Search results

  1. Kibunango

    Formula 1® Grand Prix special thread

    Naona ndio yupo njiani kwenda kustaafu kwa aibu...
  2. Kibunango

    Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua

    Huyu ni Binti...
  3. Kibunango

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Morocco keshaiingiza Congo 16 bora...
  4. Kibunango

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    By the way capacity ya uwanja huu ni watu 20,000 Si ajabu Leo wakawa zaidi ya 15,000...
  5. Kibunango

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Wamechanganyika na wa mechi ya kwanza; - RSA vs TUN
  6. Kibunango

    Picha: 50 cent apungua uzito, amekonda sana

    Zaidi ya mwaka huo!
  7. Kibunango

    Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Awali ya yote umeshawahi kupanda boti hiyo? Inaitwa Zanz fast ferry #3. Kama bado, majibu yako bado yatabaki kuwa ni takataka! Unapokosoa kitu uwe unakijua. Ila wewe bila shaka yoyote hujui boats ngalawa, mashua wala jahazi... Bora utulie tu, ushauri wako katika hili umefail mbaya.... Komaa...
  8. Kibunango

    Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Sio mara ya kwanza kwa tukio kama hili...
  9. Kibunango

    Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Utumbo mtupu! Hiyo boti ni mpya na imekidhi masuala yote ya usalama wa abiria, na ndio maana ikapewa leseni ya kusafirisha abiria.
  10. Kibunango

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Wamejitahidi though... Na back pass zao! Possession tulikuwa juu...
  11. Kibunango

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    DSTV wanamsifia sana.. . Sijui ingekuaje kama angekuwa anawasikia
  12. Kibunango

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Dah sina option hiyo.... Navumilia tu...
  13. Kibunango

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Watangazaji wa DSTV, wanaikandia sana Taifa Stars...
  14. Kibunango

    Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

    Zantel imeshaanza kufanya kazi kama saa tatu zilizopita.
  15. Kibunango

    DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    DStv Ni nyumbani kwa F1 na MotoGP.... January hii tupo na Dakar rally
  16. Kibunango

    Wapenzi wa tamthilia ya “In Love With Ramon” mpo?

    Wakati mwingine ITV inakera sana kwa kurudia rudia... Anyway mambo ni moto wiki hii... Sophia mikononi mwa Polisi kwa kumteka mtoto wa Ramon... Fransisco ni kama ameshafaliki, baada ya kujaribu kumwiibia Sophia
Back
Top Bottom