Search results

  1. bacha

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Binafsi, nimefurahishwa na Jina jipya la Pm Majaliwa kujitokeza, Nitachukizwa kama Wassira atarudi kuwa Waziri, Nitachukizwa kama Mama Nagu atarudi kuwa waziri, Nitafurahi kama Prof Muhongo atarudi kuwa Waziri, Nitachukiwa kama Nyarandu atapewa Uwaziri tena, Nimechukiwa na Ndugai kupewa...
  2. bacha

    China isingemchelewesha Lowassa

    Hivi Ufisadi nchi hii umefanywa na Lowassa tu? Hivi baada ya Lowassa kustaafu Uwaziri Mkuu hakuna kashfa zozote za kifisadi zilizoendelea nchi hii? Hivi mpaka ufisadi mkubwa wa mabilioni ya fedha ufanikiwe, utakuwa unamuhusisha mtu mmoja tu na wala sio chain nzima? Hebu tujiulize hayo maswali...
  3. bacha

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    sasa na hii taarifa ya kuwa Anthony Diallo kajiunga CHADEMA imekaaje?
  4. bacha

    Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

    ni nani huyu alovaa hivi hadi chupi kuonekana kwenye Zari white party?
  5. bacha

    Kauli za wanawake wasipotaka kufanya mapenzi sikupi,sina mood,sijisiki

    Hivi ndugu zangu/wanaume wenzangu hii kauli na nyie mnaipata mara kwa mara.Hii kauli huwa inaniboa kama sio kunikera pindi niisikiapo wakati huo nina kiu kwa mpenzi wangu. Hivi katika kupeana raha inahitajika wote siku hiyo tuwe katika ""mood". Mimi ninaamini na kufahamu kuwa wakati mwingine...
  6. bacha

    Dr, Prof. Msomi asienukuu maandiko yeyote.

    Mh. Professor JMK, Mungu akupe nn tena zaidi ya sifa hizo zote..........
  7. bacha

    Habari na Picha: Rais Kikwete akitoka hospitalini akiwa ameambatana na Mama Salma Kikwete

    Waafrika hatuachi asili yetu kabisa, mke wa rais nilitarajia hawezi kuwekwa pembeni kiasi hicho, alitakiwa awe sambamba na rais hapo....lakini dah........
  8. bacha

    Ripoti ya IPTL haina madhara kwa wahusika, hakuna wa kuwajibika

    mawazo haya yasokuwa na mashiko ndo yanayotuangusha watanzania wengi...... hakika tunahitaji uzalendo na viongozi majasiri, ama lah....kwa mwendo huu hatufiki popote
  9. bacha

    Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

    samahani FirstLADY1, ukiondoa fikra gandamizi kichwani kwako, na kuufanya moyo kuwa mwepesi wa kutaka kujua basi utafahamu tu alichokiandika NYUMBA KUBWA kinamaanisha nini, By the way, Siruhusiwi kuingia huku jikoni, nimepita kuchukua glass ya kunywea maji tu jameni, tchaoooo..........
  10. bacha

    Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

    duh....kaka umejitahidi, mie ikizidi sana miezi 3....................mungu aniepushie mbali lol...
  11. bacha

    Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

    asante nyumba kubwa kwa kutambua hilo hapo juu(bolded), wanawake wengi ndo ugonjwa huu wasioutambua katika fikra zao
  12. bacha

    Naogopa jibu nitakalopewa

    nataka nijue tu, sorry...... ana vijisenti nini mpaka umethubutu kumwambia hivo?
  13. bacha

    Dar es salaam: Kikwete kufungua barabara ya Mwenge - Tegeta

    Tabu tu na kutusababishia mafoleni na barabara zenyewe za kuchakachua hizi.......
  14. bacha

    Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

    mmmh...wewe nyungunyungu.......dah
  15. bacha

    A u ready?

    Kaka haya mambo yalikuwa kipindi cha analogia, sio kwa sasa kwenye digitali..... shauri yako.................stuka sasa
  16. bacha

    Msalimie hivi

    sasa na huu usafiri wetu wa daladala wa kibongo, kila wakati mnasuguana na kugusana hapo vipi ndugu?
  17. bacha

    Jaji Warioba afunguka, asikitishwa na kauli za viongozi wa CCM

    Kuna wakati nafikiria kuwa, huyu mzee walimeteua kuwa mwenyekiti wa tume ili wamdhalilishe au? Halafu wakiitwa NTERAHAMWE kuna makosa jamani?
  18. bacha

    Raha ya kutongozwa...lol

    inaonyesha mwanaume akija kwako na ile mitongozo ya kizamani huchelewi kumbwatukia lol....
Back
Top Bottom