Nimewaza sana, na kufanya upembuzi yakinifu na Kugundua kuwa Wanawake Wengi hawaolewi kwasababu tu Wametaka iwe hivyo... Kwanini nasema hivyo:-
1. Kama wangetaka kuolewa basi wasingeweza kutoa unyumba bure bila masharti
2. Wengi wanataka wanaume waliofanikiwa sio wale watakaofanikiwa nao...
Haya mambo yanaanzaga kama utani mwisho wa Siku unasikia makato yameanza.. Naikumbuka asilimia 15%
Hii ilikuwa sababu tosha ya wanazuoni kupinga katika kila forum mbalimbali kwa kuandika hashtag ya uonevu huo sambamba na kuwasilisha malalamiko kwa wakikilishi wetu bungeni
Hongera kwa jitihada hizo
Kimsingi Mkuu wa Idara au Kitengo kama ntakuwa nimekuelewa vizuri hivyo ni vyeo vya Madaraka unaweza kufikiriwa kuvipata mpk utakapokuwa umepata usenior wa nafasi husika
Halina mda Maalumu Kitu Cha Msingi ni kuwa Na sifa(academic qualifications) zinazoendana Na kada unayotaka kuiendea Kwa Mujibu wa miundo ya utumishi(service schemes)
Vikiwa Sawa unamuadikia muajiri wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.