we wana Mapinduzi walisha toa Warning kwa hao ndugi zako kabla ya kujiamulia hiyo issue na walipatiwa muda wa kutosha ili waondoke hapo kiusalama kabisa na walikataa ndio watetezi wa Taifa la Zanzibar wakamua kuwashughulikia!!!
Wakulaumiwa ni SMZ kwa kweli walishajua kuwa hilo Sooo litatokea...
wacheni stori zenu za michosho hizo unaleta topics za kizezeta hapa topics zisizokuwa na maana yeyote..ULIWAHI KUSIKIA WAPI UNGUJA NA PEMBA WAMEUNGANA? WACHENI KULETA FITNA ZENU ZA KUTAKA KUWAGOMBANISHA WAZANZIBAR NYIE!!!! KWA SABABU WANATAKA KUVUNJA MUUNGANO NA TANGANYIKA...ZANZIBARIS PEOPLE...
wacheni kuleta story zenu za michosho hizo..wakati ukweli wenyewe mnaujua 100% kuwa wazanzibar hawataki Muungano, mnaleta longolongo sio wakati wa Zenji wenyewe hiyo ndio issue yao kubwa wakati huu wa Uprisings lol
Zanzibar Prime Minister Mohamed Shamte
at United Nation Conference in New York 1963
ZANZIBAR NATIONAL FLAG AFTER INDEPENDENT 1963
Hayo ndio Wazanzibar wanayoyataka,kurudisha hadhi ya nchi yao na dola yao huru...
Dont force them to support the fake Union, is their right to decide what to...
hakuna tanzania nje ya muungano!!!wazanzibari wakifanikiwa kuvunja muungano jina la tanzania litakufa na mutabakia na jina lenu halisi la tanganyika...zanzibar itabakia kuwa jamhuri ya watu wa zanzibar DAIMA NA MILELE
Samiha yeye ndio muhuni na mnafiki analinda kazi yake na mabilioni ya pesa alizopatiwa na CCM kwa mpango wa kufanya kampeni za kuendeleza muungano udumu wakati anajua ukweli na agenda ya wazanzibari kuwa 90% hawautaki tena muungano huu.
serikali ya CCM bara vile vile wanajua kuwa imefikia...
Hayatuhusu hayo mkuu tuwaachie wenyewe wa Zanzibari na Nchi yao wajiamulie wenyewe Naona wanataka Uprising na wao hao kama vile Tunisia, Egypt na Libya we wacha tu...unataka kuniambia kama Tanganyika yetu ikirudi tena kwani yale makabila yetu ya Wanyamwezi, wanyachusa, Wasukuma,Wadigo,Wahaya...
Picha:Kadhia ya kiwanja cha Mbweni Karume ajibu mapigo
Rais Mstaafu Aman Abeid Karume wa Zanzibar
Karume Amtetea Binti Yake Juu ya Kiwanja
RAIS Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amtetea Mwanawe Fatma Karume kuwa ndio mmiliki halali wa kiwanja kilichopo Mbweni eneo la Mfuuni ambacho...
wacha kuongea longolongo wewe na ndoto zako za kingwendu hizo..........Zanzibar itabakia kuwa nchi huru na dola yake kamili kama hapo awali ilivyokuwa ikiitwa JAMHURU YA WATU WA ZANZIBAR na walipata uhuru wao kihalali na kuwa na kiti chao ndani ya United Nation!!!!!
Hakuwa Adui yeyote yule...
hayati Abeid karume alitaifisha ardhi zote za mkoloni baada ya mapinduzi inawezekana kuwa hiyo Ardhi wanaosema kuwa ni yao Kanisa la Anglikana walipatiwa na Wakoloni sio!!
Kibunango kawambie babu zako wasiweke nia na matumaini ya kupewa hiyo Ardhi kitu hicho wasahau kabisa!!!!
any way Zanzibar...
Zanzibar mpya ,serikali mpya na sheria mpya haha wale viongozi na vigogo wote wa serikali ya zamani waliokuwa wanaiba mali ya uma na kuchukua ardhi za Wa zanzibari wanyonge wajitayarishe kurudisha mali za uma au watafikishwa mbele ya vyombo vya sheria:A S-alert1...
Wacha kutuzingua na stori zako za zezeta hizo **** mkubwa we....kwani wa Tanzania hawawezi kufanya maandamano bila ya kufa mtu?
England ni juzi tu kabla ya christmass wanafunzi wa chuo zaidi ya 3000 student waliandamana na kufanya Riot kwa fujo nyingi tu hadi walivunja mpaka majumba ya serikali...
Hiyo ndio Democracy mkuu kila Taifa liwe na Dola yake huru....ikiwa ni vigumu basi ni bora mufanye muungano kama wa Scotland na England na kuwa United Kingdom lakini kila Nchi inafanya mambo yake kivyake bila kuzulumiana!!!!!!
Siasa za kibabe bado zinaendelea kwa Wa Zanzibar kujikomboa kutoka katika utawala wa Kitanganyika na Muungano fake wa bandia wa Zanzibar wasingeweza kupata dhiki na maisha duni kama wavamizi wa kigeni kwenda katika nchi yao kufanya Njama za kijeshi kulipindua Taifa lao la Jamhuri ya watu wa...
mitego na ujanja wa Njerere na Wa Tanganyika wa kulivunja Taifa la Jamhuri ya Watu wa Zanzibar iliwashinda hadi Mr Julius mZee wa aZimio La Arusha wa siasa za Ujamaa na kujitegemea ilifikia wakati wa kifo chake na styl hakufanikiwa kuli Vunjaaa Taifa La wa Zenji...Wa Zanzibari Taifa lao...
Nakupa hongera mkuu kwa kuijulisha jamii ya Kitanganyika kama Tanganyika ilipata uhuru wake 9/12/1961 na Jamhuri ya watu wa Zanzibar ilipata uhuru wake 10/12/1963.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.