Search results

  1. N

    Nyalandu: Nimewasili Mbeya tayari kushiriki Sala Maalumu ya Kumwombea Mhe. Tundu Lissu

    Mimi bado sina imani sana na huyu. Isije ikawa ni wamemsajili ktk kundi la "watu wasiojulikana"
  2. N

    Between The Lines: Mbowe Apeleka Ujumbe Mzito kwa Wahusika wa Shambulio la Lissu

    Hata huyo anayeyataka kumpeleka nje kwa mpango ule wa watoto wa Vincent sina imani naye. Chadema msimwamini mtu ye yote kwa sasa mtajuta. Tuchangisheni hivyo hivyo tutamudu na Mungu atatusaidia. Msigwa kaondoka Nairobi ninaomba na Mungu awaongoze muwe makini na wanaomuuuguza Mhe Lissu
  3. N

    Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho

    Umenena! Ni kweli kabisa Makonda amtaje Agnes Masogange ili naye amtaje aliyempa mzigo wa kilo 150 kupeleka Sauzi. Wakati huyo PM alikuwa damu damu na rz
  4. N

    RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

    Yote ni mapito mwishowe ni faraja Lema, usiogope Mungu ya pamoja nawe! Mandela alifanyiwa zaidi ya haya kwa miaka 27 namwishowe alikuwa shujaa wa dunia nzima. Pambana nao!!!!
  5. N

    Arusha: Lema 'aendelea kuongoza' akiwa mahabusu

    Uelewa wako ni mdogo saaaaana - hujui hata tofauti kati ya mfungwa na mahabusu! Sasa mbumbumbu ni wewe si Chadema! Upo hapo!
  6. N

    TANZIA: Anna Senkoro, mwanamke wa kwanza kugombea Urais nchini Tanzania(2005), afariki dunia

    Somo la historia nalo kumbe ni gumu! Wanne wameshatangulia mbele ya Haki - Mvungi, Mtikila, Makaidi na Mama Senkoro
  7. N

    Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    Ben wetu ninaamini bado uko hai na soon utarudi tu
  8. N

    Tanga: Chuo cha Sebastian Kolowa Memorial University(SEKOMU), kimevamiwa na Majambazi

    Hata UDSM ni lazima kiandikwe na kiambishi Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam. Mawazo yako yalikuwa sasa zamani kilipokuwa kweli chuo kikuu pekee lakini kwa sasa kimebaki stori tu - yaani umri mkubwa kikilinganishwa na vingine. Hata wanaohitimu hapo ukiwafuatilia taaluma zao ni "half-cooked" graduates
  9. N

    Nape: Wanaotaka serikali Mbili ndio wana akili Timamu

    Aitoe wapi akili timamu wakati yeye mwenyewe hajui asili yake
  10. N

    CCM yatoa tamko juu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    Wa kuwajibika ni serikali ya CCM inayoweweseka na mafanikio na nguvu za kisiasa walizo nazo CHADEMA. Aliyetutambulisha Nape kama mtoto wa nje ya ndoa, tunashukuru. Nimefuatilia habari hii na kugundua kuwa baba yale mzazi (biological father) ni waziri mmoja asiye na wizara maalum. Tatizo la...
  11. N

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    Hivi baada ya kuona mwenzake amechukuliwa na watu ambao hata yeye huyo daktari mwenzake hakuwajua, sasa huyo rafiki alifanya nini? Alikaa kimya hadi asikie akitafutwa na polisi baada ya Ulimboka kuokotwa na msamaria mwema? Haiingii akilini nimwone rafiki yangu amechukuliwa kiaina na watu ambao...
  12. N

    Madaktari watinga ikulu

    Quote "I guess kesho habari kuu kwenye media ni madaktari wasitisha mgomo na kurudi kazini,. anayebisha tu bet!!" Uko sahihi kamanda wangu. Ni kweli MAT wametangaza muda mfupi ulipita kuwa mgomo umesitishwa rasmi baada ya kukutana na Rais na kujadili naye mambo kadhaa kwa kina na mwisho wa...
  13. N

    Napendekeza, mwizi akiwa amevaa hijab asikamatwe!

    Mwizi na hijab au mavazi mwngine yo yote hawana uhusiano. DC alikuwa katika kikao cha kisiasi tena kwenye eneo la chama pinzani - akifanya nini? Hili ndilo muhimu. Kama hijab ilivuliwa au la, hilo si kipaumbele. Kipaumbele ni demokrasia katika chaguzi zetu.
  14. N

    Naliona anguko la Kibanda

    Kibanda siyo kama alimaliza UDSM 1994, bali ni Juni 1995 na akagraduate November 1995. Nilisoma naye kwa miaka yote minne aliyokuwa akisomea shahada yake ya kwanza. Ni mwalimu kwa taaluma. Sasa huku kwenye uandishi wa habari sijui aliingiaingiaje kwa sababu alisoma ili awe mwalimu wa shule za...
  15. N

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Orodha inachelewa kweli - subira inanishinda. NI vema tukajua mapema ili tuanze kuassess maoni na tambo za CCM baada ya kuipata list ya mafisadi wao. Kama na wao wanawajua wa CHADEMA wangeanika ili tulinganishe
  16. N

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Wana JF orodha bado?
  17. N

    Naomba kazi CCM

    Kuhusu kushinda kwa CCM, mambo yote yaliwekwa hadharini na ripoti ya Timu ya Nchi za Ulaya. Inapatikana kwenye mtandao. Waangalizi hawa wanasema wazi kuwa kura za urais ziligubikwa na sintofahamu pale Tume ilipohesabu peke yake bila kuruhusu wakala au waangalizi wo wote kushuhudia idadi hiyo...
  18. N

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Siondoki mtandaoni leo hadi niyasome hapa. Ninaomba mwanajamii atakayeipata orodha aiweke fasta jamani!
  19. N

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Nape wamempa chaka hili wakifikiri kwa vile ni kijana basi kasi yake itakwenda sambamba na ya vijana wa CHADEMA - wanajidanganya! Vijana wa CHADEMA wanakwenda kufuatana na itikadi, mfumo na utendaji kazi wa chama chao. Nape, umetoswa na hasa kwa vile wewe na Lowassa hamuwivi. Si unakumbukaaaa...
Back
Top Bottom