Search results

  1. KAZIMOTO

    Mtikila: Tamko DPP juu ya bomu lililolipuliwa Arusha - CHADEMA wanatafuta Ushindi kwa kura za Huruma

    MARA MOJA MTIKILA ANATAKIWA KUSALIMISHA USHAHIDI WAKE POLISI by paul chagonja. KWA tamko hilo anatakiwa kuiadia polisi
  2. KAZIMOTO

    Swala la kuchinja katika katiba!!!!

    serikali inaundwa na watu wa dini zote na wapagani ambao watalazikika kuchinja kiserikali lakini pia inasemekana serikali ni ya mfumo kristo itaaminika vipi kubeba jukumu la kuchinja kwa niaba ya waisilamu?
  3. KAZIMOTO

    Swala la kuchinja katika katiba!!!!

    NDUGU, unapendekeza AYA ZA kuchinja za KITABU chako cha DINI iingizwe kwenye katiba ya nchi??????????????? mmmmh kesho tutasikia wakristo nao wakitaka AYA zao ziingizwe kwenye katiba MWISHOWE , TUTAJIKUTA KATIBA YETU imejaa AYA za bibilia na koran.
  4. KAZIMOTO

    Swala la kuchinja katika katiba!!!!

    REJEA RASIMU YA KATIBA MPYA UKURASA WA 2 HIVYO BASI, KATIBA HII YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM LA KATIBA imetungwa na SISI WANANCHI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kupitia KURA YA MAONI kwa madhumuni ya kujenga jamii kama hiyo, na kuhakikisha kuwa Jamhuri...
  5. KAZIMOTO

    CHADEMA ahidini kutatua kero za Waislam

    REJEA RASIMU YA KATIBA MPYA UKURASA WA 2 HIVYO BASI, KATIBA HII YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM LA KATIBA imetungwa na SISI WANANCHI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kupitia KURA YA MAONI kwa madhumuni ya kujenga jamii kama hiyo, na kuhakikisha kuwa Jamhuri...
  6. KAZIMOTO

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    Ulimwengu una tabia ya kujiumba upya ingawa si kwa lengo la kuikataa historia.
  7. KAZIMOTO

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Nakuunga mkono kwa 100% kuuliza swali hili kwani ni sawa na kutafuta kura za maoni kwa wananchi ili siku likijitokeza tuwe na majibu sahihi.
  8. KAZIMOTO

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Tanganyika inaweza kuwa na katiba ya mpito na bunge la mpito ambalo litatumia sehemu kubwa ya katiba ya Muungano kwa kuchomoa mambo ya Muungano na kubakiwa na misingi mingine na tunu zake kama ilivyotokea baada ya kupata uhuru. Hapo anaweza kuchaguliwa waziri mkuu wa muda ili kufanya uchaguzi...
  9. KAZIMOTO

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    umeharibu hapo tu RED, mapendekezo ya tume ya warioba sio yao binafsi ni maoni ya wananchi na kama ni yao tunayo fursa ya kukataa wakati wa kura za maoni. Kura ya maoni ikisema sawa yatakuwa ni maoni yetu.
  10. KAZIMOTO

    Hii la mahakama ya kadhi limekaaje?

    sura ya ngapi, ibara ipi ya katiba ya kenya....... Go deep tukuunge mkono au haujasoma katiba ya kenya ni hear say tu.
  11. KAZIMOTO

    Hii la mahakama ya kadhi limekaaje?

    Mahakama ya kadhi imeshaanza kazi nchini lakini waislamu wa mlengo wa PONDA wanapinga mahakama hiyo kuwa chini ya BAKWATA ambayo tayari imeteua kadhi mkuu na makadhi wa mikoa kwa maelezo kwamba BAKWATA ni chombo cha serikali lakini hao hao wanataka mahakama ya kadhi iwe chini ya serikali.
  12. KAZIMOTO

    Hii la mahakama ya kadhi limekaaje?

    Hapo ndipo huwezi kujua PONDA na wafuasi wake wanataka nini na wanakataa nini. PONDA na LIPUMBA wanacheza na akili za wachache wanafikiri watacheza na akili za wengi ati mahakama hiyo iwe ndani ya dola. Muda kitambo utasikia serikali inatuingilia.
  13. KAZIMOTO

    Leticia Nyerere (CHADEMA): Mitandao ya kijamii inatumika kutukana viongozi, wahusika wakamatwe!

    Kwa mbali naona Kuna kaukweli ndani ya hoja hii.............. JF tupunguze matusi na kujenga hoja zaidi ili kuupa mtandao wetu heshima. Sio wote wanaotukana hapa JF lakini wale wapenda matusi wajirekebishe na kujielekeza kwenye hoja za msingi
  14. KAZIMOTO

    Kwa rasimu hii, CCM inakufa

    Manyerere kumbuka katiba hii imeteka hoja nyingi za chadema. kui- neutralize hoja ya mpinzani kisiasa ni ushindi pia. Nchi za wenzetu Ulaya na marekani wanazitumia sana hoja za wapinzani ili wakati wa kampeni za uchaguzi wapinzani wawe na hoja chache dhidi ya chama tawala.
  15. KAZIMOTO

    Kwa rasimu hii, CCM inakufa

    Mabadiliko makubwa yanayofanyika sasa yanaweza pia kuikoa CCM. CCM itakuwa na fursa ya kujipanga upya badala ya kila siku kufanya siasa za kushindana na upepo wa mageuzi.
  16. KAZIMOTO

    Kwa rasimu hii, CCM inakufa

    Mgombea binafsi itaikoa CCM kwani watakaotoka CCM sio lazima wakimbilie upinzani kama sharti la kuwa mwanasiasa. Hili lina faida hata kwa wale watakaopenda kuachana na vyama vya upinzani na kuwa huru badala ya kwenda CCM.
  17. KAZIMOTO

    Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

    Ushindi wa kwanza aliopata PONDA mara baada ya kutoka gerezani kuwa kutamka kwamba waislamu hawana chuki na wakristo bali wana madai yao serikali.
  18. KAZIMOTO

    CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

    washindi wote wawili ( CDM na CUF) hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  19. KAZIMOTO

    CUF yahusishwa na vurugu za Liwale

    Obvious: profesa wa ukanda wa pwani ( prof LIPUMBAVU) wa CUF aliyasema hayo msikiti wa Idara karikoo kuwa gesi na madini ya huko sio ya watanzania wote ni ya wakazi wa maeneo hayo. SUMU HII ndio chimbuko la machafuko. hakuna anayejua ni misikiti mingapi kazunguka kumwaga sumu hii.
  20. KAZIMOTO

    Jengo la Makamu wa Rais na muundo wa msikiti

    Ikulu ilijengwa na mjerumani. sijawahi kuona mahala popote duniani ambapo kuna hati miliki ya ramani za misikiti au makanisa. kwamba ramani hizo ni kwa ajili ya nyumba za ibada tu na kujenga kwa muonekano wake utakuwa umekiuka sheria au unakufulu
Back
Top Bottom