Search results

  1. Sauti ya Umma

    SAU yaishauri Serikali kwa kushirikia na vyombo vya habari kuhasisha misaada kwa Uturuki na Syria

    Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimeishauri serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari na makundi mengine kutenga siku maalum ya kuhamasisha watanzania kuwachangia wenzetu wa Uturuki na Syria waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi. Tetemeko hilo lililosababisha takribani watu 47,000...
  2. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    Hahaaa, Niko hapa nawasubiri waje Walete walete
  3. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    SAUTI YA UMMA (SAU) ni chama cha siasa chenye viongozi wanaoishi Tanzania pamoja na familia zao, wakiwa 100% raia wa Tanzania wenye uchungu na Tanzania na nia ya kweli ya kuwavusha watanzania
  4. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    Sisi hatuna dini ndio maana SAU tumekuwa chama pekee kinacho heshimu dini zote na kuamua kutofanya mikutano ya hadhara kwa vipindi vyote viwili ambavyo watanzania watakuwa ktk Ramadhani na Kwaresma KACHUNGUZE KWY VYAMA VINGINE UPATE MAJIBU
  5. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    Inshallah
  6. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    17/02.2005 tarehe kama ya leo
  7. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    Mfano Dodoma uko maeneo gani? Ili niweze kukuunganisha na tawi lilokaribu nawe?
  8. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    Uko mkoa, wilaya na eneo gani ili niweze kukuunganisha na tawi lililo karibu yako
  9. Sauti ya Umma

    SAU yazindua kauli mbiu mpya

    Leo chama cha Sauti ya Umma(SAU ) kimezindua kauli mbiu mpya ya chama isemayo SALA NA KAZI kauli mbiu hiyo itakuwa moja ya sera za chama.
  10. Sauti ya Umma

    Kifo cha Mhe. Agustino L. Mrema, viongozi wa SAU waungana na familia na TLP kuomboleza

    Viongozi wa Chama cha Sauti Ya Umma (SAU), leo asubuhi wamefika katika ofisi za makao makuu ya chama cha TLP kusaini kitabu cha maombolezo na kuwapa pole wana TLP kwa kuondokewa na Mwenyekiti wa chama Taifa Wakiongea katika ofisi hizo wamesema wamesikitishwa sana kwa kifo cha Mhe Agustino...
  11. Sauti ya Umma

    SAU yatoa ujumbe kuelekea siku ya Wanawake Duniani

    Chama cha sauti ya umma(SAU) kinawatakia heri watanzania wote katika siku ya kimataifa ya wanawake tarehe 8 march, ikiwa na ujumbe GENDER EQUALITY TODAY FOR A SUSTAINABLE TOMORROW
  12. Sauti ya Umma

    Miaka 17 ya Chama cha Sauti ya Umma-SAU

    Ndio yameshahama
  13. Sauti ya Umma

    Miaka 17 ya Chama cha Sauti ya Umma-SAU

    Tunayo matawi butiama karibu upate kadi yako ya uanachama
  14. Sauti ya Umma

    Miaka 17 ya Chama cha Sauti ya Umma-SAU

    Tatizo hujui historia, fuatilia miaka 17 iliyopita bendera ya chadema ilikuwaje ndipo utajua ni nani kidogo aibe rangi ya bendera ya mwenzake
  15. Sauti ya Umma

    Miaka 17 ya Chama cha Sauti ya Umma-SAU

    Makao makuu yapo magomeni kagera jijini dar es salam
  16. Sauti ya Umma

    Miaka 17 ya Chama cha Sauti ya Umma-SAU

    We thank you so much
  17. Sauti ya Umma

    Miaka 17 ya Chama cha Sauti ya Umma-SAU

    Acha dharau DOGO kumbuka Mbolea ni dhahabu kwa mkulima.
  18. Sauti ya Umma

    Miaka 17 ya Chama cha Sauti ya Umma-SAU

    Usiseme kitu ambacho hukijui. Kusema uongo ni kosa kubwa sana,hasa kwa mtu kama wewe
Back
Top Bottom