Search results

  1. L

    Inasikitisha sana editing ya pampass

    my brother you are not serious with intergret how can you support something which sounds nonsense in our society? Umewahi kumsikia lowassa akitukana au kumsema mtu vibaya? Don't triumph when the devil is ruling the country the national ellection committee has to be fair.hatari hawa polisi wetu...
  2. L

    Picha; Mwigulu atikisa kwenye Ardhi ya Wamasai, Operation Kata kwa kata inazidi kuipatia Kura za CCM

    ccm wote wameshajua kuwa mwaka hawawezi kushinda ndo maana wamebaki tu kujipa moyo ila ukweli wanaujuwa wazi kwamba mwaka huu rais ni lowassa
  3. L

    Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    Wewe una mawazo ya zamani wewe ni mkazi wa dodoma sehemu gani? Hizo kura zote una maanisha kura yako na........siyo dodoma yote
  4. L

    Raia wa Tanzania nchini Marekani watuma ujumbe

    Mimi nipo illinois marekani hivi sasa ni saa tatu na dakika 27 asubuhi nipoandika text hii huku ni lowassa kama wangeturuhusu kupiga kura ccm ingepata asilimia mbili au tatu tu kwani hatuwezi kukubaliana na ujinga wa ccm kuendelea kuwafanya watanzania mbumbu ili uwe mtaji wao wakati wa...
  5. L

    Warioba: Apinga kauli zinazotolewa na Lowassa pamoja na Sumaye kwenye mikutano yao ya kampeni

    Warioba hawezi kueleweka kwa watanzania maana hao ccm walisema kuwa anazeeka vibaya na hana la kuwaambia maana wakati ule siyo sasa.walimwambia akapumzike kuwa yeye ni tatizo na mwaribi wa nchi leo wanaweza kumwamini wati walishamkataa hadi kumpiga?
  6. L

    Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    Wewe unaonekana hujui kusoma kingereza ndio maana unashabikia waraka huu ni mbaya sana alioandika kinana utasababisha madhara makubwa sana kwa watanzania wataanza kunyimwa visa za marekani lazima kinana ashitakiwe
  7. L

    Elections 2015 Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!!

    Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm...
  8. L

    Taarifa ya Uhuru Publications kuhusu mwandishi aliyejeruhiwa

    Huyo mtoa taarifa alishindwa kutengeneza uongo wa kuweza kushawishi wasomaji maana hata mtoto mdogo atasema huu ni uongo wa kitoto jitahidi kutunga uongo mpya
  9. L

    Eti UKAWA utakumbwa na tafrani na kusambaratika katika wiki ya kwanza ya September 2015

    Nawewe mbona unarudia thread hiyo mara nyingi je unataka kutuhadaa ili ufanye jambo la kuangamiza ukawa? Maana ccm mmekuwa wajanja kuliko shetani
  10. L

    Video: Bibi aelezea mawazo yake kuhusu CCM

    Hiyo video sijaiona inaniambia no video au wameshaitoa?
  11. L

    Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Hakuweza ku-perform vizuri kukamata meli ya nje bila utafiti na kuingizia taifa hasara ya bilioni 2 kushindwa kulipa pesa za wakandarasi na kusababishia taifa deni la bilioni 900 sasa ame perform wapi vizuri. Watu mnaongea bila kufanya utafiti na wala hamjui maana ya kufanya vizuri.aliachisha...
  12. L

    Vijana wazalendo watoa tamko

    Mwadilifu ni lowassa aliyekubali kujihudhuru kwa ajili ya kuikoa serikali na chama chake. Tusichague ccm maana wamemaliza tembo wote wameingiza nchi kwenye ufukara na kuwasababishia watanzania maisha magumu yasiyoelezeka tumeiamini miaka 53 hatuwezi tena kurudia kosa
  13. L

    LOWASSA agoma kujibu swali la RICHMOND mkoani Dodoma

    Mbona hamjamuuliza kikwete kwamba lowassa alisema wewe ndiye muhusika wa richmond? Mnataka ajibu nini wakati alisha wajibu na kusema mwenye ushahidi aende mahakamani? Mbona hamjaenda mahakamani?
  14. L

    Ni dakika 5 za Lowassa

    Mungu akusaidie upate ufahamu amen
  15. L

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Samahani ningetamani ni kuulize kiwango cha elimu yako ila inawezekana ukanielewa vibaya naamini vijana wengi au kiasi kikubwa cha wananchama wa ccm wamekumbwa na ugonjwa unaoitwa imagination belief kuamini hisia.zaidi ya nusu ya wana ccm huamini sana propaganda na uongo they don't have...
  16. L

    Tukuyu somo la ufisadi wa Lowassa limeanza kueleweka, vijana wanarudi CCM

    Wewe umelogwa tu. Paulo aliwaambia wagalatia ninani aliyewaloga. Waliobaki ccm ni wale either hawajielewi au wanaishi kwa walezi ambao wanavyeo ccm wanaowaambia ukitoka ccm sikupi chakula
  17. L

    Wanafunzi wanasombwa Bwenini kwenda kwa Magufuli Leo

    Ccm wamechanganikiwa sana
  18. L

    Polisi Mara: Waandishi marufuku kupiga picha gari la Esther Matiko lililoharibiwa na wana CCM!

    Ccm wameshashindwa maana kila mbinu waliobuni imegonga mwamba wameamua kuanza vurugu ili kupunguza kasi ya mabadiliko
  19. L

    Tahadhari juu ya mikusanyiko ya watu kwenye kampeni

    Naungana na mchangiaji aliyetoka kuchangia. Imekuwa desturi yenu mkitaka kufanya jambo baya mnaanzaga hivyo.hata la dr slaa mlianza na thread inayosema tarehe 1/9/2015 ukawa watasambaratika.pia kuhusu lipumba gazeti la uhuru mlifanya hivyo inaonekana mmeshaona kushindwa sasa mnajipanga kulipua...
Back
Top Bottom