Search results

  1. K

    Elections 2010 Kwa nini deni la Nyanza Lilipwe sasa na kwa hela ya walipa kodi??

    Jamani mimi ni mtanzania ambaye nimeona mnisaidie kwa hili, Kwenye kampeni ya CCM mwanza JK aliahidi kulipa madeni yote ya NYANZA... ambayo ni zaidi Tsh billion tano. kati ahadi hiyo alikiri yafuatayo Wabadhilifu ndio walioiua NYANZA na hivyo yeye atalipa deni hilo bila kusema kuwa walioiua...
  2. K

    Elections 2010 Friends of Dr.Slaa FOD kuhakikisha Slaa anaingia ikulu hatari tupu........

    halafu hii ya kusema ahh! ilani yetu. mimi naona kuwe na ilani ya nchi ambayo ndo iwe kigezo cha kufanyia tahimini sio kama ilivyo sasa
  3. K

    Elections 2010 Friends of Dr.Slaa FOD kuhakikisha Slaa anaingia ikulu hatari tupu........

    si hilo tu la kuhaha kukana mambo ya sijawahi kunyong ana sijawahi kukataa kura za wafanyakazi. Mimi kinachiniskitisha ni kuwa KWA NINI MAFISADI WALE MAPESA, WAJENGE MAUMBA MILIMANI MWANZA, WATEKETEZE NYANZA HALAFU HELA ZETU ZITUMIKE KULIPA MADENI NA HAO JAMAA WABAKI HIVYO HIVYO. MIMI HII...
Back
Top Bottom