Search results

  1. D

    Gari ipi bora kati ya Honda CRV na Toyota Verossa

    Kipi bora? Mvua jua? Je bei ziko sawasawa
  2. D

    Mwanzo wa meditation

    Nimesikia kuwa lile group la whatsapp a.k.a elimu hewa limevunjwa na mwalimu wao kisa wanafunzi hawataki kutoa ada a.k.a skuli fizi. Mwl njaa wanafunzi njaaa raha kweli.
  3. D

    Mtaji wa 2m Dodoma

    Ungekuwa dar ningekupa mxhanganuo fulani nahisi ungekufiti.
  4. D

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Malila ngombe wa kienyeji inawezekana kumlisha na kumtibu ili aongeze kilo kwa ajili ya nyama?? Maana na ngombe kama kumi na sita madume yote sasa afya zao haitanilipa kuwauza nimefikiria kuwalisha ili wanenepe. Swali mimi nipo kahama sijui madawa wala chakula, lkn watu wa huku wanawalisha...
  5. D

    Msaada: Nahitaji kukuonana na Mh. Lowasa.

    Habari wanajf.. Kwa yeyote anayejua nitawezaje kuonana na Mh Lowasa,, naomba mnisaidie ninashida naye binafsi, sijui pa kumpata sijui kwake wala ofisi zake.. Kama huna mchango plse kaa kimya
  6. D

    Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    kifo cha kanumba kinauhusiano na freemason, soon itakuwa wazi.
  7. D

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    hawa ndio wanavyokuwaga wanapokuwa na shida wanakuwaga wapole ngoja apate, mtachoka. wallahi tena huyu atawasaliti tu hawana maana waccm hata jf ataona wajinga. atakuwa bize na michakato, mipango, harakati, isiyotekelezeka. haya ndugu malecela kila la heri.
  8. D

    Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

    fisadi namba moja ni mkapa. uaji kubwa, tunateseka kwa sabb ya tamaa zake. laana mkubwa. hafanani hata na jambazi.
  9. D

    Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

    nimejaribu kuunganisha dot kwa nn matokeo ya uchaguzi jimbo la v.nyerere hayakucheleweshwa.. hawa wajinga walijua kama dogo anaweza kuropoka hayo maovu. bila ubishi ben muuaji.
  10. D

    TTCL Unlimited Download

    unavuta toka kwa nani?
  11. D

    Simu ya google ideos

    sema bei hata mm nahitaji...
  12. D

    Natafuta ac spirit

    salaams. natafuta air condition iliyotumika iwe na hali nzuri kwa matumizi ya chumbani. na isiwe bei ju u. kwa mwenye nayo ni pm.
  13. D

    Unlock huawei e153,153u-2,153u-3

    Thanks mkuu. inapiga mzigo safi.
  14. D

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Angekuwa kweli anaponya angemponya mwanae wa kiume aache pombe, mlevi mbwaaa.. miaka 4 iliyopita ilibaki kidogo aliwe ndogo0 coz ulevi . ashukuru rafiki yangu kumnusuru.
  15. D

    How to boost internet speed to the maximum

    kumbe unajua kiswahili? haya na sisi tusiojua hicho kizungu tutafsirie. au ndo mambo ya copy and paste?
  16. D

    Tigo

    Mkuu hujaeleweka kabisa. fafanua zaidi.
  17. D

    Natafuta gari ndogo-naombeni ushauri

    vitz mkuu itakufaa. tafuta cc chini ya 1000 maana zipo na za 1300. wala usihangaike kwingine.
Back
Top Bottom