Search results

  1. M

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa jimboni Mtama,Lindi - Septemba 23, 2015

    Kwenye waliojiandikisha kuna wana Chadema, cuf, Nccr, na wasio na chama, ila wanaccm waliopiga kura za maoni katika mchakato wa ndani hawafiki 30,000
  2. M

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Alafu TCRA si walikataza watu wasiogombea kufanya TV live coverage kipindi hiki? Au hawajakatazwa wanaodhoofisha UKAWA tu? 😳😳
  3. M

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Bora hata Aunt Ezekiel alikua maarufu kuliko huyu, daah CCM wanapoteza hela zao buree. Bora wangezitunza mishahara ya wafanyakazi watakapokua chama cha upinzani. Masna vyanzo vyao vya mapato vitapungua saaaana
  4. M

    Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Lisu nakuomba kwenye mkutano ujao umuombe mheshimiwa Raisi atuambie zile hela zilizobebwa kwenye Viroba na Marumbesa za Escrow kutokea Stanbic Bank, zikikua za nani? Na kisha atuambia kampuni ya Simba Trust ambayo iko ubia na IPTL ni ya nani? Chonde chonde Lissu usisahau
  5. M

    Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

    Ha ha ha ha ha ha ha😂😂😂😂😂😂🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
  6. M

    Tamko la Marais wa Mashirikisho ya Sanaa nchini, kuhusu kuagwa kwa Rais Kikwete

    Walaa Kikwete hajaingizwa mjini, yeye ndo alieandaa tafrija hiyo kwa kumtumia Ruge, yeye ndo alietoa kadi za mwaliko kwa wasaniii. Raisi alijua kabisa analofanya. Waulize wasanii waseme kama kuna aliechanga hela ya kulupia Ukumbi? Kununua chakula, vinywaji na kila kitu? Kikwete ndo alikua msanii...
  7. M

    Wasanii na pesa za CCM

    Definitely wasanii wamekua organized kupost hizo Picha, alafu wote wameanza siku moja na Picha zimekua edited from one source, the question is wanapost kwa mapenzi yao? Au wamashinikizwa? Who is behind this?
  8. M

    Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Huwa tumezoea kuona Ndege za jeshi zikifanya mazoezi wiki moja au mbili kabla ya public holidays. Lakini leo tarehe 19/08/2015, toka asubuhi anga letu hapa Dar limezungukwa na Ndege, kila dakika zinapita, alafu isivyo kawaida leo zinapita chini chini saaana, zinatushtua na kutupigia kelele...
  9. M

    Rais Kikwete fanya hiki Dr. Magufuli apate kura za waalimu

    😂😂😂😂😂😂😂👯👯👯👯👯
  10. M

    Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

    Jamani hizo naamini ni strategy za ushindi za UKAWA, Dr. Slaa sio mjinga akaondoka Chadema dakika hizi za mwisho kuelekea Ikulu. My instinct tells me ataibuka siku ya kumtangaza mgombea wa UKAWA, alafu hapo wazee wa goli la mkono watabaki bila story
  11. M

    Kwanini ITV haitangazi habari za ACT-Wazalendo?

    Kwani ACT wanahabari gani ya kutangaza? Au unataka watoe matangazo yakisema "jiunge na ACT"?
  12. M

    Swali hili nimeulizwa sana wakati wa kufanya mapenzi

    Ha ha ha, swali linamaanisha uko na changudoa hapo bed.
  13. M

    Kwa kauli ya Kikwete, Nape na Makonda wanasubiri nini?

    Ha ha ha ha, aliekuambia Lowassa atakua Raisi Nani?
  14. M

    Bunge hakikisha anaondoka leo huyu

    Kwa hili mtoto wa mkulima anaonewa, zaidi zaidi anatakiwa kuonewa huruma. Kama Raisi kasema Fedha zitoke mnategemea waziri mkuu abishe kweli? Wakiwajibishwa namba moja ni Raisi, na kama Raisi tunamshindwa basi awe katinu mkuu kiongozi, ambaye ndie aliesaini barua.
  15. M

    Hivi kati ya Lissu na Werema nani Mwanasheria Mkuu?

    Jamani, Werema sio kilaza. Werema ni mwanasheria mahili saaaana. Hafanyi kazi vizuri kwa sababu mbili, 1. Yupo kwenye nafasi ya kisiasa, nafasi ambayo inakulazimisha kufanya ujinga, najua hata tundu Lissu akitokea kuwa AG atajanya na kutetea ujinga. Ikumbukwe kwamba kazi kubwa pia ya mwanasheria...
  16. M

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Mimi nafikiri kuna mambo kadhaa yaliyotakiwa yasemwe pia na PAC lakini sikuyasikia, mambo yenyewe ni kama yafuatayo; 1. Mmiliki Mwingine wa PAP ni nani?, kwa sababu, kwa sheria za Tanzania mpaka sasa kampuni lazima imilikiwe na watu zaidi ya mmoja. Sheria ya mtu mmoja bado haijaanza...
  17. M

    Simple metal detector inaitajika

    Unataka ya kudetect madini gani? Unataka ya kununua au kukodi?
  18. M

    Godbless Lema(mb), unachokifanya ni utoto unaokushushia heshima

    Mi nshajua kwamba wewe mleta Mada ndo wewe wewe Danny G. Lakini hebu sema vyote, wewe mbali na hizo hisa umeshachangia shillingi ngapi? (umezilipia hisa ngapi?) maana kila hisa lazima ilipiwe. sio kwamba ukiwa shareholder hata usipochangia chochote unaendelea kuwa shareholders maissha yako yote.
Back
Top Bottom