miye mwenzenu na admire wanaoishi maisha to its fullest...really experiencing all the joy that life has to offer...revelling in it and tasting it daily.
free spirited people, watu wanaoona mambo mazuri ktk maisha yaani wako positive tu hata kama kuna mashaka kwa wengine.
uko fine, siku ukichoka maisha hayo utabadilika mwenyewe bila kujijua, lakini note kuwa hatua ya kujiuliza maswali na kutaka mawazo ya wengine ni ishara kuwa mabadiliko yameanza.
yah you can say that again, kuna mkaka mmoja naye ukimuona smart, lakini asianze kula asalaleh na chai anavyokunywa utadhania anapiga mluzi, yaani alikuwa ananitokeaga lakini nikawa turned off kabisa na manners zake za kula, inakera kupita maelezo.
Napenda wangu awe mweusi si sana kichocolate fulani, asiwe mrefu sana, awe amebinuka kidoogo yaani asiwe amepigwa pasi sana kijungu kwa mbaali yaani cha kimazoezi, six packs lazima not one pack, miguu yake iwe na vigimbi vya kiushkaji akivaa pensi hadi raha, hapo ni physically.
Huyo ndio my...
majibu ya maswali yako yote ni nature, hivi vitu vyote vinakuwa determined na nature. Pale mtu anapotoka kwenye utaratibu wa asili kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na jinsia moja au na ndugu wa damu atakuwa na matatizo ya akili. Uhusiano wa mapenzi unaweza usiwe unaconclude kwenye ngono...
me napenda mwanaume yuko mature na real, sababu naamini sharobaro ni mtu feki na aliyepungukiwa na kitu fulani akilini, mwanaume akishaanza kujishaua mbele yangu nina uhakika ataua mood yangu yote, kwa kifupi sipendi wanaume masharo uharo.
Labda naweza kukuelewa ukisema baada ya kuingia kwenye relationship you didn't find what you were looking for au ulimtamani tu, it happens. Cha msingi be a man about it, tell her the truth, it is the best thing you could do for her. In future it is better to be clear about your feelings, kama...
majibu ya maswali yako too obvious, hisia za upendo zimegawanyika, huwezi kumpenda dada yako kama unavyompenda mpenzi wako na ndio katika mapenzi lazima kui involve tendo la ndoa, manake mnapopendana mnaaminiana kiasi cha kuachiana miili yenu, yaani kivingine kwenye romantic relationship kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.