Search results

  1. Nostradamus

    Mmh..Mashaka yanazidi kuniwia kuhusu JW

    alfu lela-u-lela( siku elfu namoja)
  2. Nostradamus

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Wanaolalamika hata mkiwapa viti vyote vya Bunge kamwe hawataweza kuwa na maendeleo bali ni kubadilisha mbinu za kisisasa na kutumia udini badala ya kuleta maendeleo ya kweli kuondoa Ujinga, Umasikini na Maradhi! Do not worry, let them be 100% May be CHADEMA with 98.78 ya viongozi na...
  3. Nostradamus

    Elections 2010 JK auza nchi kwa magaidi?

    send that one to dr WILBOD SLAA
  4. Nostradamus

    Elections 2010 JK auza nchi kwa magaidi?

    ''''Katika mitambo yetu tumenasa mazungumzo ya ndani ya shirika hilo la ujasusi na inavyoonekana lengo kubwa siyo Uranium peke yake bali ni kufanya undumilakuwili(double crossing) kwa kusaidia JK halafu mlango wa nyuma maadui zake ili kuliingiza taifa hili kwenye vita vya wenyewe kwa...
  5. Nostradamus

    Elections 2010 Slaa amwaga machozi kwa kuona umasikini uliokithiri

    kwa wale waliowahi kuishi shamba..... hivi ukimkuta nguruwe pori kwenye shamba la miwa anakuwaje??? huwa ananogewa na utamu wa miwa mpaka anajisahau na kulia kama amebanwa na mtego. Kilio ni dalili ya udhaifu na wala sio ujasiri. Na kama kila anayestahili kulia hapa TZ angeamua kulia, basi...
  6. Nostradamus

    Elections 2010 Hii ya kugawa fedha kuvunja makundi -ubungo imekaaje?

    '''''''BILA KUOGOPA RISASI WALA VIRUNGU''''''' Kuwa wazi mzee what are you planning to do????? THANKS A LOT MAANA MNADHIHIRISHA NINYI NI WATU WA AINA GANI. Kinachonichekesha ni kwamba, mtapewa ruhusa ya kufuatilia kila hatua ya kuhesabu kura(no doubt), halafu matokeo yake hamtaamini na...
  7. Nostradamus

    Elections 2010 Hii ya kugawa fedha kuvunja makundi -ubungo imekaaje?

    Jana nilikutana na kada wa ccm, akanitambia kwamba, Tayari tumepokea (kuramba) shs 30,000 kila mwanachama wa ccm aliye hudhuria mkutano wa jk wa kumaliza makundi, Blue peal Hotel- Ubungo kwa jimbo la kinondoni! [Hili limenishutua muno baada ya kuona mgombea mwenyewe anatoa rushwa. sijui pesa...
  8. Nostradamus

    Elections 2010 CHADEMA kuitisha Maandamano Makubwa wiki ijayo

    You're really a great thinker... unafikiri tofauti sana na wengine wenye bongo dhaifu
  9. Nostradamus

    Je, Tumwombe Zitto Kabwe Afute Kauli Yake?

    IT'S ABOUT YOUR SLOGAN''' CCM-chama cha mujahidina'' unataka kutuambia CHADEMA ni kitu gani?? je ni chama cha VITA VYA MSALABA?(CRUSADE?) USHINDWE NA ULEGEE katika jina la dr slaa
  10. Nostradamus

    Elections 2010 Kilichonishtua Juu Ya Dr Slaa Pale Mwembetogwa

    Right article on a wrong site.truth is strictly prohibited with majority of members inside here. but thanks, at least they will see it though they wont beleave
  11. Nostradamus

    Elections 2010 Baada ya Kuzomewa Kikwete apanda Hasira; Atamka Atashinda kwa Kishindo

    prepare your gun or spear cause the results will not be on your favor.
  12. Nostradamus

    Elections 2010 Majimbo 21 yatakayochukuliwa na CHADEMA kabla ya oct 31

    jimbo la chalinze,bagamoyo,muheza,handeni, monduli,bagamoyo,lushoto,mwanga, same mashariki&magharibi,chamwino,dodoma mjini,simanjiro,rungwe mashariki&magharibi,kyela aaaaaaahhh jamani mbona yapo mengi mmeshindwa kuyataja? na hii ni kwa mujibu wa utafiti makini wa SYNOVATE.. CHADEMA...
  13. Nostradamus

    Nyerere alipotabiri kifo cha CCM

    ''I WON'T LET MY COUNTRY BE LED BY DOGS'' hivi haya maneno alitamka nani? kumbukumbu zangu zinaniambia ni KAMBARAGE.. sijui wenzangu kumbukumbu zenu zinasemaje?
  14. Nostradamus

    Elections 2010 Vyama Vya Upinzani Iringa Mjini Vyaungana: V.O.A

    UKO RIGHT KAKA, jamaa sio tu kwamba sio great thinker but i think he doesn't think at all
  15. Nostradamus

    Elections 2010 Vyama Vya Upinzani Iringa Mjini Vyaungana: V.O.A

    hustahili kuwa mwana CHADEMA kwa sababu huamini katika demokrasia, you are neither a great thinker even.... mara zote una -sound very violent na kwa kweli watu wa aina yenu, kuna umuhimu mkubwa wa kuwashuhulikia. I like this forum kwa sababu inaonyesha wazi hisia za watu hata wasio na fikra...
  16. Nostradamus

    Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    AM WITH YOU MY BROTHER,, kuna muda wa kutosha ndani ya miaka mitano ijayo wa kuitoa CCM katika madaraka ya nchi hii. Ni wazi muda huo utafika ila sio sasa wala mwaka huu. Ikiwa wote tutafikiri na kukubali ukweli kama wewe na mimi!! basi ni kweli kabisa tungewekeza nguvu na muda wetu kuhakikisha...
  17. Nostradamus

    Tarehe 31 october watanzania kupata uhuru

    andaa machozi kaka, kwani ukweli unaujua ila hutaki kuukubali. mimi wala sijidanganyi. CCM itashinda kwa kishindo na wazee wa kujidanganya huenda mkaamua kuacha kushabikia siasa kabisaaaa. Nasikika kama shabiki wa CCM kumbe walaaaaa. nasimamia ukweli tuuuuuuu
  18. Nostradamus

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Nashindwa kupata picha kama hiyo MoU INGEKUWA NI BAINA YA WAISLAMU NA SERIKALI nADHANI ZIMWI LA udini analopakaziwa JK lingekuzwa na kuwa shetani mkuu(LUCIFER). inasikitisha sana na si sahihi kuwa na makubaliano ya namna hii.NILIPINGA UWEPO WA MAHAKAMA YA KADHI. nia hili nalipinga vilevile. ila...
  19. Nostradamus

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    polycarp kadinary pengo sheikh shaaban bin simba zacharia kakobe gwajima father fernandes mch. Malasusa
  20. Nostradamus

    Elections 2010 Najua baadhi inawauma lakini huyu ataendelea kuwepo

    Wallah mbavu zangu jamaniiiiii, kweli humu kuna wanazi. i thought hayo yote ni ndani ya majukumu ya raisi? kama ni hayop tu aliyoyafanya basi kazi ipo kwani hata housegirl wangu akipewa ikulu anaweza fanya zaidi ya hayo. ushabiki umezidi hadi mnachekesha watuuu. mamaaaa mbuvu zangu wallah
Back
Top Bottom