Search results

  1. doctorz

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Jibu hoja alio toa ni kweli au sio kweli na toa ushahidi toka katiba na sheria za nchi. Labda kama unakubali na wewe yakufike.
  2. doctorz

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Siku zote ukweli una uma. Hajadai urais bali ametoa hoja yake ya kuondolewa nafasi ya kazi ajili ya kufata taratibu za kazi na sio maagizo ya mtu. Jibu kwa hoja.
  3. doctorz

    Ipo Siku mtaelewa Umuhimu wa hizi Tozo

    You must be dreaming. Stop living in a PIMPERS PARADISE.
  4. doctorz

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kiwango cha malipo hayo ya pango ni shilingi ngapi kwa mwezi?
  5. doctorz

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Makato ya pango ni kwa kila mtanzania au ni kwa wale wenye majumba. Mimi ni mpangaji. Niliomba separation kujiondoa kwenye kero la kulipishana umeme zaidi ya matumizi yangu. Sasa napata kero ya kulipishwa pango. Hii ni lazima hata lwa wasio na majumba?
  6. doctorz

    Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

    Ni vyema wewe uka fanyiwa majaribio tuhakikishe kama ilikuwa kweli au maigizo.
  7. doctorz

    Kama wapinzani hawana hoja kwanini nguvu kubwa inatumika kuwazuia?

    Wapinzani hoja wanazo. Tena hoja zao ni kali zinazo simamia maslahi ya Taifa kwa uhalisia wake na ndiyo maana serkali inatumia vyimbo vyote vya dola na vyombo vya habari kukandamiza hoja za wapinzani zisiwafikie wananchi. Ama wananchi wakizifahamu na kuzielewa basi CCM ambayo imekuwa madarakani...
  8. doctorz

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama

    Yawezekana wengi wao ni wa CHADEMA. Unapo fanya appointment ya kuchanja sijaona sehemu inayo dai chama unachotoka. Wanauliza umri, kitambulisho cha NIDA au PASPORT au KITAMBULISHO CHA KURA. Angalia katika jamii unyo ishi. Ni wangapi wamechanja na ulizia wametoka chama gani.
  9. doctorz

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama

    Uongo huo. Nakumbuka kuwa CHADEMA wali ishauri serkali kuwa chanjo iwe ya lazima. Unapo sema uongo ili usambaze chuki basi bora uwe na kumbukumbu.
  10. doctorz

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Sio tozo za miamala na manunuzi ya bundle pekee. Hata malipo ya majengo kwa LUKU pia ni ufisadi na wizi. Wengi wanakatwa lakini ni wapangaji walio omba separation. Tena wengime wamesha kufa na wengine wamehama. Vyema wanapo kata wataje na namna ya jengo mteja analo daiwa.
  11. doctorz

    Hivi kweli kuna Vijana Watanzania bado wanataka CCM iendelee kushika dola 2015?

    Kama wapo bado hawajui maana ya Party Dictatorship.
  12. doctorz

    Ole wao wanaonizushia kwamba mimi ni miongoni mwa TeamBazazi…!

    Tumia bisara kama kawaida yako. Achana nao.
  13. doctorz

    Marekani kusitisha misaada kwa Uganda

    Yaonyesha kuwa mahusiano ya USA yalikuwa na mashoga wa Uganda na sio na wananchi wengine wa Uganda.
  14. doctorz

    Miongozo miwili - Kupaa na Kutunguliwa kwa Azimio la Arusha

    KUPANGA NI KUCHAGUWA. Uchumi, Utamaduni, Maisha ya Watanzania yame tekwa na UKOLONI MAMBOLEO. Hatuwezi kuwa na sera za UJAMAA NA KUJITEGEMEA wakati tuna tamani UCHUMI HURIA.
  15. doctorz

    Najua wengi mtakuwa mshapata mail kama hii

    Anahitaji msaada toka kwa wazembe. Kama ni mjanja utaigunduwa tu kuwa hiyo ilikuwa ni SPAM.
  16. doctorz

    Wadada kupoteza bikira zao kabla ya ndoa ndio chanzo cha kugegedwa kabla ya ndoa

    You are one strange character. Is virginity your best reason to marry a woman? What has pre marital sex have to do with marriage? In this modern world that we live in, I can make any woman a virgin by a very simple surgical maneuver. Marry because of LOVE and not virginity. Unless if you dint...
  17. doctorz

    Picha ya mtuhumiwa wa ugaidi Arusha

    Ole wenu mnaolichukulia swala la mlipuko wa mabom kanisani Arusha kwa mzaha. Jambo hili lawza chukuliwa na maadui wa nchi hii na kulikuza hadi kutokee mtafaruku kati ya waislaam na wakristo. Dini hizi mbili zimekuwa ziki husiana kwa wema ingawaje kuna tafauti za ki itikadi
  18. doctorz

    China is morally bankrupt!!all they need is oil and minerals - tza be careful

    Tanzania needs China to keep the balance of powers in equilibrium. We are leaning too much towards the west. That is why Tanzanians dont enjoy their Natural resources which so far are being exploited by the west. With china in the scene, we would be able to keep the exploitation in check. After...
  19. doctorz

    Sugu ang'aka Uwanja wa Ndege wa Songwe kuitwa Jakaya Kikwete

    It would seem as if he owns the Airport. The best you can do is name it after the region where it lays. Why are people always behaving irrationally when it comes to naming National Monuments. What has he done for Tanzania that is remarkable?
  20. doctorz

    Kuchafuka kwa damu

    Usiombe........ kUCHAFUKA Kama ni kama mimi ninavyo elewa SEPTICEMIA au VIREMIA ni hatari sana. Homa kali, Convulsions, na utahitaji kulazwa na kupewa Antibiotics. Au kama ni sababu ya kidney failure na urea imejaa basi utahitaji dialysis. Hizi ndiyo namna ya damu kuchafuka. Labda kama...
Back
Top Bottom