Search results

  1. B

    Namlilia Bob Nyanga Makani

    Dogo unamaudhi sana wewe, Hata hujui uzungumze nini msibani? Iko siku utageuzwa kama watoto wa Mubarak kule Misri au yule Seif al slam.
  2. B

    Sitasahau MV. Bukoba kitabu kinachouponda utawala wa Mkapa

    Mkuu Mwandishi wa hicho kitabu yuko hai na amekuwa akihojia na redio mbalimbali kila mwaka inapofika siku iliyozama MV Bukoba coz ni kati ya walionusurika. Kiukweli amekiandika vyema sana
  3. B

    Mgomo Wa Madaktari: Jee, Serikali Kuwafukuza Kazi Kwa Summary Dismissal kwa "Insubordination"?

    Pasco, Hakuna summary dismissal kwa sheria za kazi zilizopo hivi sasa. Inachoweza kufanya serikali ni kuwasimamisha kazi (huku ikitakiwa kuendelea kuwalipa stahili zao zote ) hadi hapo discpilinary hearing itakapofanyika. Kuhusu Madaktari kufuata procedure za kugoma sina hakika kama...
  4. B

    PM Confirm the New MPs Sitting Allowance

    Alafu za kuwalipa Madokta wanasema hawana!?
  5. B

    Pole Mhe. Lowassa Kufiwa na mkweo

    Mkuu Pasco, Kila nikisoma haya mabandiko yako ambayo mengi huwa ni ya kujipendekeza kwa wanene huwa najikuta naelekea kuuamini ule uzushi ambao uliwahi kuukana hapa jamvini. Wakati mwingine matendo yako hapa jamvini yanasupport sana ule uvumi!
  6. B

    Kwa wanaume wenye ndoa tu

    "Mwambie tatizo liko hapo, ajaribu kugusa na angle nyingine....lol" MJ1 ebu rudi utusaidie tafadhali hapo kwenye bold unamaanisha zipi? jicho pia linahusika eeh! Aisee! mimi ningelivua penzi tu hapo coz hata nikijifanya kusamehe sitoweza kusahau kabisa.
  7. B

    pilipili

    Duh! mzee umekumbana.... vp mlipima lakini kabla ya kupiga voda kwa voda?
  8. B

    Tuelezane.....

    Bora mvae kawaida ili tangu mwanzo nijue ulivyo kuliko kunimisslead nikadhani uko kifaa cha nguvu then bidae nikagundua sio. Endapo nitakufuata nikijua ulivyo tangu mwanzo inamaana ntakuwa nimekupenda ulivyo na hayo ma fat belly na floppy bobies kuliko kuja kugundua badae kwamba nivyodhania...
  9. B

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Haa! Huyu dogo naye vp, sa mbona anaanza mipasho ya kimakamba makamba? I thout elimu yake imemsaidia. Ama kweli CCM wote wanafanana!
  10. B

    Chadema should not apologize!

    Ingawa sikubaliani na lugha iliyotumiwa na mwanzishaji wa mada hii, with due respect, Mwanakijiji alikurupuka kuanzisha mada ya jana kwa kurely yaliyoandikwa magazetini kabla CDM awajatoa taarifa yao rasmi. Kwa aliyemsikiliza Dr. Slaa vyema jana ataelewa kwamba msimamo wa CDM bado ni uleule...
  11. B

    Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker - Reuters

    "Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker 11 Nov 2010 14:33:03 GMT Source: Reuters <div style="font-size: 13px;" id="resizeableText">
  12. B

    Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker - Reuters

    "Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker 11 Nov 2010 14:33:03 GMT Source: Reuters <div style="font-size: 13px;" id="resizeableText">
  13. B

    Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker - Reuters

    "Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker 11 Nov 2010 14:33:03 GMT Source: Reuters <div style="font-size: 13px;" id="resizeableText">
  14. B

    JF women and all others

    Mkuu sasa mbona verse ya kwanza kwenye paragraph ya pili toka mwisho inaenda kinyume na lile agano letu la ISC pale inaposema "For you I make the promise of fidelity"
  15. B

    Naombeni ushauri jamani

    Kwa jinsi alivyoeleza huyo wa kwanza anaelekea ni mzushi na yaelekea hana mpango nae kivile. Na huyo wa pili mmh, mwambie apime mwenyewe. Binafsi hiyo difference ya age ya 18 yrs inanitatiza. Mwambie ajitulize aendelee kusikilizia, umri wake bado kama ametulia wataendelea kuja wengi bora zaidi.
  16. B

    Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

    Kabla hujaingia kwenye ndoa inabidi ujiulize je ntaweza kumvumilia mwenzangu na mapungufu yake yote? Ukijibu ndio, basi oa, akikusaliti rudia swali ulilojiuliza kabla ya kuingia kwenye ndoa'Je ntaweza kumvumilia mwenzangu na mapungufu yake yote"? Kiongozi, binafsi ninawezavumilia mapungufu yote...
  17. B

    CCM yamwangukia Bashe!

    '' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais'' Yani kila kitu wanasingiziwa wasaidizi wa Rais, kila madudu yanayotendeka wanabebeshwa wao, basi hii...
  18. B

    Amepagawa, Hataki kunikosa.

    Kusifiwa hadharani ni wizi mtupu, aende basi kwenye kipindi cha bango akamsifie zaidi atoe na picha yake u dont know what privacy means Mkuu mimi ninamtizamo tofauti, unajua hivi vitu havifundishwi darasani, sasa bila kuviongelea sehemu kama hizi ambako identity iko hidden tutavijuaje? as long...
  19. B

    Ubakaji ndani ya ndoa!

    "Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka mmoja au vyote." Hapo kwenye red itakuwa ngumu sana kuthibitisha, manake mimi kama mwanaume ntajitetea...
  20. B

    Utambulisho

    Thax pple kwa ukarimu wenu, The Lady, Genekai, Antibayotiki na Katavi.Preta thx bana thou nakufahamu sana tu coz i hav been visiting this place forum kwa muda tu!
Back
Top Bottom