Search results

  1. M

    Shule ya Secondary Idodi Iringa yawaka moto

    Kuna habari zinazagaa hapa mjini iringa kuwa shule ya secondary idodi inawaka moto mda huu, kwa wenye taarifa kamili mtujuze kwani wazazi wanahaha.
  2. M

    Pagara linauzwa Iringa Mjini

    Millioni 15
  3. M

    Natafuta kazi, nina Bachelor Accounting

    Kwa account wasaidie mama ntilie hawajui kufunga mahesabu
  4. M

    Pagara linauzwa Iringa Mjini

    Pagara liko Iringa mjini maeneo ya mwangata lina hati name limelipiwa aridhi. Kwa mawasiliano 0766610902.
  5. M

    Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Jamani MTU anayechunguzwa si inabidi aachie office kwanza ndo uchunguzi ufuate, hili ni changa la macho.
  6. M

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    VP dishi LA zuku naweza kupata hzo Chanel za bure?
  7. M

    La Mgambo Kwa Vijana Wote wa BAVICHA na Mashabiki wao

    Saizi vijana wetu sana lugha moja, magamva watakoma lazima wawe wapinzani, UKAWA ndo habari ya mjini,
  8. M

    Escrow yazidi kuvimba: CHADEMA wampatia kibarua kizito Rais Kikwete kuelekea Hotuba yake kesho

    Awalinde tu UKAWA waingie ikulu wezi waswekwe lupango.
  9. M

    Iringa: Mtoto huyu akutwa ametupwa porini eneo la Mafifi

    Masikini mtoto mzuri, tunamlaani, we ni muuaji. Hasa wanafunzi wa vyuo vya mjini iringa mnawazalisha watoto wa watu alafu mnawatelekeza ndo matokeo yake hyo.
  10. M

    Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

    Mzeee wetu, tusubiri tuone 2015 c mbali. Rais tunamjua cc watanganyika,
  11. M

    Wafanyakazi wa ndani wapo na tunakuletea mpaka nyumbani kwako

    Human trafficking, unamuuza binadam mwenzio?
  12. M

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Asante mkuuu
  13. M

    Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

    Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea. So ukimuwazia hvyo watamgegeda kweli
  14. M

    Ufafanunuzi mtikisiko mkubwa wa 4 kulikumba taifa

    Hzi ni nyakati za mwisho. Manabii wa uongo wataibuka.
  15. M

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Kuwalea mafisadi ni fursa kwetu ukawa kuingia ikulu na watazirudisha tu fedha zetu hata kama walipokea in good faith.
  16. M

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Arudishe fedha zetu in good faith
Back
Top Bottom