Search results

  1. frozen

    permanent artificial teeth

    Salam, Tafadhari naitaji kuweka Permanent artificial teeth . Nímetumia denture za kuweka na kutoa naona zina nisumbua , so nataka kuweka mano ya bandia ya kudumu . Nipo dar, tafadhari mwenyekujua matibabu haya , faida zake tofauti na yale ya kutoa, madhara yake , gharama na mahali ambako...
  2. frozen

    Masters degree ya Open University

    Heshima waungwana! Tafadhari nlikuwa naitaji kufahamu gharama za master degrees course(MBA) inayotolewa na open university of TAnzania, muda wa course na competence ya course yenyewe kama mtu anayegraduate hiyo course anakuwa katika sehemu moja kiuwezo na yule ambaye amesoma mzumbe na vyo...
  3. frozen

    Biashara ya mbao za mitiki

    Wadau salam zangu za dhati kwenu, Nataka kufanya biashara ya mbao za miti kwa hapa Dar es salaam, lakini sina taarifa za kutosha kuhusu soko lake na bei zake kiujumla, ntafurahi kupata taarifa zidi kwa yeyeto ambaye ameshawahi au anafanya biashara ya mbao hapa Dar es salaam; i. Bei za mbao za...
  4. frozen

    nimeajiriwa kwa mkataba,naweza pata mkopo toka bank?

    wadau habarini. na biashara yangu nataka iendeleza, sasa naitaji mkopo kuweza fikia lengo hilo. nimeajiriwa kwa mkataba, na mshahara wangu si mbayaz. swali lamgu juna bank ambayo unaweza kunikopesha kwa kutumia salary slip yangu? asante
  5. frozen

    Mwigulu, Acha proganda za kitoto! Huna hadhi ya kuwa Kiongozi

    Huyu jamaa anayeijiita le mutuz. Ni mnafiki sana .huyu bwana kwanza anjiona yeye bd kijana wakati ni mtu mzima anayeelekea kuitwa babu..Le mutuz wewe unakera. Unatia aibu,nina uhakika kaka umefulia so unatafuti pesa na heshma kwa lazima. Mambo unayofanya na kusema hayaendani kabisa na umri wako...
  6. frozen

    natafuta wakala wa nivea products tanzania

    wadau salam, tafadhari ningependa kufahamu wasambazaji wa bidhaa za nivea hapa tanzania. yeyote mwenye kufahamu tafadhari tufahamishane . asante
  7. frozen

    Wafanya kazi wa serikali kupata mkopo wa kununua bodaboda

    Sasa wafanyakazi wa serikali wanaweza pata mkopo maalumu kwaajiri ya kununua pikipiki za kuwarahisishia usafiri.
  8. frozen

    Faida za toefl tests

    habari wanajamii Forums , Tafadhari nahitaji kufahamu faida za kufanya mitihani ya TOEFL, wapi hapa Dar naweza pata Tuition zake , vipi gharama zake ,na gharama ku giregister kufanya mitihani hiyo ni kiasi gani? Mwenye uelewa wowote kuhusu TOEFL tafadhari, tujuzane. Natanguliza shukrani za...
  9. frozen

    Wapi Wanatoa huduma ya kuweka Meno Ya Bandia Dar Es Salaam

    Wanajamii Forums, Habari! Napenda kujuzwa , wapi Hapa Dar Es Salaam Wanatoa Huduma ya Kuweka Meno Ya Bandi Ya Kudumu kwa gharama Nafuu? Wenye Kujua au KUfahamu Chochote, Tafadhari Tujuzane . Asante
  10. frozen

    Apn( access point name )

    Habari wadau wote. Tafadhari ,naitaji kufahamu APN ( ACCESS POINT NAME ) ya Airtel na Vodacom. USERNAME YAKE: NASSWORD YAKE : Plz, mwenyekujua taarifa hizi anijuze , Asante
  11. frozen

    antivirus ya kudownload(free download) ína ubora kama ile ya kununua na kuinstall

    Antivirus gn ninzuri kwenye kuzuia virus wakati una surf na kulinda ma file (full protection) ? Package ya mwaka naweza kupata kwa kiasi gani na sehemu gani mjini naweza enda nunua?
  12. frozen

    antivirus ya kudownload(free download) ína ubora kama ile ya kununua na kuinstall

    Wadau nímenunua laptop mpya kama miezi miwili iliyopita,laptop ilikuja na antivirus ya Norton,sasa wananiambia kwamba antivirus yangu imekwisha na naitaji ku renew doller 84 kwa hiyo package,..siwezi afford hiyo gharama,.,Napenda kujua kama naweza ku download free Norton Antivirus na ikafanya...
  13. frozen

    kwa watumiaji wa tab ya blackberry, playbook

    mkuu tatizo ni pesa tu naona kama ukitaka tab ambayo utaifurahia kwa mda mrefu na kuitumia kufanya shughuri zako nyingi ni ipad , na nivema ukapata hili toleo lao la mwisho ipad 3, au angalau samsung galaxy tab 2,10.1. Hizi nyingine zipo bei rahisi kdg lakini bd utahisi kuna kitu unakosa
  14. frozen

    kwa watumiaji wa tab ya blackberry, playbook

    Asante kaka ,umenifungua sana
  15. frozen

    kwa watumiaji wa tab ya blackberry, playbook

    Habari friends, Nlikuwa naitaji tablet, lakini tab ambayo nimeipata kwa sasa ni playbook ya blackberry, ambayo inatumia wifi tu..so napenda kufahamu kama kuna mdau yeyote anayeitumia hapa tz na ku share experience yake especialy kwenye upande wa kupata internet, sababu wifi hapa kwetu...
  16. frozen

    Nahitaji asali

    Habari wanajamii plz nahitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante.
  17. frozen

    Gharama za kwenda Serengeti na Ngorongoro kwa mapumziko ni kiasi gani?

    Habari wanajamii, naitaji kufahamu gharama za mtu mmoja kwenda na kurudi serengeti na ngorongoro...kuanzia gharama za usafiri, malazi, chakula na gharama za matembezi ukiwa katika sehemu hizi za utalii mwenye taarifa ntashukuru akinijuza hapa. Asante sana
  18. frozen

    Gerald Hando muombe msamaha Dr. Ulimboka

    hamna shaka kwa namna moja au nyingine kupigwa na kutekwa kwa dokta ulimboka kunatokana maneno ya kuhamsha na kuchochea hasira kwa dkt ulimboka yaliyofanywa na kituo cha radio cha clouds fm ktk kipindi cha power breakfast,segment ya jicho la ngombe majuzi,bwana gerald hando kwa makusudi au kwa...
  19. frozen

    Diva na Diaomond wajiachia pamoja

    MARAFIKI WOTE, KARIBUNI KATIKA BLOG MPYA YA KISASA, KWA HABARI,TECHNOLOJIA , BURUDANI NA MICHEZO. KARIBU WOTE. www.mazalipost.blogspot.com
  20. frozen

    Pata movie mpya na series mpya

    MOVIES MPYA NA SERIES, kama , NIKITA COMPLETE SEASON 2, NIKITA COMPLETE SEASON 2, TRUE BLOOD COPLETE SEASON 4,MOVIES...SAFE HOUSE YA DANZEL ya Danzel Washngton, SAFE, MISSION IMPOSSIBLE GHOST PROTOCOL, PIRANHA 3DD, na zingine ambazo wewe ungependa..kwa wale ambao wengependa kufanya biashara...
Back
Top Bottom