Search results

  1. Lumbi9

    Never date a girl who can't respect your wife

    Na michepuko inatakiwa ijue mapema kuwa una familia mambo ya kudanganya mwanzo sio poa, mie dame akishindwa kukubaliana na hali ya mm kuwa na familia ndo tunaishia hapo
  2. Lumbi9

    DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

    Kila kitu kinachohusiana na mwendokasi kimefeli, nafikiri kuna namna inafanywa ionekane imefeli ili watu wafanye namna zingine
  3. Lumbi9

    Changamoto 10 usafiri mwendokasi

    Mradi wa mwendokasi ni takataka nyingine, kwanza isiitwe mwendokasi iitwe magari yanayopita kwenye njia yake yenyewe
  4. Lumbi9

    Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

    Yaani ukiona mwanaume amevaa amependeza muheshimu sana, sijui ni nani alipanga nguo zetu ziwe bei juu, hata ukienda kwenye mitumba ukitaka wa kueleweka at least inabidi upasuke
  5. Lumbi9

    Kuna mitego mingine ni noma sana kutoka kwa wadada

    Mwanamke humjui kirahisi tu akupe penzi, hao ni wakuchunga sana, ndo maana vijana saiv wanatembea na mpira incase
  6. Lumbi9

    Inauma sana na haivumiliki

    Tukisema msiwekeze sana kwenye mapenzi vijana hamuelewi na mnatuona sisi bado hatujapata wa kutupenda, sisi tupo hapa kuwapa ushauri na pole kama kawaida yetu
  7. Lumbi9

    Nini kifanyike bajaji na bodaboda kutosimama kwenye zebra?

    Kiufupi yaani Hakuna anayejali
  8. Lumbi9

    Huu Hapa Ukweli Mchungu

    Tuishi humo yaani, kiufupi yaani watu watakupenda baada ya kuona faida kwako
  9. Lumbi9

    Hivi kuna Sababu zozote kwa Simba kuacha kuutumia Uwanja wa Chamazi?

    Mngeshinda tusingesikia haya, mashabiki wa simba mna shida mahali
  10. Lumbi9

    Wapi nitapata uniform za kazi

    Hizi mbona kkoo zipo nyingi sana au haupo dar
  11. Lumbi9

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Dah ndo hvyo kaka muda mwingine mambo hayaendi tunavyoplan
  12. Lumbi9

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Kweli mkuu na Mungu anabless
  13. Lumbi9

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Ufundi gypsum na ceiling in general, hii nilijifunza site moja kwa moja nilipoanza kibarua baada ya life kunichapa juu kati na chini, nikaingia site nikakutana na hizi mbishe wana wanapiga nikajiunga sijawahi kujutia na hakuna kurudi nyuma, natamani hata ningemaliza tu 4 ningekuja pande hizi
  14. Lumbi9

    Kwako Mpendwa wetu Unique Flower

    Imeisha hyo mzee
  15. Lumbi9

    Kwako Mpendwa wetu Unique Flower

    Tandale kwa mtogole
Back
Top Bottom