Search results

  1. Bakari Maligwa

    Lowassa akanusha kumiliki kurasa za mitandao ya kijamii

    Duuuh! Ni ajabu ya mbuni kuficha kichwa mchangani ilhali mwili wote uko nje. Hivi? Hawa wanaotumia fake A/C za Edo Lowassa si ndio wale vijana wanaoshinda na kulala mitandaoni wakitengeneza status na ku~update ili jamaa auzike na si ndio maana kawashukuru? Au?
  2. Bakari Maligwa

    Katika katiba mpya napendekeza yafuatayo:-

    Sheria zinaandaliwa na wanasheria (Draft) kisha zinapitiwa na jopo la wataalam wa sheria kwa State Draftsman ns kufuata utarstibu wake na kuwa MUSWADA wa SHERIA ndio wanapelekewa wabunge kwa mjadala na kuipitisha baada ya kupata nafasi ya kupitia kifungu baada ya kifungu. Bunge likiridhika na...
  3. Bakari Maligwa

    Je, unawajua CROWN AGENTS?

    ....Mnawashangaa CROWN AGENTS; mbona hamuwaulizi McKINSEY CONSULTANTS waliyekuwapo IKULU YA MAGOGONI tangu hatujapa uhuru hadi Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani 1985!
  4. Bakari Maligwa

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    ...Wazungu wa unga; Tanzania wameanza zamani sana...! Tangu enzi zile "unga" ulivyokuwa unaingizwa na mtu mmoja aliyekuwa na cheo kikubwa serikalini na aliyekuwa anatumia "passport ya diplomatic"...mambo yaliendelea kukolea na kuchukua sura ya umafia wa madawa ya kulevya na watu wenye tamaa ya...
  5. Bakari Maligwa

    Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!

    BAVICHA wana uwezo wa kuwafukuza uanachama wanachama wanaothibitika kuwa na makosa ya UTOVU WA NIDHAMU (tazama Ibara ya 5.4 Ibara Ndogo ya 5.4.6 ya Katiba ya CHADEMA Toleo la 2006).
  6. Bakari Maligwa

    SHIBUDA: Mimi ni Jenarali

    ...John Shibuda; kama anavyofahamika ni "mjanja" wa kuchezea siasa kwa kuwa ndio "mradi" wake (political enterprising) na ndio kusema, alipopigwa chini na CCM (jimboni) kwake aliamua kuhamia CHADEMA...kwa kuwa aliamini hawezi kushindwa vita vya kisiasa (yeye kama mwanasiasa anajua mbinu za...
  7. Bakari Maligwa

    UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

    ...Nadhani ni muafaka nikianza kwa nukuu ya Mwalimu Nyerere kutoka kwa kijitabu cha TUJISAHIHISHE (1962, ukurasa wa 8): Watu walio hatari ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja ya kujifunza zaidi. Inawezekana Mch. Gwajima hakuwahi kusoma kitabu hiki cha Mwalimu...
  8. Bakari Maligwa

    CUF yajichanganya dhana ya Muungano

    ...Kwa nini wasijitenge? [!] Kama Sudan Kusini (waliyokuwa ndani ya Sudan) waliweza, na Rais Kikwete alihudhuria kujitenga kwao, Zanzibar wana nini? Kama iliwezekana kwa Elitrea kutoka Ethiopia, Zanzibar isijitenge ina nini? Na kama leo Somalia kuna Somalia na Puntiland, Zanzibar isjitenge kwa...
  9. Bakari Maligwa

    Njia nyingine rahisi ya kuwasaidia Seif, Jussa na wengine kuitoa Zanzibar kwenye Muungano

    ...Muungano ulitokana na fikra "sahihi za mwenyekiti wa TANU" na sera hiyo imekuwa ikisimamiwa na CCM tangu 1977 hadi sasa. Mwanakijiji, unapowataka Seif na Jussa (na wengine) wapeleke hoja ya kujitoa kwenye BJMT nadhani umesahau kwamba bunge hilo ni la CCM, wanaotunga sheria na kanuni ni CCM...
  10. Bakari Maligwa

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    ...Kiongozi adili hutumia "uadilifu" kama nyenzo ya kurekebisha mchafukoge! Siasa; kama nyenzo ya matumizi ya hekima na busara, si kazi ya kipato cha kujikimu isipokuwa ni mfumo wa kifalsafa unaoweza kutumika kujenga mawazo huru yenye uoni wa kutengeneza mujtamaa wa kundi la wanasiasa. Wanasiasa...
  11. Bakari Maligwa

    Dr. John Pombe Magufuli & Morgan Tsvangirai Wahudhuria Uzinduzi Kampeni za ODM Kenya

    ...Ndio demokrasi ilivyo! Raila amechagua wa kuhudhuria; tulitakaje? Tutafakari misingi ya "maamuzi ya mtu/watu" kuwa ndio nguzo ya haki na uhuru wa mtu (au watu) kutaka na au kutokutaka. Hata kwenye sherehe zetu za "kawaida" zisizokuwa za kisiasa...tunawaalika tunaowataka na tusiowataka...
  12. Bakari Maligwa

    Msumbiji sasa wana Gas mara 2 ya Saudia

    ...Tatizo lipo palepale...hata kama nchi zetu (Tz na Mozambique) zikiwa na gesi (na maliasili) mara 100 zaidi ya Iran na Saudia (zote kwa pamoja) tatizo letu ni KUSHINDWA KUTAWALA (KUONGOZA NA KU-MENEJI) RASILMALI ZETU. Akili zetu zimekaa kushoto na macho yetu ni MAKENGEZA...tunaangalia lakini...
  13. Bakari Maligwa

    Ni kweli katika Tofauti hizi kati ya mke wa TZ na Uganda(katuni)

    ...It is ONLY a foolish can do it; wise women cannot dare it. Unless substantive research findings are used, this assertation cannot be justified by mere drawings!
  14. Bakari Maligwa

    Utajiri wa Kamanda Barlow Unatisha! Soma hapa...

    ...Ebo! Mmengoja afe...halafu mumsimange siyo?! Mbona wapo akina IGP Omar Idi Mahita wana nyumba nchi nzima na hamjahoji? Mnadhani POLISI wana mchezo; wengi wanatumia mitandao ya MAJAMBAZI, WAUZA DAWA ZA KULEVYA, na BIASHARA HARAMU katika kupata mali zao. Kwanza anzeni na UFISADI WA ELIMU...
  15. Bakari Maligwa

    Maofisa wa JWTZ kuhusishwa na fedha za Uswisi ni pigo kubwa sana kwa nchi

    ...Dakta Mwakyembe alishawahi kusema kwamba, "TAKUKURU = TAASISI YA KUPAMBA NA KUREMBA RUSHWA." Tusitegemee kama Dakta Hosea anaweza kukamata mafisadi [papa] na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria kama ameshindwa kwa Andrew Chenge, Idris Rashid, Ezekiel Maige, Rostam Aziz,...na Edo Lowassa...
  16. Bakari Maligwa

    Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

    ...Hii ndio [tunafuatilia sana siasa za soka la Uingereza]..tunakuwa watumwa wa siasa za soka la Uingereza kama tulivyotawaliwa...mwishowe tunadai TANZANIA = ZIMBABWE + UNGUJA + PEMBA...Ebo, kwa nini tusijadili jinsi TOTO AFRICAN [MWANZA] INAVYOKABILIWA NA UKATA [FEDHA] HADI INAUZA MECHI? Kwa...
  17. Bakari Maligwa

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    ...Tanzania = Tanganyika + Zimbabwe! Inawezekana isiwezekane kuleta maana ya "historia ya muungano," lakini kwa maana ya siasa yupo sahihi. Kwani, ZANU PF na CCM si zinafafa kwa kuminya demokrasia? Pamoja na ukilaza wa Mulugo, alikuwa hajui alichokuwa akielezea na huwenda aliandaliwa hizo...
  18. Bakari Maligwa

    Kwanini vyama vyote vya siasa Tanzania [Tanganyika] vilianzia Dar es Salaam?

    Kuna watafiti; wanaotafiti na kuchimbua historia ya watu, mazingira [maeneo] na mtukio yake. Wapo wanaochimba na kupembua habari za watu na matukio...hata hivyo, nimechunguza kwa haraka nje-ndani na ndani-nje na nina masuala haya juu ya uanzishwaji wa vyama vya siasa Tanzania [Tangayika]: TAA...
  19. Bakari Maligwa

    Siasa ya Tanzania: Ujamaa na Kujitegema?

    Mwanzo; baada ya uhuru na kama ilivyosadifu TANU (chama cha ukombozi wa Mwafrika), Tanzania ilifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Kwenye makrabasha ya siasa ya TANU na baadaye CCM hata kabla ya kutungwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 iliandikwa kwamba: "UJAMAA NA...
Back
Top Bottom