Search results

  1. yaliyomoyamo

    Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

    Very nice indeed,,,
  2. yaliyomoyamo

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Kwanza mnajadiliana vipi huyu kilaza. Avatar yake tu inaonyesha akili zake ziko makalioni.
  3. yaliyomoyamo

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Bora mjinga hajui; siku akijua ataelimika, huyu anajua ila anabisha tu, anayejua lakini hataki kuelewa huyo sio mjinga bali ni mpumbavu, kwamujibu wa kamusi ya kiswahili.
  4. yaliyomoyamo

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Hivi kweli mtu kwenye akili timamu anaweza kweli kushindanisha wachagga na wasukuma kwa hali yoyote ile? sio uchumi wala elimu, wachagga wako juu, actually, aliyebarikiwa kabarikiwa tu. tuache wivu jamani. Let me laughing...!
  5. yaliyomoyamo

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Mimi. Sio mchagga wala sitoki Kilimanjaro kaka, lakini mwanza ,shinyanga na simiyu nimekaa sana tena sana watu wakule ni masikini mno nawajua fika kaka. Hapa tuseme ukweli.msemakweli ni mpenzi was Mungu.be real
  6. yaliyomoyamo

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Umeona eeh. Sasa wakija huku mjini wanajifanya wanakataa kwao. Wanatia huruma sana
  7. yaliyomoyamo

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Nimekaa mwanza , Geita, shinyanga na Simiyu,kule bariadi na Maswa, hakuna mikoa yenye watu masikini kama hii. Hadi huruma jamani.
  8. yaliyomoyamo

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Mmm. Umepiga ikulu mkuu. Sasa hivi wamejazana kila sector. Mpaka kwenye miradi ya mwendokasi mbagala wanaletwa kutoka mwanza na shinyanga. Yaani sisi wakazi waeneo la mradi husika tunakosa kazi hata kama tuna professional husika . anapigiwa simu mwananzengo kutoka geita isulwa butindwe aje...
  9. yaliyomoyamo

    Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

    Hebu mjijibu ili tujue eneo hili ni la nani hasa ?
  10. yaliyomoyamo

    Uchaguzi 2020 Sera ya majimbo itaua utaifa na uzalendo

    Hapa ndio kwenye "SHIDA" pale ambapo raisi wa nchi anaitenga baadhi ya mikoa kwenye Mipango ya Maendeleo, anadiriki kusema sasa kaskazini Maendeleo basi! Tuachie na mikoa mingine! Pale ambapo raisi anasema "siwezi kuwaletea Maendeleo watu ambapo wamechagua upinzani" Wakati watu hao na mikoa...
  11. yaliyomoyamo

    My confession: Hornet is Positive

    Asante kaka, japo me ni wakawaida tu, Au kwavile rangi hio?! Siye warangi wakondoa ndio rangi zetu tulio wengi. Thanks a lot,
  12. yaliyomoyamo

    Nakiri: True Confessions

    Umekosea mkuu, ungemwambia ili nae akajitibie, pengine yeye alikuwa hajui kama anaumwa jamani,
  13. yaliyomoyamo

    My confession: Hornet is Positive

    How!? I'm a woman! Don't be negatively for every thing,
  14. yaliyomoyamo

    My confession: Hornet is Positive

    Af Afu sijui kwanin napendaga the way uko! Love you alot!
Back
Top Bottom