Search results

  1. B

    Elections 2010 Wanaharakati watoa masaa 72 kwa serikali......

    Hawa siyo WANAHARAKATI,bali ni wavurugaji . Kama ni wanaharakati kwa nini hawadai haki ya makundi mengine ya watu ambao kwa namna moja ama nyingine wanaweza kukosa kupata fursa ya kupiga kura hata kama walijiandikisha: 1.Kwa nini hawadai haki ya wagonjwa ambao watakosa fursa ya kupiga kura...
  2. B

    Elections 2010 Wanaharakati watoa masaa 72 kwa serikali......

    Kama vyuo vikifunguliwa kabla ya uchaguzi, utatatua vipi tena tatizo la wanafunzi wa mwaka wa kwanza (first year) ambao walijiandikisha katika maeneo yao wanayoishi sasa(nyumbani kwao).Hivyo, kufungua vyuo si suluhisho la tatizo hili,kwani bado wanafunzi wa mwaka wa kwanza nao watakosa fursa ya...
  3. B

    Elections 2010 Revealed: Timu ya Kuchakachua Matokeo ya Nec ni Hii? (CLOSED: Ushahidi unahitajika)

    Kwa mtu mwenye uelewa mzuri akisoma taarifa hii kwa makini atagundua kuwa taarifa hii imepikwa tu na haina ukweli na imeungwaungwa tu na mambo mengi .Kwamba haina mtiririko na facts zinazojitosheleza kuwa taarifa kamili na watu wakaamini kwamba ni taarifa sahihi. Kututajia majina ya baadhi ya...
  4. B

    Elections 2010 Revealed: Timu ya Kuchakachua Matokeo ya Nec ni Hii? (CLOSED: Ushahidi unahitajika)

    Uwizi huo utafanyika katika mazingira yepi?, na wakati wizi huo utakapofanyika mawakala wa vyama husika ambao watahusika mojakwamoja katika usimamizi wa zoezi la upigaji kura watakuwa wapi?. Hizi ni hisia tu za watu ambao wameona kuwa wanaelekea kushindwa katika uchaguzi wa 2010
  5. B

    Mh Slaa apanda chati na avunja Rekodi

    Ukweli ni kwamba vyama vya upinzani vimechelewa kujiandaa katika maeneo ya vijijini,hivyo ushindi kwao ni mgumu katika uchaguzi wa 2010. Ushauri wangu kwa vyama vya upinzani ni kwamba baada ya uchaguzi huu waende wakajipange upya hasa vijijini kwa ajiri ya uchaguzi wa 2015
  6. B

    Elections 2010 CCM ni CHAMA cha KIMATAIFA ==SMS

    Umefanya utafiti wa kina? kama umefanya basi ukweli ni kwamba CCM imejiimarisha sana katika maeneo ya vijijini na inauhakika wa kupata kura nyingi kutoka katika maeneo hayo.Vyama vya upinzani vilijisahau kujiimarisha ktk maeneo ya vijijini na kwa sababu hiyo haviwezi kushinda katika uchaguzi huu...
  7. B

    Elections 2010 Mashabiki wa Kikwete Tuambieni!!!

    1.Ameweza kuanzisha "Election Expences ACT,2010 2.Amefanikiwa kushinda marais wote waliotangulia katika kutekeleza ilani ya SADC na AU ya "Equal representation between men and women (50-50) 3.Amefanikiwa kulifanya bunge la jamhuri ya muungano kuwa la kisasa na la demokrasia zaidi (udikiteta...
  8. B

    Elections 2010 Sitta: Wananchi msidanganyike

    Kweli leo nimekuja kuamini kwamba POLITICS IS WHO GETS WHAT,WHEN AND HOW.DK SLAA alikuwa wapi muda wote huu kusema haya anayosema sasa kuhusu spika sitta na jk. SLAA alikuwa mbunge na alikuwa na nafasi ya kuyasema haya kama hoja binafsi ndani ya bunge .Mimi nauona huu ni unafiki tu unaotumiwa...
  9. B

    Elections 2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

    Hizi ni mbinu na mikakati ya CHADEMA ya kutaka kuwahadaa wananchi ili waje kuamini kwamba CHADEMA wameibiwa kura na CCM,mara matokeo yatakapotangazwa kuwa CCM imepata ushindi wa kishindo.Ukweli unabaki palepale kwamba CHADEMA inakubalika katika baadhi tu ya maeneo ambayo ni machache tofauti na...
  10. B

    Elections 2010 Strategists wa CCM: Umakini au Hujuma?

    Kwa mtu mwenye kufikiri vizuri hawezi kuyathamini na kuyachukulia uzito maneno ya SHEIKH YAHAYA. Pia ufahamu kwamba sheikh yahaya ni mtu mwenye uhuru wa kutoa maoni yake kulingana na yeye anavyoona. Watanzania wengi wanajua na kufahamu kwamba JK analindwa na vyombo vya serikali vya ulinzi na...
  11. B

    Elections 2010 Wananchi kujitokeza kwenye kampeni za rais kikwete

    Hiyo ni lugha ya kujiridhisha tu.CCM kwa asilimia kubwa imejipanga vizuri kuanzia maeneo ya vijijini hadi mijini ikilinganishwa na vyama vingine vya siasa.Hivyo,ushindi wa ccm katika kiti cha urais hauna mjadala na kwamba idadi ya watu wanaokwenda kuhudhuria mikutano ya jk wanabebwa na malori...
  12. B

    Elections 2010 Marais wastaafu waogopa kumkampenia JK?

    Kwani ni lazima marais wastahafu wampigie kampeni JK? Wameamua kukaa kimya kwa sababu wameona mgombea wao anakubalika kwa wananchi bila matatizo yeyote
  13. B

    Elections 2010 Malumbano ndani ya basi

    Unadhani ushindi wa KIKWETE wa 2005 ulitokana na kura za wazee? Hapa sikubaliani na wewe kwa sababu vijana walio wengi ambao walishiriki katika uchaguzi walimpa kura KIKWETE hususan vijana wasomi wa vyuo vikuu .Nakumbuka siku moja JK alitembelea chuo kikuu cha mlimani kabla hajatangaza nia ya...
  14. B

    Elections 2010 Kumetokea nini Mwanza?

    Moja ya kazi ya polisi katika kipindi hiki cha kampeni ni kulinda usalama wa wagombea akiwemo DR SLAA ili wasiweze kudhurika na jambo lolote.Hivyo kitendo kilichofanywa na polisi cha kuwazuia watu kusukuma gari la SLAA,mimi nakiunga mkono kwa asimia100,kwa sababu ni vigumu kujua kama watu wote...
  15. B

    Elections 2010 Swali dogo kuhusu kampeni

    Hawa ni watanzania ambao kikatiba wanauhuru wa kuchagua chama chochote wanachokipenda.Kwamba wameamua kuiunga mkono na kuipigia kampeni CCM kutokana na kuona mambo mbalimbali ya kimaendeleo yaliyoletwa na serikali ya CCM.Hivyo,usiwalazimishe kujiunga na chama ambacho wewe unakipenda.Watanzania...
  16. B

    Elections 2010 Waraka muhimu kwa wapiga kura wa Tanzania

    Uzalendo wa DR SLAA ni wa maneno zaidi na siyo wa vitendo.Kama ni wa vitendo alichukua hatua gani? mara baada ya kuzungumzia posho za wabunge zipunguzwe.Tulitegemea kwamba SLAA angezikataa zile posho na kulitaka bunge kiasi fulani cha posho zake zielekezwe kwa watanzania masikini.Lakini cha...
  17. B

    Ccm mpya!

    Hiyo siyo CCM,angalia kwa makini rangi ya jeneza inafanana(inawiana) na rangi ya vazi rasmi (kombati) la CHADEMA.Nadhani ndani ya jeneza hizo wako viongozi wa CHADEMA
  18. B

    Elections 2010 Polisi wakabidhiwa mbinu za kuiangusha Chadema

    Tunataka tupate ushahidi wa kina ili tuweze kukubaliana na hili. NO RESEARCH(DATA) NO RIGHT TO SPEAK
  19. B

    Elections 2010 Huyu ndiye real JK!

    Hapa kaka umekandamiza vizuri.Kwa upande wa baba paroko SLAA tayari mtu amejitokeza rasmi kudai kuporwa mke wake.
  20. B

    Elections 2010 Huyu ndiye real JK!

    Kwa misingi ya sakramenti ya ndoa katika kanisa,ni wazi kuwa DK. SLAA amezini kwa sababu josephine alipata sakramenti ya ndoa na mume wake kanisani mbele ya mashahidi. Hivyo,katika msingi huo,kanisa bado linamtambua josephine kama mke wa Aminiel mahimbo na kwamba kanisa haliwezi kamwe...
Back
Top Bottom