Siku chache zilizopita ilikuwa sikukuu ya vyombo vya habari,na katika siku hiyo kubwa liliozungumzwa ni uhuru wa vyombo vya habari,kwa kweli tunapenda vyombo vya habari viwe huru,lakini uhuru huo usitumiwe kupotosha jamii ili wanahabari wajinufaishe kwa kuuza habari zisizo sahihi,mimi hakuna...
Hao ni wababaishaji,mimi ninaushahidi kwani mishahara hailipwi kwa wakati,ina maana mpka wachakachue kwanza,na yupo ndugu yangu ambaye anafundisha chuo cha ualimu huu ni mwezi wa tatu hajalipwa,huyo Mkulo aacha blaa blaa
Siwahi kuamini chochote aemacho Zitto, huyo ni mnafiki na ukitaka kujua ni bonge la ndumila kuwili, angalia alivyokuwa tofauti na misimamo ya chama chake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.