Search results

  1. A

    Mwisho's Defeat in Big Brother: Nigerians are Money Mongers!!

    jamani hebu tujulishane wengine watuna access ya hiyo mnet
  2. A

    PATA a FREE WEBSITE !

    he doesnt know what he is talking about.....shame!
  3. A

    Pete Za Harusi

    aliyedesign hizo pete alilenga ku-communicate maana halisi ya neno NDOA, read between the lines...
  4. A

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    That is right Tanzactive, mtu yeyote anayejua afya yake hawezi kuongea ujinga juu ya matatizo ya watu wengine, ukiambiwa uthibitishe kuwa ameathirika utaweza, hebu acheni hizo ndugu zangu.. huwezi kujua nawe utaishia wapi
  5. A

    Elections 2010 JK aomba kura kwa kukaa chini

    jamani hebu muacheni baba wa watu maneno maneno tu, afya mgogoro ni nani mwenye uhakika na afya yake acheeeeeeeeeeeeeeni hizo
  6. A

    Riz"One" mtoto wa Mzee wa Kaya

    mimi siwaelewi, mumemmshupalia mtoto wa mwenzenu. Kama nyie wazazi wenu hawakupata nafasi ya kuwa marais, that is NOT Ridhiwans problem. LEAVE RIDHIWAN ALONE, shame on you all musiomtakia mema
  7. A

    Riz"One" mtoto wa Mzee wa Kaya

    Wivu tu
  8. A

    Elections 2010 Mambo yanayoendelea kwenye kikao cha NEC Dodoma

    eti nimeambiwa Mafia kimbau anapeta tujulishane jamani
  9. A

    MAKAMBA ampitisha mpwae OMAR KIMBAU

    :A S 39:Jamaa dereva wa maroli kashafulia, haya wafuasi wake kazi kwenu..... unajua watu wengine hawana dili jingine siasa ikidunda vita.... nasikia huyo mama yuko kazini anapiga mazigo wakati Buji na Kimbau wanahangaika DODOMA kubembeleza mhh kazi kwao, mimi siasa zisifagilii, mutachinjana bure
  10. A

    MAKAMBA ampitisha mpwae OMAR KIMBAU

    issue ni kuwa unasema amekuwa hawara ili apewe ubunge ndio maana anasema hivi kwa vigezo alivyonavyo anahitaji kutembea na mtu ili ashinde mawazo finyu hayo AMKENI ndugu zangu
  11. A

    MAKAMBA ampitisha mpwae OMAR KIMBAU

    Ndugu zangu natumaini hatima ya Mafia iko mikononi mwa wana Mafia, hivi kama Kimbau hafai mbona wamemchagua, na kama kutoa rushwa wote hao Kimbau na Buji walitoa rushwa ila awamu ya pili, Buji imekula kwake. Bwana haya mambo yanakwenda kwa wakati jamaa alishatesa miaka kumi kafanya nn visima...
  12. A

    MAKAMBA ampitisha mpwae OMAR KIMBAU

    Mungu akusamehe wewe unayejiita friendsof JK, ni wazi kuwa unahitaji maombi kwa mtazamo wako finyu katika karne hii ya sayansi, huyo mama mwenye digrii mbili msomi wa hali hiyo, kwa akili yako ndogo unadhani anahitaji kuvua chupi ili apewe cheo? ni msomi kuliko wanaume wote waliogombea, ana cheo...
Back
Top Bottom