Search results

  1. M

    Elections 2010 Kumkapenia Kikwete kwamgarimu Mwakyembe

    . Sikonge, Inawezekana Mwakyembe alikuwa anahujumiwa pengine katika chaguzi na sio kuhusu suala la maendeleo wilayani kyela kama kasuku Keil anvyotaka tumwamini.
  2. M

    Elections 2010 Kumkapenia Kikwete kwamgarimu Mwakyembe

    . Upuuzi mtupu. Unapochemka kubali na sio visingizo wa kubadili ID. Kwann nibadili ID?.Ninakuogopa wewe?. Binafsi sina muda wa kufanya Ligi na wewe.,mtu ambaye hakuna unalolijua kuhusu unachoaandika zaidi ya ngojera za magazeti kama ulivyosema mwenyewe. Ilikuwa kila siasa za kyela...
  3. M

    Elections 2010 Kumkapenia Kikwete kwamgarimu Mwakyembe

    . Ukasuku ni hali ya kufuatilia kilekile kilichoandikwa na kusema vilevile. Mwakyembe,amelia miaka mitano kuwa anahujumiwa jimboni kwake,lakini ukweli ni kwamba hakuna anayemhujumu.Ameshindwa kushirikiana na wananchi wa kyela katika kuleta maendeleo kwa kisingizio cha kuhujumiwa.Na kweli...
  4. M

    Elections 2010 Kumkapenia Kikwete kwamgarimu Mwakyembe

    . Mkuu. Mbona unakuwa kama kasuku? Upuuzi wa kusema Mkuu wa mkoa anahujumu maendeleo ya wilaya ni ujinga.Mbona Slaa kule mbulu alizungukwa kila upande,lakini alifanikiwa kwa kuwashawishi wafadhili wa ndani na nje ya nchi kusaidia?.Mbona kyela kuna watu wengi binafsi wanajitolea kutafuta...
  5. M

    Elections 2010 Zitto akabwa koo jimboni

    . Kutoka ccm na kwenda Chadema sio kwamba damu yako baado ni ccm.kuna wengine walikuwa ccm kutokana na system ilivyokuwa na hawakuwa na jinsi ya kujitoa.Lakini kuna wanaojitoa ccm kwenda kuvuruga upinzani
  6. M

    Wabunge waliobwagwa wapo Dodoma

    . Nasikia ata walioshinda nao wako dodoma kuhakikisha majina yao hayapigwi panga.
  7. M

    Rev Masanilo

    . Mchungaji, Mimi ni mtumishi wa mungu pia.Lakini ninajiona kama ninapungukiwa na mengi.Nitafanyaje ili nijekuona ufalme wa mungu?
  8. M

    Makamba kung'olewa ukatibu?

    . Anasaidia upindani,lakini wanaoumia ni wananchi wa level ya chini.ambao hawana elimu ya kutosha kuhusu mageuzi ya kisiasa. wako mtumishi wa mungu
  9. M

    Elections 2010 Mungai apandishwa kizimbani kwa rushwa

    . Vipi Mke wa Samwel Sitta? au wanaogopa ule mkwala alioutoa tarehe 31/07/2010, kwamba atakufa na mtu?
  10. M

    Elections 2010 Yanayoendelea chinichini ndani ya CCM...

    Njo tusubri hiyo juma tatu.
Back
Top Bottom