIMWI/VVU utafagia 'population' yetu sana miaka 15 tu ijayo

    Zinaua figo kinyama hizi dawa, ndiyo maana vifo vinavyotokana na figo ni vingi sana siku hizi! Behind the story kuna mbaazi
  6. Ligogoma

    Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

    Si unaona we mwenyewe unakumbuka tukio la kuibiwa!! Ilikuuma ujue Kuokoa hizo rabsha, ninapoamua kuchukua malaya najiwekea mazingira ya kutokupigwa!
  7. Ligogoma

    Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

    Nilitaka niseme hili, kama mwanamke simjui!! Hotel lazima ijielewe sana kuanzia mazingira, ulinzi hadi wahudumu! Mali zote, zinaachwa reception, mpaka simu!
  8. Ligogoma

    Kivyovyote vile Yanga SC hamfungi Simba SC Jumamosi

    Kivyovyote vile, akiba ya maneno ni muhimu sana!!
  9. Ligogoma

    KITUKO: Nimekojolewa na mtoto kwenye basi

    Kukojolewa na mtoto mbona ni ishu ndogo sana!! Hebu weka utu kidoogo isitoshe huyo mtoto ushasema ana miaka mitatu na alikuwa amelala. Hupaswi kulalama
  10. Ligogoma

    Amon na Upendo Kilahiro na Amon Kilahiro aliyeoa Annet

    Life ni gumu sana jamani haaaah!!
  11. Ligogoma

    UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu

    Point yako ya nne, kama unazungumzia Waislam wapo 9 kati ya 22. My God nchi inanuka udini hiii
  12. Ligogoma

    Ujio wa Watalii ni Viporo vya Covid19 na Sio Royal Tour!

    Vyoyote itavyokuwa lakini kuna flow kubwa sana ya watalii!! Mpaka nguvu kazi imeongezwa mbugani si kitoto
  13. Ligogoma

    Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

    Itakuwa vipi ikaibiwa TV na simu uliyounganishi!! Wezi wameingia ndani, wamewataitisha wakachukua vyote hivyo, kuna njia gani mbadala ya kupata vifaa!!?
  14. Ligogoma

    Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

    Point namba 5, hiyo ni ngumu! Binti akianza kazi mpe maneno ya kumuongoza, kuanza maisha kwa kumpa majukumu nadhani haiko sawa! Unless, akianza maisha hakikisha mzazi kuna hatua za awali umemvusha. Siyo anawaza kununua kitanda tayari ana ndugu analea 😀😀🤣
  15. Ligogoma

    Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

    Kuna familia bana wamefanya hili, tukashangaaa ila ndiyo hivyo!! Watu tukabaki kusema wana mambo ya kale sana, ila imeunganishwa familia yenye mafanikio na familia iliyofanikiwa zaidi! Hatari Ila jamaa yangu aliyekuwa anadate kale kabinti kaumia kinoma maana alijiweka kama ndiyo mkewe ajaye!!
  16. Ligogoma

    Changamoto za kupata Scholarship za Masomo Kwa vijana wa Kitanzania

    Changamoto ya age limit, unakuta age limit ni 27 kwa applicants wa Masters hapo hapo awe na experience ya masaa 3,000 kazini ukipiga hesabu hayo masaa ni miaka mitano au zaidi! It means huyu kijana awe na degree akiwa na miaka 22, of which kiSwahili degree na miaka 22 ni changamoto japo...
  17. Ligogoma

    Nimekula Mwanamke asiyehusika. Ni mtamu sana

    Hayo ni yale yanakaa pale Florida, ndiyo pamezungukwa na lodge nyingi!!
  18. Ligogoma

    Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

    Ukute kumbe nae anajua ila amekausha anajua hujui 😀😀😀
  19. Ligogoma

    TBS chunguzeni ubora wa hili gari unatia shaka

    Wewe umejua hiyo gari ni 1HZ au V8? Umeisoma vyema statement yake?
Back
Top Bottom