Search results

  1. N

    Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

    Ndugu wana JF, Kila anayefuatilia siasa za hapa nyumbani anajua nchi yetu inapitia kwenye mageuzi makubwa ya kisiasa huku CCM ikiangamia, CHADEMA wao wanashamili kwa afya. Kwa sasa Chadema wamekuwa wakivuna wanachama toka CCM, binafsi jambo hili sio zuri kwa chama kinachotaka kuleta mageuzi ya...
  2. N

    Je, unampa JK asilimia ngapi za uongozi bora?

    nampa zote 100%, sioni alipokosea.
  3. N

    Marehemu kawawa alilambishwa mali zitokanazo na ufisadi?

    nenda zako huko, umeshindwa kuwashughurikia mafisadi unaleta longo longo zako hapa..
  4. N

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    nadhani amechelewa sana, waliondoka wenye nguvu kuliko yeye tena wakati amabao chadema haijaaa vizuri, leo hii hata akiondoka Dr SLAA, sisi tutasonga mbele, chama si mtu, hata hivyo tumesikia mengi juu yake, aondoke salama.
  5. N

    Mechanism for micro finance

    hii ni kazi ya consultancy mkuu, tangaza tenda tukuletee ma proposal, mimi ni mtaalam ila kama unahitaji huduma yang ulipie. kama upo tayari weka mawasiliano yako tufanye kazi.
  6. N

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    nadhani watanzania tuwe makini, ukweli Kinana ni Msomali ila alishapata uraia kama nilivyosikia, cha msingi ni je mtu asiyekuwa na asili ya nchi aweza kweli kuwa na uchungu na nchi aliyohamia?? je kuwa mtanzania kuna faida zozote za msingi kukuona unatufaa?? mbona wapo watanzania wenzetu...
  7. N

    Elections 2010 Je,Dr.W Slaa anaweza kuteuliwa kuwa mbunge kama akikosa nafasi ya urahisi?

    mbona mnaleta mijadala ya ajabu?? kwa nini tunajadili jambo ambalo bado muda wake, au mmetumwa?? matokeo bado, mimi naamini Dr Slaa ndo atakuwa rais wetu tuwe wavumilivu kusubili matokeo ya mwisho...
  8. N

    Elections 2010 Mshaurini Slaa Agombee Uspika

    ushauri wako mzuri, tumeupokea, atagombeaje usipika kabla hata matokeo hayajatangazwa?? wewe umejuaje urais kashindwa, matokeo yalotajwa ni majimbo ambayo ccm ndo imeongoza bado ya chadema yenye wapiga kura wengi, kutangulia si kufika, ushindi hadi kipyenga cha mwisho kipulizwe
  9. N

    Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    takwimu za nini jamani, sie kusikia tumeshinda yatosha, tunatakiwa kuanza kushangilia hata kabla ya kutangazwa ili washindwe kuchakachua.
  10. N

    Elections 2010 Do you know why not Dr Slaa 2010-2015?

    nakubaliana juu ya ccm kuiba kura, lakini mbona hatuendi mbali kujiuliza, mbona kwa ndesamburo hawaibi?? na kure tarime kila siku wanaanguka?? karatu napo miaka 15 hawakuweza kuiba?? mfano wapiga kura asilimia 90 wakampa slaa wataiba ngapi?? haiwezekani, sisi tukapige tu kura kuikataa ccm. Mwaka...
  11. N

    Amenipa zawadi ya kipigo cha mbwa koko baada ya kumfumania akirojoka!!

    uache kumchunguza mkeo, kaa nyumbali, ulikuwa unatafuta nini huko, ndo hasara za kuchunguza chunguza badala ya ktulia, utajuta sasa umeona na umepata stahili yako..
  12. N

    Naipenda CCM na nitaipenda Daima kwa sababu...

    hiyo ni historia ya CCM ya wakati huo, itabakia kwenye vitabu, sasa sio tena chama cha mapinduzi, limebakia jina tu, sawa na wewe kubaki unaitwa mapande kong'wanzoka wakati baba yako kong'wanzoka keshafariki....
  13. N

    Nina stress

    kama kweli unamaanisha nakushauri nenda ikulu ukatukane au pale jeshini makongo, watukane wanajeshi, usiwaonee wadogo, vinginevyo huna lolote..
  14. N

    Elections 2010 Helkopta za kikwete zina walakini

    mwaka huu kazi moja tu ndugu zangu, ni kuwakataaa, waende wakchunge ng'ombe vijijini kwao..
  15. N

    Elections 2010 ITV mmeanza lini kuwa CCM?

    Tusiwaonee ITV jamani, kwa mazingira yaliyopo wamejitahidi sana, yapo mapungufu ya kibinadamu, nao lazima watetee kitumbua chao, mtumikie kafiri upate mradi wako, nawapongeza sana, nadhani tupeleke tuhuma zaidi kwa chombo chetu wenyewe TBC kabla hatujaangalia cha jirani maana huo si wajibu wake...
  16. N

    swali kwa kina kaka wenye wapenzi

    jibu liko wazi kabisa hapo, tena shukuru umeapata mwanamke wa maana, anaonekana anakuzi akiri, kama umeona umeshindwa kumshawishi maana yake nini?? huna uwezo, kwa kukusaidia tu alichokuambia ni sahihi kabisa na anaonekana mwanamke wa msimamo thabiti, atakuwa msaada mkubwa kwako, wewe mwambie...
  17. N

    Kipima joto cha itv cha toa mwelekeo

    hata mimi nilifurahia sana matokeo ya utafiti huo, nawapongeza ITV maana hawajaficha kama taasisi zingine, sasa nimeamini kumbe tupo wengi na inawezekana, nikusahihishe kidogo ni asilimia 87 ndo walisema ndio, tuendelee kuchanja mbuga..
  18. N

    Elections 2010 Wameshindwa miaka 25 wataweza miaka 5?

    hata kama ccm tutaipatia miaka mingine 100, bado hali itaendelea kuwa mbovu zaidi, ili tusifike huko tunpaswa kuipumzisha mwaka huu kabla hatujaharibikiwa...
  19. N

    Slaa in Bunda, Mwanza, Musoma na Tarime (Picha)

    Mwaka wa mapinduzi, tuendeleze mapambano ya chini kkwa chini, kushawishi ndugu zetu, huu ni mwaka wa mabadiliko.. Eeeee Mola wetu tuwezeshe mwaka huu tuiangushe ccm kwa kishindo....
  20. N

    Mtoto wa Pius Msekwa afariki!

    Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amen.
Back
Top Bottom