Search results

  1. D

    Kama huna ngozi nene usigombee urais!

    We Nyani Gabu walau leo umekuja na sura yako halisi niliyofahamu kabla ya hii miaka miwili ya bwana yule asiyependa kukosolewa. Tangu huyu bwana wa kupenda kuwa dreva na konda wakati huo huo kuingia nimekuona ulisimama kidete kumtetea. Ila leo walau umeonesha uNyani Gabu wako asilia.
  2. D

    Kwanini Lowasa sio Rais wa JMT? Labda hata 2020 hatakuwa kwa sababu...

    Rais wa JMT ni Magufuli kwa sasa. Najiuliza maswali mengi kwanini sio Lowasa? Najiuliza kwa sababu tangu uchaguzi upite hadi sasa Lowasa amepita sehemu nyingi au hata baadhi ya wana CHADEMA wamesema kuwa uchaguzi uliopita tulishinda. Swali ni kwanini hawako madarakani? Labda jibu rahisi ni...
  3. D

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Hizi nguvu nyingi na matamko mengi ya matisho ya kupambana na UKUTA, ni vashiria vingi vya uwepo wa udikteta uchwara, hofu nyingi na nguvu nyingi za dola zinazotumika ni dalili za woga wa hali ya juu, ingawa hadi sasa ni vigumu kuelewa hofu hiyo na woga ni wa nini. Ukweli ni kuwa UKUTA ambao...
  4. D

    Just thinking aloud

    Naona tunakoelekea siko kabisa, - Haiwezekani mtu kwa sababu ya mamlaka aliyo na labda mabaunsa alionao akataze wengine eti wasiongee - Haiwezekani mtu huyo huyo akaanza kuongea tena wakati mwingine kejeli na lugha chokozi na matisho kwa jirani yake huyo, jirani aendelee tu kukaa kimya bila...
  5. D

    CHADEMA kinapotea rasmi chini ya Katibu Mkuu "mchina"

    Kama Dr. Slaa na Salum Mwalimu kwa kipindi tajwa walikijenga chama kwa kupiga domo, basi nayo ni sawa. La msingi ni kuelewa kuwa mfa maji haachi kutapata. Naona sasa maji yawafikia shingoni. Ukimya wa katibu mkuu mpya kama ndo style ya kujenga chama au kama ndiyo kupwaya kwenyewe time will tell...
  6. D

    CHADEMA kinapotea rasmi chini ya Katibu Mkuu "mchina"

    Muda utakuja kukuambia, kama ni suala la buku 7 au ni ukweli. Ukweli lazima utaonekana hata kama utachelewa kuonekana kwaajili ya mizengwe. Subiri mkuu. Binafsi siipendi hata kidogo CCM na madudu yake. Lakini mbaya zaidi CHADEMA ambayo kilikuwa matumaini, kimeuzwa. Maumivu makubwa.
  7. D

    CHADEMA kinapotea rasmi chini ya Katibu Mkuu "mchina"

    Ni kweli hayo unayoyasema. Lakini hayo yamepatikana baada ya msingi alioweka Dr. Slaa kama katibu mkuu, na msingi ule aliendeleza naibu katibu Mkuu Salum Mwalimu. Niambie tangu uteuzi wa katibu mkuu wa saa kipi kinaonesha mwelekeo wa matumaini mapya? Hayo yote unayoongelea muda si mrefu kwa hali...
  8. D

    CHADEMA kinapotea rasmi chini ya Katibu Mkuu "mchina"

    Ni maoni yangu tu wanaJF, Kama ambavyo BAVICHA ilififia na kuzikwa alipotoka tu John Heche kama mwenye kiti wake, na kuchaguliwa chaguo la mwenyekiti, Protas. Sasa tunashuhudia tena taratibu chama kikuu cha upinzani kikielekea shimoni baada ya chaguo la mwenye chama na mamvi kwa maslahi...
  9. D

    Dr. JPMagufuli amkuna Rais Paul Kagame

    Rais Paul Kagame amefurahishwa na uamuzi wa Rais wetu JPMagufuli wa kufuta safari za nje za viongozi wa serikali zisizo na tija kwa Taifa. Amesema shughuli hizo zitafanywa na mabalozi wanaowakilisha nchi hiyo. Source kipindi cha Nipashe cha Radio One FM.
  10. D

    Adam Malima - Kiongozi kijana aliyetoweka akiwa bado anahitajika

    Sitamsahau huyo mheshimiwa maana wakati wa Ile sakata ya Morogoro nilipigwa ban na mod miezi 3 kisa nilitoa maneno yenye mwelekeo wa kumshushia heshima/kumkashifu. Sikuwa na dhamira ya kumtukana ila inauma kodi ya wananchi inapotumika vibaya. Alafu mazingira ya kuibiwa ni mazingaombwe matupu...
  11. D

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Awali nimpongeze Rais JP Magufuli kwa jitihada anazoonesha hadi sasa katika uongozi wake. Lakini ni wazi kuwa uozo unaosafishwa sasa usingekuwepo kama usingelelewa. Hivyo kwa maoni yangu Rais mstaafu JM Kikwete amehusika kwa namna moja ama nyingine kuulea. Ndiyo maana nasema Rais Magufuli...
  12. D

    Hata kama CHADEMA isingeshinda, isingisambaratika, lakini sasa...

    Ni maoni yangu tu, kutokana na hiyo gia iliyobadilishwa angani. Hatari yake imeshaanza kuonekana, ni kudondokea baharini na kuangamia. Nasema tu kwa kifupi kuwa CHADEMA asili, kabla haijauzwa na kutekwa na mafisadi, ingeweza kushinda uchaguzi mwaka huu 2015. Hata kama isingeshinda, kupitia...
  13. D

    CCM inatafuta huruma ya wazungu!!

    Unampenda nani?
  14. D

    CCM itaondolewa lakini...

    Maskini! Unaelewe hata wewe mwenyewe ulichoandika hapa?
  15. D

    CCM itaondolewa lakini...

    CCM itaondolewa madarakani lakini sio mwaka huu, wala sio na UKAWA kupitia Lowasa wala Sumaye. Itaondelewa tu muda ukifika, wapinzani wa kweli wakijipanga upya, na kudhamiria kuiondoa CCM kweli kweli. Wapinzani wa kweli wanaweza toka ndani ya CHADEMA, au CUF au chama kingine imara. UKAWA kwa...
  16. D

    Lowassa kaua vipaji vya wanasiasa vijana ndani ya UKAWA

    Hizi siasa za kusafisha MATOPE wengi tu watafia njia, labda mwisho ibaki chama cha teamlowasa, 4UM, na hivi vitabaki tu as long as mgao unaendelea. Ukikatika kivumbi utakiona. Kimsingi CHADEMA tuliyofahamu imeshakufa zamani hata kama wengine wanajikongoja. Mbowe mwenyewe aliyekiuza keshafia...
  17. D

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Kuna video inayoonesha Lowasa akitumia udini kuomba kura, hili jambo ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa, lisipuuzwe. Kiongozi wa namna hiyo ni hatari hata angekuwa mwenyekiti wa kitongoji. Ndiyo maana Lowasa ameficha mengi, taratibu anajifunua na uhalisia wake. Hafai kuwa rais wa nchi hii...
  18. D

    Mageuzi ya kweli hayawezi kuletwa kwa kukurupushwa.

    Binafsi naunga mkono kwa asilimia zote kuiondoa CCM madarakani mwaka huu. Mwanzoni niliamini kuwa ndoto hii itatimia mwaka huu, lakini sasa naamini kuwa itabakia ndoto tu, kwani baada ya maandalizi ya muda mrefu, tumeanza kukurupushana. Naamini kuwa CCM itaondolewa madarakana na upinzani imara...
  19. D

    Lowasa amezika upinzani asilia (original)

    Asante kwa hiyo taarifa, hata mi naona hivyo hivyo Mbunge na madiwani wa CHADEMA/Ukawa watapata kura, ila ya rais Lowasa hapati kwa sababu bado sijajua kwanini anatumia nguvu kubwa kwenda Ikulu. Pia naona hafai kuwa rais, ila pesa zake basi zitatafunwa vya kutosha. Mtu anayefaa huwa hatumii...
Back
Top Bottom