Search results

  1. Jimbi

    Nimetumia AZUMA lakini sioni mabadiliko

    Wakati unakula kimasihara ulituomba ushauri?
  2. Jimbi

    Viongozi wa kike nao huandaliwa dogodogo pale wanaposafiri nchi nyingine?

    Fuatilia UTABAINI, haya mambo yako hadi sasa hapa Tanzania.
  3. Jimbi

    Kaswende na Gono noma

    Hatari sana
  4. Jimbi

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Unapata ujasiri gani kutaka kudhulumu MJANE pesa zake? Huyo mke halali wa babayenu, ni mama yenu. Mpuuzi sana we kijana wa Mrema.
  5. Jimbi

    Paul Makonda nimekumisi

    Tafuta Upinde na Mshale upambane na hao panya road wewe, acha kuishi kizembe zembe kuna siku mtaliwa jicho mbele ya familia zenu.
  6. Jimbi

    Paul Makonda nimekumisi

    Nakazia
  7. Jimbi

    Paul Makonda nimekumisi

    Unashindwa hata kuwa na UPINDE NA MSHALE hapo ulikopanga ili ujilinde binafsi? Badala yake unalilia kumiss Makonda, eeh? Kijana wa hovyo kabisa wewe.
  8. Jimbi

    Waziri Abdallah Ulega: Madai ya Samaki kuhifadhiwa kwa maji ya maiti ni hisia tu

    Tatizo watanzania hampendi kuambiwa ukweli, wewe endelea kula tu hao sangara.
  9. Jimbi

    Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

    Safi sana, twende mwendo huu huu hadi Katiba Mpya ipatikane.
  10. Jimbi

    Mke wangu kapata kazi Mkoani!

    Mwanamke aliyeolewa anapaswa kuishi pamoja na mumewe, yeye na mumewe hawapo huru kujifanyia lolote. Hao kula kulala wako huru kufanya lolote, hawawajibiki popote.
  11. Jimbi

    Mke wangu kapata kazi Mkoani!

    Hakuna ndoa ya mke na mume kuishi mbali mbali. Vitabu vya dini vimeweka wazi kabisa, mwanaume atakula kwa jasho wakati mwanamke atazaa kwa uchungu. Mke ni pambo la nyumba, ukitaka umtume huko mkoani ili akakutafutie pesa basi jiandae kutombewa tu. Iko hivyo.
  12. Jimbi

    Mke wangu kapata kazi Mkoani!

    Wewe ndio mke wa huyo jamaa, sivyo?
  13. Jimbi

    Mke wangu kapata kazi Mkoani!

    Kabisa Mkuu, na ndio sababu ya mkewe kuhangaika kuitafuta hiyo kazi kwa muda mrefu. Acha akatombewe huko ili akili imkae vizuri. Naunga mkono hoja.
  14. Jimbi

    Mke wangu kapata kazi Mkoani!

    Ndoa yenu ndio imefika mwisho hivyo, utanikumbuka mkuu.
  15. Jimbi

    Dar es Salaam: Askari 300 waongezwa kudhibiti panya road

    Panya road wengi wao ni WATOTO WA MAPOLISI, wanaishi nao huko huko kwenye makambi yao. Serikali hii ya CCM ni ya ajabu sana.
  16. Jimbi

    Soko la HIMARS lazidi kupaa

    Hilo DUDE wakati linavurumisha makombora yake, "DAVOO" anakuwa huko mbele kwenye "usukani" sivyo?
  17. Jimbi

    Julius Nyerere Baba yake aliitwa Chifu Burito, Baba wa Rais wa sasa ni nani?

    CCM kila kitu ni UTAPELI tu, ni kama wale wanamazingaombwe wa miaka ya 70 hadi 80 mwishoni.
  18. Jimbi

    Julius Nyerere Baba yake aliitwa Chifu Burito, Baba wa Rais wa sasa ni nani?

    Ni mtoto wa Mzee Mwinyi kupitia MPANGO WA KANDO. Hawa watu wa hovyo CCM hawawezi kuliweka wazi hili, ni jambo la fedheha kwao.
  19. Jimbi

    Julius Nyerere Baba yake aliitwa Chifu Burito, Baba wa Rais wa sasa ni nani?

    Majibu ya KIUJANJA UJANJA haya, yamesheheni UTAPELI MTUPU. Huyo mwalimu hana jina? CCM hovyo kabisa.
Back
Top Bottom