Search results

  1. G

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Kwa faida ya wengine ni kuwa nilimpigia simu jamaa huyo wa Mgana Incubator (Dr.Singa) akaniambia kuwa anatengeneza mashine za aina tatu (3). 1. Zinazotumia mafuta pekee 2. Zinazotumia mafuta na/au umeme - ikitokea umeme umekatika unawasha mafuta yako na kuatamia kunaendelea 3. Zinazotumia umeme...
  2. G

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Mkuu mie nitajihusisha na kutotoa kuku wa kienyeji tu na kwa sasa nitazalisha kuku wa kufuga mwenyewe hadi nitakapofikisha idadi ninayotaka ndipo niangalie kama naweza kutotoa vifaranga wa kuuza. Kuku wa mayai nao nitafuga lakini kwa kununua vifanga kutoka kwa wengine kama Interchick.
  3. G

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Mawenzi asante kwa ufahamisho, nimewasiliana na Dr Singa akanieleza kuwa anazo mashine hizo, nafanya mipangilio nimwendee. Shukrani mkuu
  4. G

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Mkuu nashukuru sana kwa habari hiyo, itanisaidia ktk siku za mbele. Nataka kufuga kuku wa kwangu lakini kwa lengo la kuuza hapo baadaye wakiwa wakubwa. Hata hivyo kama nilivyojieleza katika post yangu ni kuwa sihitaji mashine ya umeme kwa sasa bali mafuta ya taa kwani naishi mahali pasipo na umeme.
  5. G

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Wajameni, habari za mishe mishe. Najitokeza humu jamvini nikijua humu ni darasa murua la kuelimishana hususani ktk ujasiriamali. Naomba msaada wenu, natarajia kuanza ufugaji kuku wa kienyeji kibiashara na ningependa kujua kama kuwa na mashine yangu ya kutotoa mayai (incubator) ni njia mwafaka...
  6. G

    Usijidanganye!!

    WAPENDWA WANAJF KUNA MADA NZURI ZA NDOA NA MAHUSIANO ZIMEWEKWA NA MDAU MMOJA PDIDDY, LAKINI MTOA MADA HALISI ANAITWA MBILINYI, TEMBELEA BLOG YAKE: www.mbilinyiblogspot.com NAWASILISHA
  7. G

    NMB yapata kufuru ya faida

    Lakini kama ndiyo hivyo wanashindwaje kuboresha huduma za ATM pamoja na kuongeza mashine nyingi zaidi matawini hususani mikoani? Utakuta benki yote ina ATM moja tu kulikoni?
  8. G

    Wafadhili ktk mradi wa kujenga shule

    Wana JF Mawazo yenu nayafanyia kazi, tuendelee kujuzana zaidi
  9. G

    Wafadhili ktk mradi wa kujenga shule

    Wana JF Mkoa wa Kigoma ni moja ya mikoa ambayo maendeleo ya kielimu bado yako chini sana (kuna vyuo viwili tu vya ualimu na hakuna shule nyingi - hata zilizopo ufanisi wake ni mdogo ukilinganisha na mikoa mingine). Mwaka juzi nilikuwa likizo kijijini kwetu huko Kigoma, wanakijiji wakanieleza...
  10. G

    Huku ni sawa na kusema unataka kuowa lakini mahari yatoke kwa mtu mwingine

    Vichwa vya wajumbe (tena wasomi) kutoka nchi zote tano havijasaidia kupata ufumbuzi wa suala hilo. Ama kweli wakoloni walitutawala na tukatawalika ipasavyo. Lakini fedha zinazotafunwa kwa njia za kifisadi kutoka katika nchi hizo zote tano wanachama wa eac si haba hata kidogo, lakini wakubwa hao...
Back
Top Bottom