Search results

  1. M

    Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tuyaenzi kwa 4R za Rais Samia?, JMT Tuitendee Haki Zanzibar?, Tuwatendee Haki Wazanzibari? Mshindi Halali Apewe?

    Paskali nilikuuliza huko nyuma (labda kama kumbukumbu yangu haiko vizuri) maana naona huwa hutumii Dr. (Mara nying) kwa mheshimwa Rais wetu. Kwa ufahamu wangu kama mimi naitwa Juma Ali nikipita U Dr kwa kusoma naitwa Dr Juma Ali, ila nikipata wa heshima naitwa Juma Ali (Dr) inakuwa mwisho kwenye...
  2. M

    Dr.Dimwa ataka Katiba ya Zanzibar ibadilishwe Ili Dr Mwinyi atawale vipindi viwili vya miaka Saba badala ya mitano

    Duh.... Na huyu bwana Dimwa naye ni Dr. kweli safari bado ndeeeefu sana
  3. M

    Je, Siasa ni Ajira? Ni Kazi ya Mshahara au ni Kazi ya Kujitolea? Kwa Umasikini Wetu Huu Uliotopea, Ni Haki Kulipa Ruzuku kwa Vyama vya Siasa?

    Naona "point" yako... na tungeenda mbele zaidi hata mpaka kwa wabunge... Kwani ubunge unasomewa wapi? Kabla wakati, na baada ya ubunge si wakuwa na kazi/biashara zao> Kwanini mbunge asiwe tu anajitolea? Maana ni kazi ya kisiasa pia!!!
  4. M

    Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

    Nimesoma mahali mfano unaitwa Juma Shaban, kama ulipata kwa kusomea utaitwa Dr. Juma Shaban, lakini kama wa heshima utaitwa Juma Shaban (Dr) ili kuwa tofautisha..... hivyo haitakiwi kuanza na Dr kama hujasomea.. I stand to be corrected.
  5. M

    Serikali kuwabana zaidi waagizaji Magari yaliyotumika ili kulinda uzalishaji wa ndani

    Kwani nini usiweke kichwa cha habari kuwa "Watanzania kurudi kwenye enzi ya siasa ya ujamaa (Wa Mwalimu) ambapo gari ilikuwa anasa" ??
  6. M

    Manyara: Marekani yachagia mchango wa Dola laki moja kwa maafa ya Hanang

    Duh!!!! Umeandika makala ndeeeefu kuelezea mchango wa dola laki kutoka USA. Kweli uchawa kazi
  7. M

    Wana CHADEMA wataka kufanyike ukaguzi maalum wa fedha na mali zote za chama

    Duh!!! We jamaa kama hupewi hata buku saba watakuwa wanakuonea sana
  8. M

    Natafuta mume

    Hujui JF ni watu wasiojulikana zaidi? Utaweza watu wa fake ID?
  9. M

    Rungwe wamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Milioni 970 za ujenzi wa shule

    Duh!!! Ametoa mfukoni mwake???!!!!:D:p
  10. M

    Dar es salaam kinara wa kupapasana mabampa

    Kama umeachiwa rangi tu haihitaji kemikali ya ajabu sana.... chukua kitamaa safi na jivu laini(hakikisha halina mchanga) an maji kidogo sugua... uana baki na rangi ya gari yako.
  11. M

    Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

    Duh!!!! Hatari sana hiii... yaani sababu tu alikutwa na pikipiki ndo ushahidi tosha kuwa aliuwa. Nilidhani adhabu ya kifo inatakiwa ushahidi uwe "beyond resonable doubt"? Kama ndo hivi basi kuna shida kubwa sana katika mfumo wetu wa haki. Nadhani hata aina ya upelelezi unaofanywa na polisi wetu...
  12. M

    Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Ni vizuri kuwa mkweli <blockquote class="twitter-tweet"><p lang="in" dir="ltr">Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika leo Ijumaa amesema, barua kuhusu Baraza Kuu kutupilia mbali rufaa za waliokuwa wanachama wao, Halima Mdee na wenzake 18 imeshafika kwa Spika, &quot;ni vyema akaheshimu na kutekeleza...
  13. M

    Kuhusu kumiliki ardhi Zanzibar, wengi hatukumwelewa Rais Hussein Mwinyi

    Ungeweka habari yako vizuri iwe rahisi kusomeka, mfano "paragraphs" e.t.c
  14. M

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

    Mi mwenye mpaka sasa naona ni ushahidi wa kukamatana kusafirishana, huo wa ugaidi sijui atakuwa shahidi wa ngapi? Maana "wanaboa" sana
  15. M

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

    Sio kwamba tu hajui kama Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA, bali ye kasema hamjui kabisa Mbowe!!!!! This is a big joke
  16. M

    Rais Samia: Tozo zitaendelea kuwepo

    Hivi ni kweli kabisa kwamba serikali imeshindwa kabisa kutengeneza vyanzo vya mapato, ila kwa kutumia tozo?! Maana nimemwona Chemba anasema wana mpango wa kuanzisha tozo ya huduma za kimtandao!! Na hizi tozo anaziongelea kama vile wananchi wamezikubali, ila anajua fika huu ni wizi/ujambazi...
  17. M

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Ila rekebisha kidogo hapo "tuhame twende Rwanda" ni "tuhame twende Burundi"
Back
Top Bottom