Search results

  1. N

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    SUA. ni chuo bora nchini Tanzania..Elimu unayoipata pale ni babukubwa..pia ni chuo kinacho tegemewa na 100% ya watanzania wote...aliepo sua . anaweza kuthibitisha haya
  2. N

    Nini sababu ya haja kubwa kutoa harufu kali?

    inasababishwa na mambo mengi, ikiwemo "malabsorption" pale ambapo mtu hawezi kufanya absorption of materials.. pia kuna utofauti katika kufanya absorption ya nutrients kama vitamins,amino acids,fatty ,sugars etc..so content ya feaces ita tofautiana kati ya mtu na mtu.pia hata smell itakua na tofauti
  3. N

    Tanzania yangu ijayo, (nchi ipelekwe kijeshi)

    Inategemea na timu kazi atakayoitumia anayopanga kuitumia, pia ni watu gani watakua nyuma yake!!!.maana tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ubepali ndio tupo nao.
  4. N

    Tanzania yangu ijayo, (nchi ipelekwe kijeshi)

    Watumishi wengi ni wazembe, wanatakiwa kupelekwa kinguvu nguvu mkuu..tukiwa na combination nzuri ya hawa watu(jeshi) kutoka chini hadi juu, mambo yatakaa vizuri zaidi
  5. N

    Tanzania yangu ijayo, (nchi ipelekwe kijeshi)

    Ninaipenda nchi yangu, awali ya yote ninaiomba amani iwe nasi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi. Kwa awamu ya tano.(Chini ya ukawa au CCM). Kwa ubora wa taifa hili, ninapenda nchi hii iongozwe kidemokrasia kupitia mbinu shirikishi na uongozi wa kijeshi. Yaani wanajeshi wenye elimu wapewe...
  6. N

    Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

    Wakuu, kwa mwenye CV ya Rais Mtarajiwa, Dk. Magufuli, please tunaiomba.. ===========
  7. N

    Ofisi za HESLB ziko wapi?

    Kutokea mwenge..ukiwa sam nujoma road kuelekea ubungo.upande wa kushoto(meter 200-400 ivi kutoka mwenge)
  8. N

    Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

    Naomba maelezo kwa ufupi kuhusu range management
  9. N

    Bcs Range Management SUA

    Anaefaham Kuhusu Facult Ya Range Management Anifahamishe Data Zake(yaani Kwa Ujumla)
Back
Top Bottom