Search results

  1. Wa Ndima

    Hivi ulitumia simu gani wakati unajiunga JF kwa mara ya kwanza?

    Huyu jamaa MziziMkavu yuko wapi? Kitambo sana mara ya mwisho nakumbuka alikuwa Uturuki
  2. Wa Ndima

    Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

    Huwezi kumwamnbia mkeo MSHAMBA halafu ukategemea msamaha kirahisi hivyo. Hili ndo tatizo la kuoa wanawake wenye akili finyu, visasi na kukurupuka. Nimejaribu kusoma katikati ya mistari yako Mkuu
  3. Wa Ndima

    Maeneo ambayo huamsha isia kwenye mwili wa mwanaume

    Isia ndiyo kitu gani kwanza??
  4. Wa Ndima

    Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

    Wamebadilisha Frequency na Symborate wamehamia Intelsat22
  5. Wa Ndima

    Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

    Kauli ya kipuuzi sana hii. Kauli ya mtu aliyeshindwa na mwenye uwezo mdogo wa kufikilia
  6. Wa Ndima

    Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

    Hivi inapozungumzwa neno "CHADEMA" ni kina nani hasa?
  7. Wa Ndima

    Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

    Tazara kilichofanyika ni kuhamisha barabara kutoka chini kwenda juu tu. Ushawahi kuona FlyOver inawekwa Traffic Lights?
  8. Wa Ndima

    Miaka 3 sasa Ripoti hii haijapelekwa Bungeni, VIPI?

    Tanzania njia panda mabilioni ya Uswisi By Elias Msuya, Mwananchi emsuya@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Wakati Kenya na Uswisi zikiingia makubaliano ya kurejesha mabilioni ya fedha yaliyofichwa katika benki za nchi hiyo ya barani Ulaya, Tanzania imeendelea kuwa njia panda katika suala hilo...
  9. Wa Ndima

    Miaka 3 sasa Ripoti hii haijapelekwa Bungeni, VIPI?

    Hii Ripoti ni miaka mitatu sasa haijapelekwa Bungeni Na Lilian Timbuka, Mwananchi Posted Alhamisi, Februari 12 2015 saa 9:26 AM Kwa ufupi Hayo yalisemwa jana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dar es Salaam. Kamati iliyoundwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kuchunguza mabilioni ya...
  10. Wa Ndima

    Kuhusu wachunguzi wa kimataifa: Majibu ya Waziri Mkuu ni final and conclusive. Hawataruhusiwa!

    Siku hizi humu JF naona upeo wa watu kuelewa umeshuka sana sana. Wanasoma POST kwa pupa na mihemko
  11. Wa Ndima

    Jinsi ya kuchagua mtoto wa kike, wa kiume au mapacha soma hapa

    Kwanza ujue mzunguko wa mwanamke. Tuchukulie ni siku 28 za mzunguko kutoka hedhi hadi hedhi.. Siku ya Mtoto wa kiume ni kuanzia siku ya katikati ya mzunguko namaanisha siku ya 14 toka hedhi. Unaposex siku ya 14, 15 kwa mzunguko wa hedhi wenye siku 28 uwezekano wa mtoto wa kiume ni mkubwa sana...
  12. Wa Ndima

    PAYPAL Status in Tanzania

    Napokea REFUND baada ya transaction kuwa refunded
  13. Wa Ndima

    PAYPAL Status in Tanzania

    Miye mbona nikipokea transaction ya paypal niliyoilink na CRDB na nikiwatumia CRDB ile transaction pesa inaingia? Au sijaelewa malipo mnayoongelea?
  14. Wa Ndima

    Weledi wa maprofesa wetu na maisha halisi.

    Atakuwa Benson Barner tu lazima
Back
Top Bottom