We umekwenda mbali sana mistari 15?? Anaanzaje kwanza hiyo miwili changanya na title weka na shukran na sahihi ni kama mitano tu haiweze sembuse hiyo 15?? Ni adhabu ya mwaka hiyo............ Hao wa mahesabu eti huwa wanavisingizio eti mie siasa/history siweze mie hata ukinipa document nasoma...
Umeona eehhh kumbe na wewe yamekukuta eeehhh? Yaani mie sina hamu kabisa nimegeuka kuwa mwalimu siku hizi... ila kuna moja ndio iliniacha hoi kaja kufanya field/intern kafanya kamaliza akaaga namuuliza vip report umeandika? ananiambia yanini sasa mie nishamaliza miezi yangu mitatu nasepa...
Kwa vyeti tuuu aahhh wapo vizuri waweke kazini sasa ni majanga matupu hata kuandika barua/memo ni shida mpaka unashangaa huyu mtu katokea wapi jamani unachoka kabisa
Hii hali nilishaihisi sana na ninafikiri kwa maamuzi ya sirikali hii ya tano mmmhhh hii kitu ndogo sana kamata wote vunja mkataba wa permanent and pensionable wape mitatu mitatu au zuga mitano mitano... mhhh
Ulayaaaa labda na mimi nafanana na Prezidaa maana more than 27 countries za Africa nimekwenda but Ulaya hata moja sijakanyaga na sijui kwanini?? Paris, Washington, Brussels na Newyork vilinipitia kando kama sioni vile na leave nikachukua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.