Search results

  1. S

    Maulizo, Je anaweza kusoma HGE kama school candidate

    Unasoma, kigezo ni kuwa na C tatu.Hata kama ungepata F ya History lakini kama umetimiza C tatu unasoma. Kesho nenda kwenye shule ya Private iliyokaribu nawe then lete mrejesho naamini utasema kama nilichokwambia.
  2. S

    Tetesi: Utata mkubwa ripoti ya CAG , kuna uhariri umefanyika

    Mkuu hiyo profile picture unaonaje ukiibadilisha
  3. S

    Natafuta mkazi wa Tabata anayeweza kufundisha Arts nishirikiane naye kuendesha Tuition Centre

    Habari wakuu, natafuta mtu anayeweza kufundisha masomo ya Arts ili tuweze kufungua Tuition Centre. Mtu huyo awe anakaa Tabata, pia awe jobless. Nimeshafanikisha mpango huo wa kituo kwa 70% hivyo basi yeye atamalizia zilizobaki. Aliyetayari ani PM.
  4. S

    Matumaini mapya kwa wanafunzi wa sekondari.

    Yule mwalimu bora wa History na Geography aliyezunguka mikoa mingi ikiwemo mikoa ya kanda ya ziwa sasa amerejea katika jiji la Dar-es-salaam ili kuwasaidia wanafunzi wa o-level na advance. Kwa sasa,amefungua kituo kikubwa sana katika eneo la Tabata,Segerea mwisho. Pia,kituo kina walimu wa masomo...
  5. S

    TFF WAJITAFAKARI JUU YA SOKA LA TANZANIA

    Ni kweli kwamba mchezaji akizifunga timu kubwa wanamsajili ila hawamtumii. Mfano Marcel Kaheza aliwika sana na Maji maji ila kwa sasa anasugua bench ila kiukweli dogo anajua sana kama huamini wamuache aende Mtibwa au Singida United.
  6. S

    Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    Nathan Jr, Asilimia kubwa ya walimu wa UDOM wametoka UDSM,kwaiyo hakuna tofauti ya elimu kati ya vyuo hivi viwili. Pia GPA kubwa ambazo zimevunja record zimetoka UDSM na sio chuo kingine je na hao walipewa au la. Mada uliyoanzisha haina mashiko mfano mtu aje humu Jf aseme Tabora boys inatoa...
  7. S

    Udom college of informatics na changamoto ya vyoo vichafu

    Wewe unatakiwa uwaze utachomoka vipi kwenye sup Ya LG wala usiwaze vyoo,
  8. S

    colonial economy

    1.Settler economy produce cash crops while peasant economy produce cash crops and food crops 2.Settler economy need high capital while peasant economy need low capital 3.Settler economy occurred in Kenya, Algeria, Southern Rhodesia etc while peasant economy occurred in Ghana, Nigeria, Uganda and...
  9. S

    Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Samahani, nilikuwa kimya mana kuna mkoa niliitwa kwa wiki moja hivyo basi sikuwa mtandaoni, kwaiyo wale ambao sikuwajibu watanisamehe.
  10. S

    Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Unaweza ukawa unaelekea kwenye ukweli kiasi fulani mana kuna connection kubwa kati ya ajira na kuwasaidia watu, ndio mana daktari yupo pale kusaidia watu ila pia udaktari ni ajira, mwanajeshi analinda mipaka ya nchi ila pia ni ajira. Mfano, mwaka 1625 huko England alifariki mfalme aliyejulikana...
  11. S

    Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Wanaharakati kama Nelson Mandela na Robert Mangaliso Sobukwe kwa mara ya kwanza walionekana wanatafuta majina ila wao waliweka wazi kuwa dhumuni lao ni kupambana na serikali ya makabulu kutokana na sera ya kibaguzi iliyoanzishwa mnamo mwaka 1948 na ilijulikana kama apartheid policy. Wanaharakati...
  12. S

    Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Nashukuru kwa wote mnaoni pm, pia nawakaribisha wote, mtaniwia radhi kwa wale ninaochelewa kuwajibu mana wanaonitafuta ni wengi na ninapenda nimjibu kila mtu kwa kirefu.
  13. S

    Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Why uneven scramble for the world in the 19th century? Kwanza kabisa kabla mwanafunzi hajafanya swali inampasa kutambua swali hilo limetoka topic gani,topic hiyo ina vipengele gani, swali ni la kipengele gani,kipengele hiko kinamata asome nini, mwisho kujua swali kwa ujumla linataka nini. Swali...
  14. S

    Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Dhumuni kubwa la uzi huu ni kuuelezea umma kuwa Mimi ni miongoni mwa walimu bora mwenye mchango mkubwa kwa wanafunzi wasomao somo la history. Nimewasaidia wengi na matokeo yao yalikuwa makubwa sana mana nina fundisha kwa kutumia kanuni niliyoibuni iitwayo TQE( sitoweka wazi tafsiri yake kwa...
  15. S

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Kuna siku nilikuwa nataka kuvuka mtaro wa maji machafu upo nyuma ya banda la hidden, HAMADD nilijikuta nimeyakanyaga maji na mguu wote umezama yani ilikuwa aibu ya mwaka mana kila mtu alinishangaa, bahati nzuri kuna Mama wa jirani alinipa maji nikanawa, SITOSAHAU ila siku zilizofwata nilikuwa...
  16. S

    University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    Sasa kwanini kwenye mada ya Udsm mnataja Udom ilhali Tz kuna vyuo ambavyo ata ukiviona huwezi kuamini kama wanatoa degree hadi serikali imevifungia ila hamjawahi kuvitaja. Kubadili mada ni kiashiria cha kuishiwa hoja.
  17. S

    University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    Hivi kwanini wanafunzi wa UDSM chuo chao kikikosolewa lazima wakimbilie kukisema udom? Japo tz kuna zaidi ya vyuo 50.Acheni ukilaza mnatoka nje ya mada mana mada inaongelea UDSM Sio UDOM, UDSM ni janga libia.
Back
Top Bottom