Mi maona ziwe 19 andoe wiraza ya utamaduni habari na michezo na kuiunganisha na wizara ya elimu. Sisahihi kabisa na huu ni ubaguzi kuonesha mawaziri wa baadhi ya wizaramaeneo watakakotoka.may be kunasababu za msingi other wise haina tija
Taarifa kwenye vyombo vya habari zinaonesha (jambo leo news paper) source ni synovate:
lakini nina wasi wasi sana hii Taasisi kuhusu Tafiti zake.
DR.SLAA IS A MAN WHO HAS BEEN SENT TO SAVE TANZANIAN IN THEIR TIME OF NEED.
VOTE FOR DR.SLAA VOTE FOR CHADEMA
kuna uwezekanano huo utafiti wako ukawa na ukweli ndani yake, lakini nashindwa kushawishika kuyakubali matokeo yako moja kwa moja maana hujaonesha aina ya utafiti wako, sample ya utafiti wak, maswali ya msingi uliyo uliza na numba, au asilimia ya watu waliojibu ndiyo au hapana ua sijui.any...
mmh! kweli nchi hii ina vituko,sasa inamaana huyo jaji yupo juu au hajui sheria? na kwanini wasubiri Tamko?, tutaaminije kama kweli uamuzi huo ni wa kisheria au si kwasabaubu ya shinikizo la BAKWATA?mbona uamuzi umetolewa haraka sana, maana mi nijuavyo mahakama zetu huchelewesha sana kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.