Search results

  1. U

    Rais Samia anafanya kweli. Mashirika ya Umma kuwa ya Umma kiukweli

    [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787].. Una kitu, utafika mbali... Takbiir...
  2. U

    Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

    Me namuonaga kama taahila flani asiyejielewa wala kujua anataka nini? Yupoyupo kama malaya anataka kila upande awepo.
  3. U

    Hivi Kajala na Jonas Mkude watafanya mapenzi yao ya siri mpaka lini?

    Siku hizi wanaume wamekua wambea kuliko wanawake
  4. U

    Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

    Tatizo we kinachokusumua ni udini. Nilikuaga nahisi utakua mtu wa maana hapa jukwaani kumbe debe tupu. Kadri unavyozidi kufungua kinywa ndo unaonekana empty. Mleta mada hajampoint kiongozi yoyote kwa jina lake bali kaizungumzia taasisi ya Urais. Mbona Taasisi ikifanya jambo zuri mnakimbilia...
  5. U

    Doctor Isaac Maro ni nani?

    Kirefu sijui ila ipo sinza afrikasana
  6. U

    Ruge Mutahaba anaumwa nini?

    Duh mtu kuumwa ni karma? Acha ulimbukeni wa kukulilishwa ujinga na watu waliofeli maisha.
  7. U

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Nakuhakikishia Ruge akivuta ndo mwisho wa Clouds, hata akija mnunuzi mwingine still Ruge akabakizwa bado kampuni itasavaivu. Kufeli kwa tamasha la juzi ni kukosekana kwake ndo maana unaona wasanii kibao wako busy insta kumuombea apone, now ndo wanaanza kuuona umuhimu wake kwenye industry. Ishu...
  8. U

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Maelezo yako sahihi asilimia 95. Na pale kuna ndugu wengine God, Judi, na Andrew wote watemi ni kama ukoo wa kambale. Wanawindana Ila ukweli clouds ni Akili ya Ruge ndo kaply part kubwa mpaka kuwa super brand ila wale ndugu walivyo na roho mbaya walishindwa hata kumpa share kwani wazo la...
  9. U

    Nilichokiona WASAFI Festival ni tofauti na namna ilivyopromotiwa

    Jiandae kuporomoshewa mitusi na watoto wa jf coz ukweli hawaupendi, wamefunikwa na wingu zito la ushabiki. Kule insta naona Dada wa Taifa ashachafua hali ya hewa kuhusu umiliki wa share za mond ndani ya wcb. Kaweka document ya leseni ya TCRA watoto hawaamini wanatoa mapovu tu. Wanahubiri...
  10. U

    Kusaga vs Ruge, Wasafi vs Clouds

    Coconut FM 88.9 frequency ya zanzibar ndo imebadilishwa kuwa wasafi FM, kuna wakati inakua hewani kwa dakika kadhaa na wasafi inapotea. Unajua hiyo coconut fm inamilikiwa na nan? Ukiachana na Peps mdhamini mkuu wa wasafi festival kuna wadhamini wengine, kama 3mzuka zinamilikiwa na joh pamoja na...
  11. U

    Kusaga vs Ruge, Wasafi vs Clouds

    Beef limetengenezwa kimkakati kumtoa majizo mchezoni... Mjini mipango, washamba hamuwezi kuelewa.
  12. U

    Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

    Kweli wabongo vichwa panzi... Jux na Nandy wapo Nairobi coke studio saa wajigawe Mara 2?
  13. U

    Ni muda wa diamond platinumz kutembelea nyota yao

    Huo ndo ukweli na ndo maana hata nyimbo za jide pale wasafi FM hazikanyagi.
  14. U

    Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

    Angekua mmiliki wangeshindwa kupiga hata nyimbo za jaydee? Waliogombana na jide ndo wamiliki.
  15. U

    Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

    Hilo alosema mdau wala sio siri sema nyie washamba ndo hamtaki kuamini.... Hats hiyo frequency ya 88.9 ni ya kusaga kitambo ndo walikua wanaitumia kurushia matangazo ya coconut FM upande wa zanzibar.... Tatizo vijana mna mihemko
  16. U

    Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

    Hahaha hii post imenichekesha sana... Vijana sio watafiti wanaendeshwa na matukio....
  17. U

    24/11/2018..Nani ataandika Music history?

    Shamba la bwana kheri, mbuzi ya bwana kheri, yote kheri.
Back
Top Bottom