Search results

  1. Sakoyo

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Emma kariri hiyo post yangu tutapigiana simu november
  2. Sakoyo

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Hili nalisema beyond doubt kwamba Ben saa8 hawezi kuwa mbunge wa Rombo, kwanza kwenye cc ya wilaya hapiti, akipita tuu jimbo linarudi ccm..take my word
  3. Sakoyo

    Halmashauri ya wilaya ya moshi inavyokumbatia ukabila na udini

    Sorry braza inaonekana umeanza kazi hapo juzi. Mimi ni wa huko na nimefanya kazi hapo kwa miaka kama kumi hivi sijawahi kupanda daraja. Watu wamekuja hapo wakapanda fasta mpaka wengine wakawa wananionea huruma. Na huyo mdada uliyemtaja wa kwanza hapo kaja juzi tuu unamwonea ndo mana nakwambia...
  4. Sakoyo

    Mitungi ya gesi ya kupikia aina ya oryx

    Haya mmeku ulilahangaha ngikutafute..
  5. Sakoyo

    Msaada kuhusu urahisi wa kujiajiri au kuajiriwa mtu akisoma kati ya vitu hivi

    Ndugu zangu naomba ushauri wenu hasa mlio kwenye field ya uhandisi, kuna ndugu yangu amemaliza form six na naona hajapata credit za kumpeleka chuo direct so ninafikiri kum-support asome kama private. Sasa naomba kusaidiwa maoni akasome kozi ipi kati ya hizi: a) Civil engineering...
  6. Sakoyo

    Mshahara wa PGSS 12

    1.2mil mkuuu kila la kheri!!!! Nashukuru sana nimekupata mkuu..
  7. Sakoyo

    Mshahara wa PGSS 12

    Wakuu salam, naomba kujua mshahara wa PGSS 12 ni kiasi gani cha pesa..
  8. Sakoyo

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Mohamed Mtoi na AshaDii For sure guys mmenifungia siku(j3) na kunianzishia siku mpya (j4) kwa namna ya ajabu sana, niseme tu "be blessed and may allah grant you a very LONG LIFE"
  9. Sakoyo

    Tunashuhudia amani kwa mara ya mwisho Tanzania

    Nimemkumbuka mbunge mmoja ambaye alishawahi kusemakuwa huwezi kusema Tanzania kuna amani wakati kuna watu wanakufa kwa njaa,wengine wanabambikiziwa kesi, wanakosa huduma za afya, rushwa iliyokithiri nasasa nadhani imevuka mipaka mpaka imefika kwenye mhimili wa mwisho yani bunge[ilianzia...
  10. Sakoyo

    Nafasi za Kazi ZINGINE MARUDIO

    Kaka hata mimi hizo kazi baadhi niliziomba na nikazifuaytilia sana sikuitwa hata kwenye interview na ni kweli walishaajiri. Ninachokiona mimi hapo ni ile kuuonesha umma kwamba SERIKALI INACREATE AJIRA kwa kukusanya zote za nyuma na kzitoa nyingi kuaminisha watu kumbe hakuna lolote. Kwanza tangu...
  11. Sakoyo

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Yani huhitaji kuwa na elimu ya "Intelijensia" kujua huyu jamaa sio au haitwi "Peter Massawe" bali ni pandikizi tu lililotumia jina na kuonyesha yeye ni mchaga na ni mgeni sana kiasi kwamba hajawajua/ijua JF, jipange upya we' mtu as it seems that you are of either sex....
  12. Sakoyo

    Makamanda Polisi Mikoa Arusha na Mbeya wateremshwa vyeo

    Hapo kwa ma-analyst wazuri ndipo point ilipo, Mnajua huyu jamaa hana tatizo na mtu na ni mtu wa logic na haki sana niliwahi kukutana ama kushuhudia kashkash zake Moro alipokuwa IGP pale. Anyway nataka kusema kumuhamisha huyu jamaa inaweza ikahusiana na mauaji ya Mwenyekiti wa CDM kwani alikuja...
  13. Sakoyo

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    Asisahau NDUWENI, KASIRWA, REHA na NAYEME as hayo maeneo kwa pamoja ndiyo yaliyompa Selasini Ubunge as alipojua huko ndiko kulikokuwa na wapiga kura wengi alimrudisha Slaa kule mara ya pili baada ya kushauriwa na ma-strategist wa CDM ili kukolezea.....
  14. Sakoyo

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    Sasa Mbatia atakaa upande gani pale mjengoni? upande wa opposition au upande wa ruling team......!!!! Na huyu prof. Muhongo ni nani as simpata kabisa, hebu tupeni profile yake kidogo..
  15. Sakoyo

    Reference Letter

    Niwekee link basi, take a little trouble
  16. Sakoyo

    Reference Letter

    Wakuu naomba kusaidiwa kujua ni nini maana halisi ya "Reference letter" kama inavyotumiwa sana na watu au makampuni yanayotafuta wafanyakazi, pls hebu shea nami...
  17. Sakoyo

    TAIFA STARS: Tatizo kocha au wachezaji?

    Na waulize wanaompinga ni kocha yupi ambaye amefanya vizuri zaidi yake kwa miaka ya hv karibuni achilia mbali wale wa 1980/1982? Ultimate result/achievement ya kocha na timu kwa ujumla ni kufika FAINALI au kuchukua KOMBE la mashindano, sasa hebu wakueleze ni Maximo au kocha yupi yeyote yule...
Back
Top Bottom