Search results

  1. M

    soundtrack ya tangazo la hamia airtel

    wadau naomba mnijuze jina la wimbo uliotumika na msanii kwenye soundtrack ya tangazo la hamia airtel
  2. M

    Kutoka dam puani na pombe kali

    asanteni kwa taarifa, sula la kuacha sijui
  3. M

    Kutoka dam puani na pombe kali

    Wadu madaktari kwa nn nikinywa pombe kali kma grants, JD na nyinginezo natoka dam puan tena nikiwa na bibie ndio zaidi, what is behind this?
  4. M

    Waliopata kazi TRA

    thanx mikataba feki, samahani kwa kukukwaza mario gomez, nashukuru nimeshapata taarifa napenda kuishukuru jf kwa taarifa maana hata tangazo la kazi nililiona humu, naahidi kufanya kaz kwa juhudi na maarifa tuweze kukusanya mapato ya serikali kwa maendeleo ya...
  5. M

    Waliopata kazi TRA

    ndugu waliopata kazi tra assistant tax officer tunatakiwa turipoti lini na wapi? maana wametuma barua bila kuonyesha report date na wapi! thanx
  6. M

    Safari yangu ya Rwanda

    tanzania wanajifunia usuluhishi wa migogoro barani africa
  7. M

    Faraja kota

    ina maana alikuwa hajaoa au alimfukuza mkewe apate chombo kipya?
  8. M

    Nisaidieni kazi jamani

    Mnataka mjini muolewe? Kwani mikoani hamna mabwana?
  9. M

    Tafadhali Kikwete tangaza hali ya Dharura kwa Jiji la Dar; TUONGOZE KWENYE DHARURA HII!

    mbona kipindi cha chaguzi ndogo helikopta zinapishana hadi wanagombea mahala pa kutua? zi wapi sasa? hapa ndo muda wa kuwajua wanasiasa
  10. M

    Luhanjo: Marufuku viongozi wa upinzani kualikwa kwenye mahafali sekondari

    anafikiria kwa kutumia masaburi yake huyu! lol
  11. M

    Utamwambia nini Rais JK?

    ningemwambia watu wanakutania hivi mkuu wa nchi " palitokea mkutano wa madaktari bingwa dunianikutoka nchi tatu,China, Ugerumani na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikia yaliyofanywa na ktk nchi zao. Mchina akaanza, kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea wa bandia na sasa...
  12. M

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    mi nashangaa wabunge wanakazania watunge sheria maalum kwa waunza unga kuliko sheria za mafisadi. THIS IS MORE THAN WAUNZA UNGA!
  13. M

    Airplane about to crash

    An airplane was about to crash; there were 5 passengers on board but only 4 parachutes. The first passenger said, " I'm Kobe Bryant, the best NBA basketball player, the Lakers need me, I can't afford to die.... So he took the first pack and left the plane. The second passenger, Hillary Clinton...
  14. M

    EXCLUSIVE: Ushirikiano wa Makampuni ya Mafuta na CCM

    yule mama rahma kharoos ( balozi wa polisi jamii) if am not mistaken ana kampuni kani vile ya mafuta! hahahah nchi ya baba, mama mdogo, mtoto( prince) na mashemej from DUBAIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
  15. M

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    wauza mafuta mashem wa mkuu, yule mama baloz wa polisi jamii
  16. M

    Mgao wa umeme umenifanya niwe mlevi

    Wana JF itabidi niilaumu serikali kwa kunifanya niwe mlevi kwani kila umeme unapokatika hasa usiku by saa moja najongea kwenye baa yenye umeme napiga laga zangu mpaka mida ya kulala naenda kulala, hata iwe monday, kwa hali hii mgao ukiendelea kwa miezi kadhaa...
  17. M

    Kukohoa damu

    Hivi kukohoa damu ni dalili ya ugonjwa gani?
  18. M

    Commissioner CHAGONJA: AN OBLIQUE STATEMENT

    yawezekana mbowe ni komandoo wanaogopa asitoroke!
  19. M

    Bibi aweka kizuizi barabarani na kutoza magari, pikipiki ushuru

    sasa mnataka naye akale wapi? TRA wezi, viongozi serikalini wezi tena wa mabilioni yeye jero tu! mwacheni, kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake, kilichobaki tugawane nchi kila mtu atoze kodi sehemu yake!
Back
Top Bottom