Search results

  1. Dubo

    Uchumi wa nchi za kiafrika (GDP) mwaka wa 2015

    Taratibu tutafika
  2. Dubo

    Rais Magufuli atumia Ikulu ya Arusha!

    MICHUZI BLOG: RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MGOMBEA WA URAIS WA MSUMBIJI IKULU NDOGO YA TANGA MICHUZI BLOG: JK AKUTANA NA WAJUMBE KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA (TCD) IKULU NDOGO DODOMA LEO WWW.BAYANA.BLOGSPOT.COM: Rais Kikwete awaapisha Mabalozi wawili wapya mjini Dodoma leo Rais...
  3. Dubo

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Nyerere alifanya mengi mazuri na mengi mabaya. Ubaya wake kuliko marais wengine wote ni kuua Tanganyika.
  4. Dubo

    IMF: Tanzania now 10th largest economy in Africa, up from 12th

    Kasi ndogo ilitakiwa tuwe na zaidi ya $70 billion
  5. Dubo

    Uchaguzi S/Mitaa: CHADEMA ilivyoongoza UKAWA kusambaratisha CCM kabla na baada ya Mapingamizi

    Hizi hesabu zimekosewa, kama 38% ya CCM imeingizwa kwenye 68% ya ushindi wa jumla wa CCM, je 62% ya UKAWA kwanini imepungua na kuwa 32% kwenye matokeo ya jumla?
  6. Dubo

    Renewing Tanzanian passport abroad

    Siyo wote wanatoka mipakani, wengine wameshafika.
  7. Dubo

    Renewing Tanzanian passport abroad

    Siyo ukiritimba, wanachukua alama za vidole kulinganisha na zile zilizopo kwenye database yao, kuhakikisha kuwa ni mtu yule yule.
  8. Dubo

    Renewing Tanzanian passport abroad

    Huko nchi gani?
  9. Dubo

    Rais mstaafu Ali Hasan Mwinyi alipoondoka madarakani serikali ilikuwa imefilisika!

    Takwimu zinaongea zenyewe: Tanzania, United Rep. Official exchange rate, LCU per USD, period average 1995 561.83 1996 552.43 1997 603.98 1998 650.97 1999 739.19 2000 800.06 2001 877.71 2002 966.59 2003...
  10. Dubo

    Rais mstaafu Ali Hasan Mwinyi alipoondoka madarakani serikali ilikuwa imefilisika!

    Uongo siyo mzuri eti thamani ya fedha kulinganisha na dola haikuyumba, wakati mwaka 1998 ilikuwa $1 = Tsh 669.32 na mwaka 2005 ikafika $1 = 1185.33, kweli haukuyumba japo kuna tofauti ya Tsh 516.01 BANK OF TANZANIA FOREIGN EXCHANGE RATES FOR 22 May , 1998 CURRENCY BUYING SELLING U.S.$...
  11. Dubo

    Maswali ya msingi kuhusu uraia wa Kinana (katibu wa CCM taifa)

    Ndugu Mtoi ninakushauri maswali yako uyawasilishe idara ya uhamiaji. Ukijibiwa na idara husika ninaomba ulete hayo majibu hapa jukwaani kwa faida yetu sisi sote.
  12. Dubo

    Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

    Acha ubishi fungua hiyo link niliweka. http://www.oic-oci.org
  13. Dubo

    Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

    Organisation of Islamic Cooperation
  14. Dubo

    Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

    Wewe ndio IT yako ndogo. Chochote kinachopatikana kwenye website kwa kutumia AJAX search engine haiwezi kukipata.
  15. Dubo

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu (Quran 109:6)
  16. Dubo

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    Ujenzi wa shule ni kazi ya serikali ndio maana tunalipa kodi. Kama unataka tufanye kazi za serikali msije kulalamika tukiamua kuanzisha jeshi letu pia.
  17. Dubo

    Hotuba ya Rais Kikwete kuuaga mwaka 2011

    NDIO ILI TUENDELEE TUNAHITAJI WAWEKEZAJI WENGI WA NDANI. Naona neno "wawekezaji" unalielewa ndivyo sivyo. Akili yako inakutuma kuwa wawekezaji ni wageni tu (watu wa mataifa mengine) bila kujua kuwa hata wewe Mtazania ni miongoni mwao.
  18. Dubo

    Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

    Sina tabia ya kuchangia kitu nisichokijua. Nenda UDSM utapata uhakika Missana alimaliza shahada yake ya sheria lini, alfu ulinganishe na huo muda unaomzushia alikuwa Marekani. Acha wivu na roho mbaya wewe.
  19. Dubo

    Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

    Acha uongo na fitina wewe, Missana amekuja Marekani December 2005 na muda wake unaisha December 2011, Huo mwaka 2002 Missana alikuwa chuo kikuu cha Dar es salaam,
  20. Dubo

    JAVA expert, ready to help!

    Hii project ya Bank nategemea kuifungulia thread nyingine alafu thread hii itahusiana na maarifa ya Java tu.
Back
Top Bottom