Search results

  1. Shomoro

    Lowassa anena, amponda Kikwete kimtindo...

    Hiihi misamiati mingine bwana.... mashonde? ndio maguduria gani
  2. Shomoro

    Hasira za Wazanzibar kuchoshwa na Muungano

    We Mse.la nini?
  3. Shomoro

    Kikwete anamfahamu Al Adawi!

    Hili ndilo lidude alilolileta? OMG! Kumbe Rostam siyo smart kihivyo. Sasa naamini anaweza kung'oka kirahisi na DOWANS imeshamkalia kooni. Kwa kujiokoa bora awahi tu Iran.
  4. Shomoro

    Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

    Ufuasi huo umeanza lini? Rekodi zinaonyesha vinginevyo!
  5. Shomoro

    Picha hii inazungumza yote ~ A more than thousands words

    Kiukweli mama spika lugha inamtatiza. Yaani anajikanyagakanyaga tu.
  6. Shomoro

    Picha hii inazungumza yote ~ A more than thousands words

    Mimi niliiona hii kitu kwenye chten tv. Dogo alikataa ule msosi aliochotewa na kimeo. Akatikisa bichwa akiashiria mgomo. Ikawa aibu.
  7. Shomoro

    Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    Kifupi elimu ya Tz inatia aibu sana. Kwa kuwa UD ni chuo kikongwe inchini tulitegemea kiwe mfano wa elimu iliyotukuka but am afraid that UD ni kati ya vyuo ambavyo wanafunzi wapo shallow sana. Unajua Tz ni kati ya nchi za ajabu ambapo mwanafunzi hata wa shahada ya uzamili wanaweza ku-graduate...
  8. Shomoro

    Waziri Mkuu amelidanganya bunge na watanzania wote

    ndiyo sisi sote ni vema. tuukulize wewe unasubiri nini kujiunga?
  9. Shomoro

    Kweli Mh.Makamba anafurahisha!

    Speaking of January and Mwamvita, couldn't they tell their dad kwamba his time is up. To me is an embarrassment to have a bigmouth dad like Yusuph taking into account that his kids are also public figures.
  10. Shomoro

    Kweli Mh.Makamba anafurahisha!

    Unamaanisha Ma-kamba na Sisiem yake ama chipukizi ndio luzas?
  11. Shomoro

    Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

    Nyie ma-yahe mna shida sana. Hakuna wakiristo duniani. Labda ulitaka kumaanisha Wakristo/Wakristu
  12. Shomoro

    Naomba Kujua Elimu na GPA ya Jakaya Kikwete!

    Okay- So let me get this straight, Kikwete has a pass degree with 2.1 GPA right? Oh boy, I knew this was coming.
  13. Shomoro

    Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni

    Kitu ambacho mheshimiwa hakukiahidi ila kinatekelezwa kikamilifu ni kwenda kijijini Ms(z)oga kila wiki na msusuru wa ma-nissan! Damn
  14. Shomoro

    Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni

    Nafikiri assumptions zako siyo sahihi. Kwanza kwenye hii post yako hujasema jambo muhimu lolote. Umejaribu kusema kuwa Dr Slaa anakosea bila kutoa sababu na mifano anakosea vipi. Pili usiishutumi JF kwamba imepoteza muelekeo kwa sababu zifuatazo; a. Wanamvi wa JF sio lazima wawe wanachama wa...
  15. Shomoro

    Kwanini Kawambwa asifanye hili...!?

    Hapo sasa
  16. Shomoro

    Julius Mtatiro apandisha jazba kuhusu Tamko la Chadema kutoungana na CUF Bungeni

    Hivi hamna neno mbadala. Au ndio liko kwenye chati?
  17. Shomoro

    Kwanini Kawambwa asifanye hili...!?

    Kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha kwa mwaka 2010 na mambo mengi yaliyosemwa na wadau wengi kuhusu kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania. Binafsi nitavutiwa na hoja hii; *Kwa nini Tanzania kama nchi tusifikirie kufundisha watoto wetu kwa lugha moja ambayo tutaichagua na kuisimamia toka...
Back
Top Bottom