Search results

  1. jogoo_dume

    Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

    Ukiona wanalia lia ujue makonda ndio mtu sahihi..
  2. jogoo_dume

    Yanga yupo kwenye kundi gumu ila fixture inaweza kumbeba

    Yanga hatoboi hilo grp....
  3. jogoo_dume

    Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

    Angalieni mpira kwa jicho la tatu pia...
  4. jogoo_dume

    Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

    Sawa ila je kafanikiwa au laa?
  5. jogoo_dume

    Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

    Mlitegemea kuwafunga moroko na kina samata?? Moroko wamecheza mchezo gia ya pili. Tungebana wangeenda gia ya tatu...
  6. jogoo_dume

    Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

    Imethibitika jamaa kuwa yeye shaffih hajui kitu
  7. jogoo_dume

    Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

    alafu mleta uzi ni mmoja wa 'vichwa' upande huu.... daaah!!! Sasa kama huyu ni kichwa boya sijui atakuwaje...
  8. jogoo_dume

    Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Msioe singo maza... labda mzazi mwenzake awe amefariki tena kafariki kwa ajali...
  9. jogoo_dume

    Hili kundi limeibuka na kumkejeli Rais Samia Suluhu kwa kila hatua anayofanya. Uwepo wake ni takwa la kikatiba; sasa mlitakaje?

    Kwani wakati wa JPM uwepo wake ulikua sio wa kikatiba? Mbona watu walimpinga pia? Mama kaanza ndivyo sivyo na sio wote tutakubaliana nae, wa kukubaliana nae kubalini, wa kukataa tunakataa na ndio mawazo yetu..
  10. jogoo_dume

    #COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Hata malaria imetuchukulia ndugu wengi tu.
  11. jogoo_dume

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Kwa utawala huu ni utawala wa kukaribisha wawekezaji, waje tu!
  12. jogoo_dume

    Rais Mpendwa Mama Samia ameshaonyesha Kutupenda Watanzania, hivyo na Sisi tumuonyeshe Upendo Wetu Kwake kwa Kumfanyia yafuatayo...

    Hamna mtu anayependa kulipa kodi na haitotokea. Wanaolipa kodi huko mbele sio wanapenda ila sheria kali zimewekwa. Hapa kwetu mama anataka kutubembeleza.
  13. jogoo_dume

    Rais akiliweka suala la wawekezaji kama 'fungulia mbwa', sijui nini kitatokea

    Wa kukuelewa watakuelewa na wa kutukana watatukana ila mie nimekuelewa vizuri sana. Naomba tu moderator wasiifute huu uzi.
Back
Top Bottom