Search results

  1. F

    Daktari ha ha ha!!!

    Bawasiri ni ugonjwa wa hemorrhoid
  2. F

    Wabunge wakielekea bungeni mwaka 1984 (enzi za baba wa taifa)

    Mnaonaje kama utaratibu huu ukirudiwa katika kusafirisha wabunge waendapo bungeni Dodoma
  3. F

    Ukiwa tungi; huwezi ona kasoro yoyote hapa...

    Lazima atakuwa Canibalist huyo!
  4. F

    Kiwanja - Kibada Kigamboni kinauzwa

    Kwa Sq Metre 650, nadhani ni too expensive
  5. F

    I want dagnoss from Doctors only

    Usipende kuptoteza muda wa watu kwa kukusaidia kuendekeza uasherati
  6. F

    Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

    Labda apeleke CUF badala ya CHADEMA
  7. F

    MAJINA YA WATU YANAYOFANANA NA YA WANYAMA/WADUDU....ama kweli utamaduni ...

    Pia kuna majina mengine: Fuko Nguruwe Ndembo = tembo
  8. F

    Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

    This is rubbish!!!!. Kwani huyu Membe ni waziri wa nini na suala la mauaji ya Arusha linahusu wizara gani. Kwa hiyo tuseme Membe anakaimu wizara ya mambo ya ndani au ndio IGP. Unajua mimi nimekuwa siku nyingi sana najiuliza juu ya upeo wa Membe na huyo aliyemteua kuwa waziri wa ndani. Anyway...
  9. F

    Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

    wewe ebu ondoa upuuzi wako hapa. Unadhani watu ni wapumbavu kama wewe kiasi cha kuamini propaganda feki kiasi hicho. Kwani nani kakutuma hasa - Loasa, Manji, Lostamu, JK, RK au nani? Umekosea sana. Watu wana akili ya kupima sela na mawazo kuliko akili yako finyu.
  10. F

    Elections 2010 Hebu angalia hapa, je hawa wana akili?

    Pole unahitaji kuonewa huruma tuu. Only fools can believe and take your rubbish
  11. F

    Elections 2010 Wajue wapinzani mahiri waliokaliwa kooni majimboni

    Hongera mzee CCM kujenga hoja zizizokuwa na ukweli ili kuhakikisha watu walio na mapenzi bora na nchi hii wanakata tamaa na kugeuka ili kuipigia kura CCM. Wewe kwa hakika siyo mzalendo hata kidogo.
  12. F

    U-best mwingine?!

    Inategemea, kwa wanaume inakuwa ngumu, ila ni kawaida kwa wanawake
Back
Top Bottom